Baada ya miaka mitatu tangu baadhi ya makaburi ya Vingunguti, jijini Dar es Salaam kusombwa na maji ya Mto Msimbazi, Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imekuja na mpango wa kuyahamisha yaliyosalia k . . .
Kamera ya James Webb Space ya NASA, iliyotengenezwa kuiwezesha dunia kufahamu ulimwengu ulivyokuwa wakati sayari za kwanza zilipopatikana, ilizinduliwa kwa njia ya roketi mapema Jumamosi kutoka pwani . . .
SAILI Juma (27) mkazi wa Mbeya ambaye mapema wiki hii alilala kitandani nyumbani kwao Mbeya na ghafla akaamkia juu ya mti Masasi mkoani Mtwara akiwa amelala fofo, amesafirishwa kurejea Mbeya. Jum . . .
Jumla ya watoto watatu wa kiume wamezaliwa katika mkesha wa Krismasi katika Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga wakiwa salama wenye afya njema.Akizungumza afisa muuguzi msaidizi kiongozi wa wodi y . . .
. . .
Katika hali ya kushanganza Mbunge mmoja wa jimbo la Embakasi Mashariki nchini Kenya aliyefahamika kwa jina Babu Owino amezua taharuki bungeni baada ya kuficha magongo ya kutembelea ya mbunge mwenzake . . .
Idadi ya watu waliofariki kwenye ajali iliyotokea jana katika eneo la Lungumba Kata ya Mahenge karibu na mlima Kitonga mkoani Iringa imeongezeka na kufikia kumi.Majeruhi mmoja kati ya watatu waliotoka . . .
Watu wawili wamefariki akiwemo kijana aliyeuawa kwa kukatwa na panga baada ya kufumaniwa na mke wa mtu kilimanjaro. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amesema jana kuwa mwanamke aliye . . .
Musoma. Polisi mkoani Mara inamshikilia mkazi wa kijiji cha Rugasha Bukoba Vijijini, Marco Saidi (68) kwa tuhuma za kuwalewesha abiria kwenye mabasi yanayofanya safari zake kati ya Mwanza-Musoma na ku . . .
MKAZI wa mtaa wa Kanisani B uliopo wilaya ya Ludewa mkoani Njombe anaefahamika kwa jina la Raban Razalo (48) amefariki kwa kujinyonga na waya kwa madai ya kutoridhishwa na kitendo cha Padri wa kanisa . . .