Shirikisho la soka duniani, FIFA, limemchagua mwamuzi wa Tanzania, Ahmed Arajiga, kuchezesha mchezo muhimu wa kufuzu Kombe la Dunia 2026, kati ya Cape Verde na Eswatini!
Mchezo huu unatarajiwa kuchezwa mnamo Oktoba 13, nchini Cape Verde, na ushindi wa Cape Verde utawapa fursa ya moja kwa moja kufuzu Kombe la Dunia.
Ikumbukwe kuwa Tanzania imepewa kibari cha fahari kuona mwamuzi wake akiwakilisha taifa katika kiwango cha kimataifa.