Matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais nchini Colombia yanaonesha kutakuwa na duru ya pili mnamo mwezi Juni baada ya wagombea sita waliokuwa wakiwania kiti hicho kushindwa kupata asilimia 50 ya kura . . .
Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda amejumuishwa kwenye kikosi kazi kinachoendelea na shughuli ya kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa.Pinda aliyekuwa Waziri Mkuu kat . . .
Raia wa Colombia wanapiga kura leo katika duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais, huku chama cha mrengo wa kushoto kikielekea kuibuka na ushindi kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo ya Amer . . .
Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo, amewaonya viongozi waliopewa dhamana na chama hicho, kuacha kueneza fitina na majungu dhidi ya wengine wakati wa uchaguzi wa ndani.Chongolo ameyasema hayo le . . .
Waziri mkuu aliyeondolewa madarakani nchini Pakistan, Imran Khan, ameitaka serikali kutangaza uchaguzi mpya ndani ya siku sita kutoka sasa ama aitishe maandamano makubwa ya umma yasiyo kikomo kati . . .
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kupitia kwa Katibu Mkuu wake John Mnyika kimetoa taarifa juu ya mazungumzo ambayo Cham hicho kilifanya hivi karibuni na Ujumbe wa Rais wa Jamhuri ya . . .
Siku moja baada ya mkutano wa Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi kutangaza kuwasimamisha Mwenyekiti wa Chama hicho, James Mbatia na makamu makamu mwenyekiti wake upande wa Bara,Angelina Mta . . .
Halmashauri kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi, imemsimamisha Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, James Mbatia na Makamu Mwenyekiti wake Bara, Angelina Mtaigwa, kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo ukiuk . . .
Vyama vikuu vya upinzani nchini Guinea Jumatatu vimeapa kukaidi marufuku ya kutofanya maandamano iliyowekwa na utawala wa kijeshi, hatua ambayo inaashiria uhusiano mbaya kati ya vyama hivyo na j . . .
Rais mteule wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud, anasema serikali yake italenga masuala ya haraka ikiwa ni pamoja na usalama, kufufua uchumi, uthabiti wa kisiasa, na auheni ya madeni katika kipind . . .
Raila Odinga Junior, kitinda mimba wa kinara wa ODM Raila Odinga, amebashiri ushindi mkubwa wa muungano wa Azimio la Umoja-One Kenya katika uchaguzi mkuu wa Agosti 9.Kupitia kwa mtandao wa Twitter, Ju . . .
Serikali ya Mali inayoongozwa na rais aliyefanya mapinguzi mara mbili imetangaza kuwa vikosi vyake vya usalama vimezuia jaribio la mapinduzi ambalo imesema liliungwa mkono na nchi moja ya Magharib . . .
Rais wa Guinea Bissau Umaro Sissoco Embalo siku ya Jumatatu alivunja bunge la nchi hiyo na kusema kuwa utaitishwa uchaguzi wa mapema mwaka huu ili kutatua mzozo wa kisiasa uliodumu kwa muda mref . . .
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga, amemchagua kiongozi wa chama cha Narc Kenya, Martha Karua, kuwa mgombea mwenza katika uchaguzi unaotarajiwa mwezi agosti. Karua anak . . .
Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kufuatia upigaji kura uliofanyika Jumapili mjini Mogadishu. Upigaji kura huo ulifanyika katika uwanja wa ndege wa Mogadishu . . .
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga, anatarajiwa kumtaja mgombea mwenza hii leo, baada ya kupokea majina matatu kutoka kwa jopo alililoteuwa kumsaidia kumchagua mgombea mwenza. . . .
Wagombea 36 wanawania kiti cha rais katika uchaguzi unaofanyika leo nchini Somalia ambao umecheleweshwa kwa muda mrefu.Rais huyo atachaguliwa na wabunge katika eneo la uwanja wa ndege lililo chini . . .
abunge wa viti maalum waliofukuzwa uanachama wa Chadema juzi leo Ijuma Mei 13 wameudhuria vikao vya Bunge isipokuwa Halima Mdee na Ester Bulaya.Aliyenza kuingia ndani ya ukumbi wa Bunge ni Ester M . . .
Mwanasiasa wa upinzani na mwanamuziki maarufu nchini Uganda, Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine amewasili katika ukumbi wa Mlimani City kwa ajili ya kuhudhuria kikao cha Baraza la Kuu la Chadema . . .
Mahakama ya kikatiba ya Uganda imemtaka mtoto wa Rais Yoweri Museveni, Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kujibu shtaka analotuhumiwa la kueleza nia yake ya kuwania urais akiwa bado anahudum . . .
Upigaji kura wa mapema umeanza nchini Australia leo, wiki mbili kabla siku ya kupiga kura, huku matokeo ya utafiti wa maoni yakionesha chama cha upinzani cha Labour kikiongoza na waziri mkuu Scott . . .
Chama cha kihafidhina cha Ujerumani cha Christian Democratic Union, CDU kimeshinda uchaguzi katika jimbo la Schleswig-Holstein. Takwimu rasmi za matokeo ya awali yaliyotolewa mapema leo zimekiweka . . .
Idara ya mahakama ya Guinea imeanza uchunguzi dhidi ya rais wa zamani wa nchi Alpha Conde na maafisa wengine 26 waliokuwa katika serikali yake. Hatua hiyo inafuatia malalamiko kutoka kwa kundi moj . . .
Mwanachama wa wanamgambo wa mrengo mkali wa kulia wa Oath Keepers siku ya Jumatano alikiri kushiriki katika njama za uchochezi wakati wa shambulizi la mwaka 2021 kwenye jengo la bunge la Marekan . . .
Vyama vya kisiasa nchini Kenya viko kwenye hatari kwa wagombea wake katika uchaguzi mkuu wa Agosti 9 kuondolewa katika orodha ya wagombea iwapo vyama hivyo havitatimiza mahitaji ya sheria ya usa . . .