Katika kile ambacho kimepongezwa ni mafanikio makubwa viongozi hasimu wa Sudan Kusini walikamilisha makubaliano Jumapili, kuhusu kipengele muhimu cha kijeshi katika mkataba wa amani uliokwama na . . .
Mwanamfalme Hamza bin al-Hussein, mrithi wa zamani wa kiti cha ufalme cha Jordan ambaye alikua katika kifungo cha nyumbani hapo mwaka 2021 alitangaza Jumapili kwamba anaachia cheo chake cha ufal . . .
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amesema Serikali ya Tanzania ina mopango wa kuwainua wakulima na kukiinua kilimo cha Tanzania ili kufikia lengo la kukuza sekta ya Kilimo kwa 10% ambayo imepewa ji . . .
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Geofrey Pinda amewataka wadau wa msaada wa kisheria nchini kujenga na kuimarisha ushirikiano wa kimkakati na serikali ikiwa ni fursa ya kuweza kuwasilisha mapende . . .
Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan ameitisha uchaguzi mpya baada ya bunge kutupilia mbali kura ya kutokuwa na imani naye. Rais wa Pakistan Dr. Arif Alvi ameukubali ushauri wa Waziri mkuu Imran Kha . . .
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis ameombea ulimwengu kuonyesha wema na huruma zaidi kwa wakimbizi wakati alipokutana na wahamiaji nchini Malta. Francis ameyasema hayo katika siku ya . . .
Wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa CCM wamemchagua Abdulrahman Kinana kuwa makamu Mwenyekiti wa CCM Bara kwa kura za ndiyo 1875.Wajumbe waliopiga kura 1875, jura halali 1875, hakuna za hapana wala zil . . .
Viongozi wa Muungano wa Kenya Kwanza wametangaza kuwa watatoa hoja ya kumshinikiza Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Nancy Gachungu kukagua fedha za umma zilizotumika kufadhili Mpango wa Kurekebisha . . .
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi amesema kuwa Abdulrahman Kinana ambaye jina lake limependelezwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni mtu mwenye uwezo mkubwa na kuwataka wan . . .
Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan ameituhumu Marekani kwa kuingilia siasa za nchi yake -- madai ambayo yamekanushwa haraka na Washington. Khan alilihutubia taifa jana usiku, akisema nchi ya kigen . . .
Mahakama ya Kimataifa ya Jinai - ICC imefungua ofisi nchini Venezuela kama sehemu ya uchunguzi kuhusu ukiukaji wa haki za binaadamu wakati wa maandamano ya kuipinga serikali katika mwaka wa 2017. . . .
Bunge la Pakistan leo litaanza mjadala wa kutokuwa na imani na uongozi wa Waziri Mkuu Imran Khan. Hatua hii huenda ikapelekea kuondolewa madarakani kwa mchezaji huyo wa zamani wa kriketi na nchi h . . .
Afrika Kusini imerekodi zaidi ya vifo 100,000 vya virusi vya corona. Kwa mujibu wa takwimu za serikali zilizochapishwa jana, vifo 100,020 vimetokea tangu janga hilo lilipoanza miaka miwili iliyopi . . .
Wakurugenzi wa taasisi na wa Hospitali za rufaa za mikoa wametakiwa kufuata miongozo na sheria za manunuzi ili kuondoa hati chafu na zenye mashaka kwenye taasisi zao. Hayo yamesemwa na Kati . . .
Mkuu wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida Suleiman Mwenda ametoa mwezi mmoja kwa Wazazi na Walezi wa wanafunzi 16 wa Tarafa ya Shelui ambao hadi sasa hawajaripoti shuleni baada ya kufaulu darasa la . . .
Mwili wa kikongwe aliyefanikiwa kupata shahada ya uzamivu (PhD) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akiwa na umri wa miaka 82, Dk Samuel Mutasa unatarajiwa kuwasili nchini Jumatano ya wiki ijayo k . . .
Bunge la Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo Jumatano limepiga kura ya kumuondoa kwenye wadhifa wake waziri wa uchumi Jean Marie Kalumba, likimshtumu kwa mfumuko wa bei ya bidhaa muhimu na uratibu . . .
Viongozi wa Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani na Italy, wametoa wito kwa mataifa ya magharibi kutolegeza msimamo wake dhidi ya Russia. Hii ni baada ya Moscow kuonyesha dalili za ku . . .
Rais wa Marekani Joe Biden amesema kwamba Marekani inaendelea vizuri na mkakati wake wa kuimarisha uhusiano na mataifa ya Asia-Pacific, licha ya kuwepo mgogoro ambao umesababishwa na uvamizi wa . . .
Ujerumani imetangaza rasmi kuanza kutoa gesi kwa watu wake kwa mgao, huku kukiwepo wasiwasi ya kuacha kuagiza mafuta kutoka Russia. Hatua hiyo imechukuliwa wakati kuna hali ya kutoelewana k . . .
Ukraine imeituhumu Urusi leo kwa kutega mabomu katika Bahari Nyeusi. Imesema baadhi ya mabomu hayo yameteguliwa katika pwani ya Uturuki na Romania wakati kitisho kikiendelea kuongezeka kwa meli za . . .
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Rais Uhuru Kenyatta amekaribisha rasmi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwenye umoja huo.Uhuru Kenyatta Aongoza EAC Kuikaribisha Rasmi Jamhuri ya Congo . . .
ais Samia leo wakati akipokea ripoti ya CAG Ikulu, Chamwino, Dodoma amesema Serikali za Mitaa bado kuna upotevu mkubwa wa mapato ambapo amemtaka Waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa kuwa mkali n . . .
Serikali imesema imebaini uwepo wa ongezeko la watu wenye dalili za homa, kukohoa, mafua, kubanwa kifua na maumivu ya mwili kwa kipindi cha Desemba 2021 hadi Machi 25, 2022.Ongezeko hilo limekuwa . . .
Deni la Serikali Tanzania limeongezeka kutoka Sh56.76 trilioni mwaka uliopita hadi kufikia Sh64.52 trilioni kufikia Juni 30, 2021.Hayo yamesemwa leo Jumatano Machi 30, 2021 na Mdhibiti na Mkaguzi . . .
Msemaji wa Umoja wa mataifa amesema Jumanne kwamba hakuna aliyenusurika wakati helikopta ya tume ya Umoja wa mataifa nchini DRC (MONUSCO) ilipofanya ajali mashariki mwa nchi hiyo ikiwa na walind . . .
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani, WFP David Beasley ameonya kuwa vita vya Ukraine vinatishia kuvuruga juhudi za shirika hilo kuwalisha takribani watu milioni 125 duniani kot . . .
Katibu Mkuu wizara ya utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt Hassan Abbas ametoa ametoa wito kwa Taasisi ya Hakimili Tanzania COSOTA kuendelea kutoa Elimu zaidi kuhusian na hakimiliki, huku akiwasisitiza . . .
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ametaka elimu ya kuwatahadharisha wananchi kuhusu kujiepusha na vishawishi visivyo na tija vinavyosababisha ugawaji maeneo ya ardh . . .
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken jana ameizuru Morocco ambako alizungumzia Sahara Magharibi, maendeleo na usalama wa kikanda. Ziara hiyo imefanyika baada ya Blinken kuhudhuria mk . . .