Mahakama nchini Nigeria imeagiza Serikali kutekeleza sera ya usawa wa jinsia inayoeleza kuwa 35% ya uteuzi wa nyadhifa katika ofisi za umma itengwe kwa ajili ya wanawake.
Hii inakuja wakati wabunge wa Nigeria wakitarajiwa kupigia kura tena miswada ya usawa wa jinsia mitatu kati ya mitano iliyokataliwa wiki hii.