Klabu ya Yanga imeanza rasmi mchakato wa kuwarahisishia wawekezaji na wabia wa kimkakati kuwasilisha barua za kuonesha nia (EOI) kwa ajili ya ujenzi wa uwanja mpya wa kis . . .
Rasmi Antoine Semenyo amesaini mkataba wa kuitumikia Manchester City akitokea klabu ya AFC Bournemouth ya pale pale England.Semenyo anakuwa mchezaji wa nne ghali wa Afrik . . .
Hali ya wasiwasi imetanda katika kambi ya timu ya taifa ya Nigeria, “Super Eagles,” baada ya kuripotiwa kuwa wachezaji wamegoma kufanya mazoezi kutokana na madai ya k . . .
Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 imeingia hatua ya Robo Fainali ambapo timu nane bora barani Afrika zimejipanga vyema kuwania kufuzu nusu fainali na ku . . .
Timu ya taifa ya Ivory Coast imefuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya AFCON 2025 baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao 3–0 dhidi ya Burkina Faso, ambayo sasa i . . .
Bondia wa kulipwa kutoka nchini Tanzania Hassan Mwakinyo Jr ametangaza kurejea nafasi ya kwanza barani Afrika katika uzito wa kati (middleweight) na kushika nafasi ya 37 . . .
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Manchester United Ole Gunnar Solskjær, ameonyesha nia ya kurejea Old Trafford kuinoa klabu hiyo kama Kocha wa Muda (Caretaker) hadi mwisho wa msi . . .
Klabu ya Chelsea ipo hatua za mwisho kumtangaza Liam Rosenior kuwa Kocha Mkuu mpya wa kikosi hicho, baada ya pande zote kufikia makubaliano ya awali. Rosenior anatar . . .
Kocha wa timu mwenyeji wa Kombe la Mataifa ya Afrika – AFCON 2025 Morocco Walid Regragui amewaonya wachezaji wake dhidi ya kuwapuuza wapinzani wao wasio na uzoefu Tanza . . .
Morocco imefuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya AFCON 2025 baada ya kupata ushindi mwembamba wa 1–0 dhidi ya Taifa Stars Tanzania katika mechi iliochezwa katika uw . . .
Serikali ya Gabon imesitisha ushiriki wa timu ya taifa ya soka “The Panthers” na kumfungia mshambuliaji nyota Pierre-Emerick Aubameyang, kufuatia kutolewa kwao kwenye . . .
Januari 3 Sudan watakipiga na Senegal katika mechi ya mwanzo kabisa katika uwanja wa Grand Stade de Tanger na usiku wake kutakuwa na mtanange mkali kati ya Mali dhidi ya . . .
Ligi Kuu ya England iliendelea kwa hamasa kubwa, na matokeo ya mwisho ya mechi za jana yanaonyesha wazi kwamba msimu huu bado umejaa presha, ushindani na matokeo ya kusha . . .
Senegal na Congo zimetuma ujumbe wa nia yao baada ya kupata ushindi wa uhakika katika mechi zao za Kombe la Mataifa ya Afrika - AFCON 2025 ambapo Tanzania na Tunisia  . . .
Miongoni mwa Kocha bora duniani Jose Mourihno (The Special one) katika moja ya mazungumzo yake na Rio Ferdinand amefunguka kuhusu wachezaji wa Afrika."Siwezi kwenda Afrik . . .
Mshambuliaji nyota wa klabu ya Barcelona Lamine Yamal ametwaa Tuzo ya mshambuliaji bora wa mwaka 2025 kutoka Global Soccer 2025.Lamine ametwaa Tuzo hiyo baada ya kuwa na . . .
Algeria imekuwa nchi ya tatu baada ya Misri na Nigeria kutinga hatua ya mtoano ya Kombe la Mataifa ya Afrika - AFCON 2025. Iliifunga Burkina Faso bao moja kwa sifuri mjin . . .
Michuano ya AFCON 2025 imeendelea kuwasha moto nchini Morocco na sasa picha ya nani anaweza kusonga mbele hatua ya 16 bora inaanza kuonekana kwa baadhi ya vigogo wa . . .
Mechi ya awali kabisa hii leo ni kati ya Angola dhidi ya Zimbabwe timu hizi za kundi zinakutana baada ya kila mmoja kuchapwa katika mechi zao za mzunguko wa kw . . .
Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) inaendelea kushika kasi nchini Morocco, huku mashindano hayo yakizidi kuvutia mashabiki wa soka barani Afrika.Usiku wa . . .
Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) yameanza vibaya kwa mataifa ya Afrika Mashariki, Tanzania na Uganda, baada ya timu hizo kukubali kichapo katika mech . . .
Wawakilishi wa kanda ya Afrika Mashariki na Kati kwenye michuano ya kandanda kwa mataifa ya Afrika - AFCON 2025, wanatupa karata zao za kwanza uwanjani leo Jumanne.Baaday . . .
Michuano ya kandanda kwa mataifa ya Afrika AFCON 2025 imeanza usiku wa kuamkia leo na katika mechi ya ufunguzi wenyeji Morocco waliibamiza timu ya taifa ya visiwa vya Com . . .
Nyota wa soka wa Ufaransa, Kylian Mbappé, ameandika historia mpya ndani ya klabu ya Real Madrid baada ya kufikia rekodi ya muda mrefu iliyowekwa na Cristiano Ronaldo mwa . . .
Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limetangaza rasmi muundo wa zawadi za fedha kwa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025, itakayofanyika nchini Morocco . . .
Klabu ya Simba SC imethibitisha rasmi kumteua Steve Barker kuwa kocha mkuu mpya wa kikosi hicho, akichukua nafasi ya Meneja Dimitar Pantev ambaye ameo . . .
wachezaji wa klabu ya Singida Big Stars Khalid Aucho amefungiwa michezo mitano (5) na kutozwa faini ya Sh. 1,000,000 kwa kosa la kufanya kitendo kisicho cha kiuanamichezo . . .
Mahakama ya Paris inayohusika na masuala ya ajira imeamua kwamba Paris Saint-Germain lazima imlipe Kylian Mbappé zaidi ya euro milioni 60 (dola milioni 70).Ni kuhusu mzo . . .
STRAIKA wa JKT Tanzania, Peter Paul, ambaye alienguliwa katika kikosi cha Timu ya Taifa (Taifa Stars), kilichoelekea Misri kuweka kambi ili kujiandaa na Fainali za Kombe . . .
KIKOSI cha mabingwa watetezi JKT Queens kimeondoka jijini Dar es Salaam jana kuelekea Iringa ili kuwafuata wenyeji Ceasiaa Queens kwa ajili ya mechi ya Ligi Kuu ya Wanawa . . .
KLABU ya Simba imepiga hodi Mamelodi Sundowns nchini Afrika Kusini ikisema inahitaji kumsajili moja kwa moja beki wa kati anayeichezea timu hiyo kwa mkopo Rushine De Reuc . . .
Klabu ya Liverpool inaonekana tayari kuanza kupanga maisha bila nyota wao Mohamed Salah, kufuatia taarifa zinazoenea kuhusu uwezekano wa mshambuliaji huyo kuondoka mwezi . . .
Droo ya hatua ya makundi ya kombe la Dunia 2026 imekamilika huko Kennedy Center Jijini Washington, D.C Marekani ljumaa, Desemba 5, 2025 ambapo wababe wa soka Duniani waki . . .