Man Utd & Liverpool wamuwinda Branthwaite

Liverpool na Manchester United wanatazamiwa kushindania usajili wa pauni milioni 65 wa mlinzi wa Everton mwenye umri wa miaka 23 wa Uingereza Jarrad Branthwaite. (Mirror)

Manchester United wanapanga kumnunua kiungo wa kati wa Atletico Madrid mwenye umri wa miaka 25 Conor Gallagher. (Express)

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii