Polisi mjini Kinshasa walizingira makao makuu ya Martin Fayulu, mmoja wa wapinzani watano wa Rais Felix Tshisekedi wa DRCWatu kadhaa wamejeruhiwa katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo si . . .
Tume ya Uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, CENI, imetoa matokeo zaidi ya awali ya uchaguzi wa rais, yakionesha rais Felix Tshisekedi anaongoza kwa mbali, akifuatiwa na mfanyabiashara Mo . . .
Warepublikan kote Marekani, wamelalamika uamuzi wa mahakama kuu ya Colorado, wa kuondoa jina la rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, katika karatasi ya kura ya uchaguzi wa awali wa Republikan wa . . .
Mtoto wa Msanii wa Bongo Fleva Shetta, Qailah Nurdin Bilal amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wa 9 wa Chipukizi Taifa uliofanyika katika uk . . .
Uchelewesho wa kiwango kikubwa katika vituo vya kupigia kura, Jumatano umewalazimisha maafisa kuongeza muda wa kupiga kura katika uchaguzi wa rais mpaka leo Alhamisi.Wapiga kura wengi katika taifa hil . . .
Takriban wapiga kura milioni 44 wameitwa kumchagua rais wao lakini pia wabunge wao wa kitaifa na mikoa na madiwani wao wa manispaa leo Jumatano. Rais anayemaliza muda wake, Félix Tshisekedi, anatafut . . .
Wapiga kura ama walikuwa na wasiwasi, au kususia uchaguzi, ambao baadhi ya watu wanaona kama kurudisha nyuma demokrasia ya jiji.Idadi ya wapiga kura waliojitokeza siku ya Jumapili katika uchaguzi wa h . . .
Sonko, ambaye aliondolewa kwenye orodha ya uchaguzi kufuatia hukumu yake mwezi Juni, amekuwa katikati ya mvutano na serikali ambayo imedumu kwa zaidi ya miaka miwili, na kuibua matukio kadhaa ya ghasi . . .
Watu wawili wamekufa na wengine kadhaa wamejeruhiwa jana jioni mjini Monrovia baada ya gari kuwagonga wafuasi wa Joseph Boakai, saa chache kabla ya kutangazwa kwake kuwa mshindi wa urais nchini Liberi . . .
Kiongozi wa upinzani nchini Liberia Joseph Boakai anaongoza kwa asilimia 50.58 dhidi ya Rais George Weah aliye na asilimia 49.42 katika matokeo ya duru ya pili ya uchaguzi wa rais.Asilimia tisini ya k . . .
Kura zinahesabiwa nchini Madagascar baada ya kufanyika kwa uchaguzi wa rais ulosusiwa na idadi kubwa ya wapinzani.Uchaguzi umefanyika baada ya wiki kadhaa za ghasia na maandamano, na katika mji mkuu w . . .
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeagiza pikipiki zote zilizokamatwa kwenye kituo cha polisi cha Sirari kilichopo mpakani mwa Tanzania na Kenya ziachiwe haraka.Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi na U . . .
Mgombea urais wa zamani wa Misri Ahmed al-Tantawi atakabiliwa na kesi kwa kusambaza fomu za kuidhinisha uchaguzi ujao wa Misri bila idhini, mwanachama wa kampeni na watetezi wa haki alisema Jumanne.Ta . . .
Waziri wa ulinzi wa Indonesia na mgombea wa urais, Prabowo Subianto amemtangaza mtoto wa kiume wa rais anayeondoka madarakani, Joko Widodo kuwa mgombea wake mwenza katika uchaguzi unaotarajia kufanyik . . .
Tume ya Uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo – DRC, imetangaza rasmi wagombea 24 waliojisajili kwa uchaguzi wa Rais utakaofanyika Desemba 20, 2023 ambapo orodha kamili ya wagombea itacha . . .
Tume ya uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imethibitisha kupokea orodha ya wagombea 24 wa urais ambao wamejisajili kuwania katika ucaguzi wa Desemba 20.Licha ya orodha hiyo, wagombea bad . . .
Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi (ECOWAS) imewataka wagombea wa uchaguzi nchini Liberia kujiepusha na kutangaza ushindi kabla ya wakati au kuweka shinikizo lisilofaa kwa Tume ya Taifa ya Uchagu . . .
Maofisa wa polisi nchini Uganda na wenzao wa jeshi, wameripotiwa kuweka vizuizi katika afisi kuu za chama cha upinzani cha National Unity Platform (NUP), kinachoongozwa na mwanasiasa wa upinzani Bobi . . .
Kiongozi wa upinzani wa Congo Moise Katumbi amewasilisha ombi lake la kuwania nafasi ya urais katika uchaguzi utakaofanyika mwezi Desemba ambapo Rais Felix Tshisekedi anawania tena nafasi hiyo kwa muh . . .
Maafisa wa usalama wa Madagascar wafyetua gesi ya kutoa machozi kwa wagombea wa upinzani waliokuwa wakiongoza maandamano katika mji mkuu wa Antananarivo siku ya Jumatatu.Waandishi wa habari wa shirika . . .
Tshisekedi anagombania mhula wa pili katika taifa lenye utajiri mkuu wa cobalt duniani, baada ya kushinda katika mhula wa kwanza ulokuwa na utata mwaka 2018.Wajumbe wa mungano wa Union Sacree unaohusi . . .
Joseph Boakai, amezindua kampeni yake kuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba, ambapo atachuana na nyota wa zamani wa soka na rais wa nchi hiyo, George Weah.Kiongozi wa upinzani nchini Liberia, Joseph . . .
Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa aliyekuwa anagombania nafasi hiyo katika kipindi cha awamu ya pili ameshinda kwa kura asilimia 52.6 dhidi ya mpinzani wake Nelson Chamisa aliyepata asilimia 44Mato . . .
Polisi nchini Zimbabwe wanasema wamewakamata watu 41, simu za mkononi, talakilishi na vifaa vingine vya kielektroniki wakati wa msako mkali katika maeneo manne ya jijini Harare mara baada ya kupata ta . . .
Maafisa wa uchaguzi nchini Zimbabwe, waliongeza muda wa upigaji kura katika uchaguzi wa rais hadi Alhamisi, baada ya kucheleweshwa kwa hadi saa 10 katika ngome nyingi za upinzani.Hayo yalijiri wakati . . .