Musoma. Polisi mkoani Mara inamshikilia mkazi wa kijiji cha Rugasha Bukoba Vijijini, Marco Saidi (68) kwa tuhuma za kuwalewesha abiria kwenye mabasi yanayofanya safari zake kati ya Mwanza-Musoma na ku . . .
MKAZI wa mtaa wa Kanisani B uliopo wilaya ya Ludewa mkoani Njombe anaefahamika kwa jina la Raban Razalo (48) amefariki kwa kujinyonga na waya kwa madai ya kutoridhishwa na kitendo cha Padri wa kanisa . . .