'WATU ZAIDI YA 1000 KANDA YA ZIWA WANA SARATANI' WAZIRI MHAGAMA,BUGANDO HEALTH MARATHON 2024 . . .
Nchini Msumbiji, upinzani unaitisha mgomo mkuu leo Jumatatu, Oktoba 21 na maandamano nchini humo kukemea udanganyifu wakati wa uchaguzi uliopita wa Oktoba 9, ambao matokeo yake rasmi yanatarajiwa ndan . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Amemzawadia Kiasi cha Shilingi Milioni 50 Mwimbaji wa Muziki wa zamani Mzee Steve Hiza aliyeimba wimbo wa Tanzania ndiyo nchi ya Furah . . .
Mahakama Kuu nchini Kenya imesitisha kwa muda utekelezwaji wa azimio la Bunge la Seneti juu ya hoja ya kumuondoa madarakani Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagua.Uamuzi huo wa Mahakama umetolewa leo Ok . . .
Naibu wa Rais wa Kenya aliyetimuliwa Rigathi Gachagua amefika mahakamani kupinga mchakato wa kuondolewa wake Ofisini na bunge.Kupitia Wakili wake Paul Muite, Gachagua pia ameitaka mahakama kutoa maagi . . .
Kituo cha Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa cha Afrika, CDC, pamoja na wizara ya Afya ya Rwanda, Alhamisi wamesema kuwa kesi za maambukizi ya ugonjwa wa Marburg nchini humo zimeshuka.Hilo ni kufuatia utoaj . . .
Rais William Ruto amemteua Waziri wa Usalama wa Ndani Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais ajaye kufuatia kutimuliwa kwa Rigathi Gachagua Alhamisi usiku.Jina la Kindiki limewasilishwa Bungeni ambapo wabung . . .
Oktoba 17, Wakili Mkuu Paul Muite alifichua kuwa alifanikiwa kuzungumza na madaktari wanaomhudumia naibu rais. Kulingana na Muite, kwa sasa Gachagua amelazwa The Karen Hospital baada ya kupatwa n . . .
Mkuu wa Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma Rebeca Nsemwa ameagiza Taasisi ya Kuzia na kupambana na Rushwa TAKUKURU kuwachunguza msaidizi wa kituo cha afya Bahi pamoja na polisi kata Chipanga kuhusu utatata . . .
Mkazi mmoja mkoani Lindi amefariki dunia baada ya kuugua ugonjwa wa kipindupindu huku wengine 24 wakiendelea kupatiwa matibabu mara baada ya kugundulika kuwa na ugonjwa huo.Hayo yameelezwa na Mganga M . . .
Ndege zisizopungua 10 za mashirika tofauti ya ndege nchini India, zimelazimika kusitisha safari zake za ndege, kuchelewesha ratiba na kubadili njia za safari zake baada ya kupokea vitisho vya mabomu n . . .
Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini limewataka madereva kufuata sheria za Usalama Barabarani ambapo limewataka madereva hao kutoa lugha nzuri na rafiki kwa abiria Pamoja na kuongea na . . .
Kwa mujibu wa shirika la Save the Children, watoto milioni 10 kwa sasa hawasomi nchini Nigeria, Mali, Niger na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Shule zimeharibiwa au kutotumika kwa sababu ya maji kuo . . .
Mchungaji aliyejulikana kwa jina la Geor Davie ameshangaa baada ya kufahamu kwamba mmoja wa wafuasi wake alifukuzwa na mumewe baada ya kuamua kachorwa tattoo ya jina lake (mchungaji). pasta . . .
Katika taarifa kwa vyombo vya habari iliyochapishwa siku ya Jumatatu Oktoba 14, mwendesha mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ametangaza "kuanzisha upya" uchunguzi wake nchini Jamhuri ya Kide . . .
Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Felician Gasper Mtahengerwa ameongoza washiriki zaidi ya 500 wa Land Rover festival 2024 kwenye zoezi la Upandaji wa miti zaidi ya 500 kwenye Eneo la Magereza Kisongo Jijini . . .
WAKAZI wa Mlima Kenya sasa wameonekana kumkataa Rais William Ruto kwa kukosa kumnusuru naibu wake Rigathi Gachagua anayekabiliwa na hatari ya kutimuliwa afisini na maseneta wiki hii.Aidha, wamekuwa wa . . .
KIONGOZI wa chama cha Wiper, Kalonzo Musyoka, amekosa mchakato unaoendelea wa kumfurusha Naibu Rais Rigathi Gachagua akisema wale wa Wiper waliounga hoja hiyo wataadhibiwa.Bw Musyoka aliwakosoa wabung . . .
MAREHEMU wanatakiwa kupumzika kwa amani, angalau ndivyo watu wanavyosema wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu.Lakini katika mji wa Homa Bay Nchini Kenya, makaburi ya umma yamegeuzwa kuwa jaa la taka . . .
Maafisa tisa wa utawala wa kiraia wa Niger uliopinduliwa mnamo Julai 2023 "wamevuliwa" uraia wao, baada ya kushukiwa haswa "ujasusi kwa mataifa ya kigeni" na "njama dhidi ya mamlaka ya serikali", seri . . .
Picha: Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko akiwa kwenye foleni ya kujiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura katika Kituo cha Kujiandikisha cha Shule ya Msingi Bulangwa kilichopo . . .
ZAIDI YA MITUNGI YA GESI 1,500 YATOLEWA KWA BEI YA RUZUKU BUKOMBE . . .
HAYA NI MAANDALIZI YA KUKARIBISHA SIKU YA WALIMU DUZIANI . . .
Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Bagara, Joel Mariki, aliyedaiwa kupotea tangu Septemba 14, 2024 eneo la Mlima Kwaraa mjini Babati mkoani Manyara, ambapo alikwenda kufanya mafunzo kwa vitendo na kupot . . .
Bunge la Seneti limekutana katika kiako cha dharura kupokea hoja kutoka kwa Kiongozi wa walio wengi Aaron Cheruyot baada ya Baraza la Wawakilishi kupiga kura ya kumuondoa madarakani Gachagua siku ya J . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za mauaji ya Juma Said Mfaume, Miaka 40, Mfanyabiashara na mkazi wa Mbagala Mlandizi.Inadaiwa kuwa tarehe 7/10/2024 katika kitongoji . . .
Mahakama Kuu nchini Kenya kwa mara ya pili imekataa kutoa amri ya kusimamisha kesi ya kumuondoa madarakani Naibu Rais, Rigathi Gachagua.Suala hilo lilitajwa jana mbele ya Jaji Bahati Mwamuye, aliyeele . . .
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watumishi wa halmashauri nchini kuendelea kuweka mikakati ya kushirikisha sekta binafsi katika mipango ya kimaendeleo.Amesema kuwa kwa kufanya hivyo kutasaidia ku . . .
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Cuthbert Sendiga leo Oktoba 6, 2024 ameanza ziara yake ya siku 4 Katika wilaya ya Kiteto Mkoani humo na kukagua mradi wa ujenzi wa tanki la maji Nchinila.Akiwa katika Kat . . .
Wanafunzi 52 waliomaliza darasa la saba katika shule ya Msingi Maendeleo wakimsikiliza Mwenyekiti wa chama cha wachimbaji wadogo wa dhahabu wilaya ya Igunga, Peter Mashili katika mahafali yaliyo . . .