Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 02 – 21 Machi, 2022 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu . . .
Kufuatia kuvunjwa vioo vya madirisha ya madarasa 12 katika shule ya Sekondari Kibedya iliyopo wilayani Gairo mkoani Morogoro, uongozi wa wilaya hiyo umemsimamisha kazi mkuu wa shule hiyo Kelvin Ka . . .
Elon Musk ameamua kutojiunga na bodi ya Twitter, afisa mkuu mtendaji wa kampuni hiyo Parag Agrawal anasema.Uteuzi wa Bw Musk ulipaswa kuanza kutekelezwa Jumamosi baada ya kufichua wiki jana kwamba . . .
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amesema zoezi la uwekaji wa anwani za Makazi limefikia asilimia 68 huku akiitaja mikoa ya Dar es salaam na Tanga kuwa bado haijafa . . .
Morocco na Uhispania zimekubaliana kufungua ukurasa mpya wa mahusiano baada ya serikali mjini Madrid kutangaza kuunga mkono ajenda ya Morocco ya kulidhibiti jimbo linalozozaniwa la Sahara Magharib . . .
Faharasa mpya iliyochapishwa leo imeonesha kuwa bei ya vyakula duniani imepanda na kufikia rekodi ya juu kabisa mnamo mwezi Machi baada ya vita nchini Ukraine kusababisha mtikisiko mkubwa kwenye m . . .
WAKALA wa barabara Mijini na Vijijini Tarura umetoa taarifa kwa umma kuwa umeanza rasmi kutoza faini kwa watumiaji wa maegesho waliopitisha siku 14 bila kulipa madeni ya ushuru wa maegesho. Kwa . . .
Baraza la Seneti la Marekani lilimthibitisha Jaji Ketanji Brown Jackson katika Mahakama ya Juu ya Marekani Alhamisi kwa kura 53-47, na kumfanya kuwa mwanamke wa kwanza mweusi kuwa ja . . .
Zaidi ya theluthi mbili za Waafrika wanaweza kuwa waliambukizwa virusi vya Covid katika miaka miwili iliyopita, ikiwa ni mara 97 zaidi kuliko idadi ya maambukizi iliyoripotiwa, ripoti ya shirika . . .
Moto ulionza leo Ijumaa Aprili 8, 2022 alfajiri umeteketeza vibanda 36 katika Soko la Kurume lililopo Dar es Salaam baada ya kuunguza sehemu ya soko hilo,na kuunguza maduka ya wafanyabiashara ndog . . .
Rais wa Yemen aliyekuwa uhamishoni amemfuta kazi makamu wake, kisha akajiuzulu, na kukabidhi madaraka kwa baraza la rais kwa lengo la kuanzisha mazungumzo yanayo lenga kumaliza mzozo wa miaka saba . . .
Mahakama nchini Nigeria imeagiza Serikali kutekeleza sera ya usawa wa jinsia inayoeleza kuwa 35% ya uteuzi wa nyadhifa katika ofisi za umma itengwe kwa ajili ya wanawake. Uamuzi wa Jaji Donat . . .
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amehudumu kama Kiongozi wa nchi kwa kipindi cha miezi minane bila malipo tangu achukue hatamu za uongozi wa nchi hiyo mnamo Agosti 2021. Kwa mujibu wa Shi . . .
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi amesisitiza taasisi na Wadau kushirikiana katika kuhamasisha wananchi kuchangia damu ili kuokoa maisha ya wahitaji hasa wajawazito na wagonjwa wanaopat . . .
Waziri Mkuu wa Armenia Nikol Vovayi Pashinyan na Rais wa Azerbaijan Ilham Aliyev waliwaagiza mawaziri wao wa mambo ya nje "kuanza maandalizi ya mazungumzo ya amani kati ya nchi hizo mbili" wakati . . .
Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Ulaya siku ya Jumatano alielezea wasiwasi wake kuhusu kuteswa kwa wafungwa nchini Uganda na ukiukwaji mwingine wa haki akimtaka Rais Yoweri Museveni kuhakiki . . .
Utafiti uliochapishwa leo umeonyesha kuwa watu waliaoambukizwa virusi vya corona wako hatarini kupata tatizo la kuganda damu hadi miezi sita baada ya kuambukizwa. Utafiti huo umegundua kwamba watu . . .
Shirika la afya ulimwenguni, WHO limesema jana kwamba dharura za kiafya zinazosababishwa na mazingira zinaongezeka barani Afrika ingawa linachangia kidogo mno ongezeko la joto ulimwenguni. Mkuruge . . .
Mbunge wa Viti Maalumu, Nusrat Hanje ameibua sakata la mbio za mwenge akitaka kujua gharama zainazotumiwa na kama zitakuwa zinakaguliwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).Hata . . .
Hospitali ya Bugando Yafanikisha kujenga kliniki ya macho itakayohudumia zaidi ya wagonjwa wa 400 wa macho kwa siku, ambapo awali ilikuwa inahudumia wagonjwa 150 tu kwa siku lakini kwa sasa baada ya . . .
Wakiwa wamevalia mavazi yao ya kitamaduni, maelfu ya watu asili waliandamana na kukusanyika kwenye eneo moja kubwa kilomita nne kutoka ikulu ya rais, makao makuu ya Baraza la Wawakilishi na Mahaka . . .
"Kampeni ya maangamizi ya kikabila" huko Tigray Magharibi nchini Ethiopia, hivi ndivyo mashirika mawili ya kimataifa ya Hki za Binadamu, Amnesty International na Human Rights Watch, yanalaani kati . . .
ais wa Marekani Joe Biden alitangaza mipango ya kupanua fursa za huduma za afya kwa kupendekeza mabadiliko ya sheria ya huduma ya afya ya bei nafuu (ACA) ili kuruhusu mamilioni ya familia za Marek . . .
Ndege ya Airbus A380, imekamilisha safari ya majaribio ya kutumia mafuta ya kupikia kusafiri.Ndege hiyo ya majaribio ilikamilisha safari ya saa tatu kutoka Uwanja wa Ndege wa Blagnac huko Toulouse had . . .
Wanasayansi wa Umoja wa Mataifa wamesema malengo yaliyowekwa na jumuiya ya kimataifa ya kudhibiti ongezeko la joto duniani katika kiwango cha nyuzi 1.5 za Celsius yatatekezeka tu ikiwa itafanyika . . .
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tanzania haitajengwa na mtu mmoja au chama kimoja bali itajengwa na Watanzania wote.Rais Samia ameeleza hayo leo Jumanne Aprili 5, 2022 Jijini Dodoma wakati a . . .
Viongozi wanaohasimiana Sudan Kusini wamesaini makubaliano kuhusu kifungu muhimu cha kijeshi cha mpango wa amani unaosuasua. Makubaliano hayo yamefikiwa jana kutokana na upatanishi wa nchi jirani . . .
Urusi imelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kufanya kikao leo Jumatatu, kujadili ilichokiita ''uchokozi wa Waukraine wenye msimamo mkali'' katika mji wa Bucha, baada ya serikali ya Ukrai . . .
Michael Njogo Gitonga ambaye alijizolea umaarufu kwa kufanana kwa karibu sana na Rais Uhuru Kenyatta sasa amejitosa rasmi katika mawimbi ya siasa.Gitonga ambaye anafanana na Rais Kenyatta kiasu cha ku . . .
Mkurugenzi Mkuu wa Unicef, alianza ziara yake ya kwanza nchini DRC siku ya Jumapili na kwa siku nne katika nchi ambayo watoto ni waathiriwa wa ghasia za makundi yenye silaha. UNICEF il . . .