Klabu za Newcastle United na Arsenal zote za England zimeanza kujipanga baada ya kusikia taarifa kwamba Brentford inamfuatilia Mshambuliaji kutoka nchini Canada na Klabu . . .
Sakata la Fiston Mayele limemuibua mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Mrisho Khalfan Ngassa ambaye amesema kama ni kutupiwa jini basi Fei Toto angekuwa chizi, majini ya hap . . .
Nyota wa timu ya Taifa ya Tanzania nahodha Mbwana Ally Samatta ameeleza uchu wake wa kurudi kucheza timu moja wapo ya Ligi kuu kandanda Tanzania Bara.Samatta anatamani ku . . .
Licha ya kuibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Mashujaa FC jana Alhamis (Februari 08) katika Uwanja wa Azam Complex jijini Dar es salaam, Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanz . . .
Kocha Mkuu wa Vinara wa Ligi Kuu ya Ujerumani Bayern Leverkusen, Xabi Alonso amesema kuwa hana mpango wa kujiunga na Liverpool kwa sasa kwa kuwa alipo ana furaha.Alonso a . . .
Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Afrika Kusini ‘Bafana Bafana’ Hugo Broos amewapongeza wachezaji wake licha ya kushindwa kutinga Hatua ya Fainali ya Michuano ya Mataifa . . .
Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika ‘AFCON 2023’ imefikia Nusu Fainali ambako Nigeria itaivaa Afrika Kusini saa 2:00 usiku na wenyeji Ivory Coast dhidi ya Jamhuri . . .
Mshambuliaji Karl Toko Ekambi ametangaza rasmi kustaafu kuitumikia timu ya taifa ya Cameroon baada ya kuondoshwa katika hatua ya 16 bora ya michuano ya Afcon 2023 na Nige . . .
Lewis Hamilton kuondoka Mercedes na kujiunga na Ferrari kwa msimu wa Formula 1 wa 2025 Lewis Hamilton atajiunga na Ferrari mwaka ujao na kuchukua nafasi ya Carlos Sainz k . . .
KOCHA Mkuu wa Simba Abdalhek Benchikha ameahirisha mapumziko aliyowapa mastaa wa timu hiyo waliokuwa Taifa Stars, baada ya wachezaji watano aliokuwa nao mazoezini kupatwa . . .
Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Morocco ‘ Simba wa Milima ya Atlas’ Walid Regragui amesema kikosi chake hakikucheza kwa kujituma katika mchezo wa Hatua ya 16 Bora dhid . . .
Mali iliifunga Burkina Faso mabao 2-1 na kujihakikishia nafasi ya kufuzu kwa robo fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika. Mapema katika vipindi vyote viwili, Mali wal . . .
Rais Samia Suluhu Hassan amewapongeza Wachezaji, Benchi la Ufundi na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kazi kubwa waliyoifanya kwenye Fainali za Mataifa ya . . .
Kocha Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchikha amesema usajili ambao wameufanya unakwenda kurudisha makombe ambayo waliyapoteza katika katika kipindi cha msimu miwili."Tumean . . .
Real Madrid imetajwa kuwa klabu ya soka iliyoingiza mapato ya juu zaidi duniani kwa msimu wa 2022/23 kwa mujibu wa Deloitte Sports Business Group, ikichukua nafasi ya Man . . .
Maombi ya Taifa la Cameroon yamejibiwa, huyu mwamba aliiua Brazil na akafanya mabalaa pale Qatar akitokea benchi, ndio ni Vicent Aboubacar.Ni top Striker Barani Afrika kw . . .
staa wa soka wa Tanzania Simon Msuva amesema Kombe la Mataifa ya Afrika ( AFCON) imemuwezesha kupata Timu ya Saudi Arabia ya Al Najmah FC ya Ligi daraja la kwanza ambayo . . .
Kwa vile michuano ya hivi punde zaidi ya Kombe la Mataifa ya Afrika ilianza wikendi iliyopita, hebu tuchochee hamu yako kwa kutafakari Wafungaji Bora wa AFCON. Mashi . . .
Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Senegal, Aliou Cisse alipata matatizo ya kiafya, akawahishwa hospitalini kufuatia ushindi dhidi Cameroon, lakini sasa anaendelea vyema baad . . .
Imefahamika kuwa wachezaji wapya wote wa kigeni waliosajiliwa katika dirisha dogo la msimu huu wamepewa mikataba migumu ya miezi sita yenye masharti mazito ya kuichezea t . . .
Mlinda Lango chaguo la kwanza katika kikosi cha Cameroon, Andre Onana ameweka wazi kuwa kocha wake, Rigobert Song alimwambia wazi kama atacheza mchezo wa Premier League d . . .
Shirikisho la Soka Misri ‘EFA’ limewatupia lawama wachezaji wa timu ya taifa ya nchi hiyo ‘The Pharaoh’ baada ya timu hiyo kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Msumb . . .
Klabu ya Ajax ina matumaini makubwa ya kuipata saini ya kiungo wa Al Etifaq, Jordan Henderson kwa mkopo wa nusu msimu licha ya kuwepo kwa upinzani kutoka Juventus na Etif . . .
Imefahamika kuwa Bondia wa ngumi za kulipwa nchini Tanzania, Seleman Kidunda kesho Jumanne (Januari 16) anatarajia kusaini mkataba wa pambano la kimataifa la kuwania mkan . . .
Matajiri wa Saudi Arabian, AL Etifaq hawana mpango wa kumuuza kiungo wao raia wa England, Jordan Henderson mwenye umri wa miaka 33, dirisha hili la Januari.Taarifa hii in . . .
MICHEZOArteta: Arsenal tunajitafuta upya39 mins agoKocha Mkuu wa Arsenal Mikel Arteta amefichua kwamba, klabu hiyo inahitaji kutuliza akili zaidi katika kipindi hiki kufu . . .
Bondia Hassan Mwakinyo ( @hassanmwakinyojr ) amesema Shirikisho la Mchezo wa Ngumi Duniani (WBO) limeridhia kwamba pambano lake la January 27,2024 New Amaan Complex Zanzi . . .
Klabu ya Coastal Union imeachana na Mlinda Lango wake Justine Ndikumnana, raia wa Burundi ambaye amekuwa mchezaji wa nane kuachwa ndani ya timu hiyo kwenye dirisha hili l . . .
Mshambuliaji wa Klabu Bingwa nchini Ufaransa Paris St-Germain, Kylian Mbappe bado amesema hajafanya uamuzi kuhusu mustakabali wake.Mkataba wa nahodha huyo wa Ufaransa mwe . . .
Rais wa Klabu ya Young Africans SC na Mwenyekiti wa Vilabu Barani Afrika, Eng Hersi Said amekutana na Rais wa Klabu ya Paris Saint-Germain ya Ufaransa na Mwenyekiti wa Vi . . .
Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji, Francis Baraza amesema dirisha hili la usajili anatarajia kuimarisha kikosi chake kwa kufanya usajili wa wachezaji wawili kwenye eneo la ushamb . . .
Uongozi wa Young Africans umeweka wazi kuwa usajili ambao wanafanya kwenye timu hiyo ni wa akili kubwa ukiwa na malengo ya kuongeza uimara kwenye timu hiyo.Young Africans . . .
Yanga SC wamemtambulisha nyota kutoka Ghana, Augustine Okrah kama mchezaji wao mpya wakimsajili katika dirisha hili dogo.Okrah aliwahi kuitumikia Simba kabla ya kurejea k . . .