Furaha ya ushindi dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast bado imeendelea kushamiri kwa Meneja wa Habari na Mawasilino wa Simba SC Ahmed Ally, licha ya kikosi cha klabu . . .
SIMBA SC, leo Jumapili inatarajiwa kuvaana na ASEC Mimosas katika mchezo wa hatua ya makundi wa Kombe la Shirikisho Afrika utakaochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar es Saalam. H . . .
Yanga ilianzishwa mwaka 1935 na Simba mwaka 1936, lakini ukizama ndani utagundua kwamba , huo ndiyo ulikuwa mwanzo wa utani na upinzani wa jadi baina ya miamba . . .
STAA wa Simba, Bernard Morrison ametuma ujumbe kwenye kundi la WhatsApp la wachezaji wa timu hiyo na kufowadi vilevile kwa viongozi akiomba radhi kwa kilichotokea.“ . . .
Christian Eriksen anasema ni muujiza kuweza kuanza tena soka akiwa na Brentford baada ya kuzimia alipokuwa akiichezea Denmark kwenye Euro 2020 msimu uliopita wa joto. M . . .
Marekani Jumatano imejipatia medali yake ya kwanza ya dhahabu kwenye michecho ya Olimpiki ya majira ya baridi mjini Beijing, China, kupitia ushindi wa Lindsey Jacob . . .
mchezo wao wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya ASEC Mimosas kutoka Ivory Coast, unaotarajiwa kufanyika Februari 13, katika Uwanja wa Mkapa, Dar.Sim . . .
China imesema Jumanne kwamba itaalika watazamaji zaidi kwenye michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi inayoendelea mjini Beijing kutokana na fanaka kubwa ya kudhibi . . .
Uongozi wa klabu ya Young Africans umepaza sauti na kusema timu yao imekua ikipata wakati mgumu dhidi ya waamuzi wanaochezesha michezo yao ya Ligi Kuu Tanzania Bara. . . .
Kupitia Mkutano na waandishi wa Habari leo Feburuari 8, 2022, Msemaji wa Klabu ya Haji Manara amesema kuwa Klabu yake na viongozi hawatoi malalamiko kwa Waamuzi . . .
Mchezaji nyota wa Ligi Kuu ya Uingereza Kurt Zouma anaweza kufunguliwa mashtaka baada ya kurekodiwa kwenye picha ya video akimpiga paka wake kama mpira kwenye sakafu y . . .
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema atakaa na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohammed Mchengerwa ili waongee uwezekano wa kutenga bajeti y . . .
Kocha Msaidizi wa Mbeya Kwanza FC Nizar Khalfan ametoa pongezi kwa wachezaji wake kwa kazi kubwa walioifanya kwenye mchezo wa jana Jumapili (Februari 06) dhidi ya Mab . . .
Timu ya taifa ya Senegal imeshinda ubingwa wa michuano ya AFCON kwa mara ya kwanza kwa mikwaju ya penati 4-2 dhidi ya mabingwa mara 7 na wakihistoria timu ya taifa ya . . .
Kiungo Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal Jack Wilshere amefuta uwezekano wa kusajiliwa tena klabuni hapo, baada ya kusisitiza meneja wa sasa wa The Gunners Mikel Arte . . .
Ni lala salama ya AFCON leo katika dimba la Olembe unaopatikana kwenye mji kuu wa Cameroon, Yaounde.Nyota wawili wa Anfield ya England watakutana kuoneshana ubabe . . .
Mafarao wa Misri wamefanikiwa kutinga hatua ya fainali baada ya kutoka sare dhidi ya wenyeji Cameroon dakika 90 na zile za nyongeza na hivyo mchezo huo kuamuliwa kwa . . .
SIMBA haina matokeo mazuri katika mechi zake tatu za Ligi Kuu Bara ingawa wikiendi iliyopita walirejesha ubabe wao nyumbani wakiipasua Dar City na kudhihirisha bado j . . .
Kocha Mkuu wa Young Africans Nasreddine Nabi, amesema anafurahi kuona kikosi chake kimeendelea kuimarika kwa ajili ya kutimiza malengo ya kuibuka na ushindi katika mc . . .
MARA baada ya kufunga bao lake la kwanza tangu kuanza kwa msimu huu, mshambuliaji Mkongomani ndani ya kikosi cha Simba, Chris Mugalu, ameibuka na kutamka kuwa sasa hivi k . . .
BEKI kiraka wa Yanga, Kibwana Shomari na mwenzake Abdallah Shaibu ‘Ninja’, wanahesabu siku tuza kurudi uwanjani mara baada ya kupona majeraha yao. Kibwana anayemudu . . .
Pierre-Emerick Aubameyang amejiunga na Barcelona kwa uhamisho wa bure baada ya kuondoka Arsenal, uhamisho huo unatarajiwa kutangazwa leo Jumanne. Mshambuliaji huyo w . . .
LEO Januari 29 Yanga itakuwa kwenye kazi ya kusaka ushindi mbele ya Mbao FC ambayo nayo pia inaska ushindi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya 32 bora, Uw . . .
Maafisa wa Cameroon wamesema kwamba takriban watu 6 wamekufa baada ya mkanyagano nje ya uwanja mmoja wa mpira kunakofanyikia michuano ya kombe la Afrika la AFCON. . . .
Sasa kutoka Msimbazi hadi Jangwani ‘gap’ ni pointi 10, wakati huo Coastal Union wanashuka kwa nafasi moja huku Namungo wakipanda kwa nafasi tatu kutoka nafasi y . . .
Vinara wa Ligi Kuu Ya NBC Tanzania bara timu ya Yanga imeendelea na wimbi la ushindibaada ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wenyeji Tanzania Polisi mchezo uliopig . . .
Nyumba ya mshambuliaji wa Sierra Leone Kei Kamara bado iko chini ya ulinzi wa polisi baada ya mshambuliaji huyo kukosa penati dhidi ya Guinea ya Ikweta kwenye michu . . .
Timu ya taifa ya Comoro imeitupa Ghana nje ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), baada ya kuichapa mabao 3-2 katika mchezo wa mwisho wa Kundi C usiku wa Juman . . .
Nyota na mkongwe wa Manchester United, Wayne Rooney anatajwa kuwa huenda akarithi mikoba ya Rafael Benitezndani ya Goodison Park.Everton siku ya Jumapili ilimfuta kazi al . . .
Saa chache Mara baada ya wekundu wa msimbazi Simba kumtambulisha Ahamed Ally Kama msemaji wao mpya vilevile Klabu ya Simba imezindua jezi mpya zitakazotumika kwenye . . .
Chelsea wamemuondoa Mshambuliaji wao Romelu Lukaku katika list ya wachezaji watakaowatumia katika mchezo wa EPL leo dhidi ya Liverpool.Sababu hasa ya kufanya hivyo haijaw . . .
Kocha Mkuu wa klabu ya Simba, Pablo Franco amepewa Onyo Kali kwa kosa la kushindwa kuzuia hisia ama mihemko yake hali iliyosababisha aoneshe vitendo visivyo vya kiuanamic . . .