Agnes Nandutu, alikamatwa Jumanne, Aprili 18, alipojisalimisha kwa polisi ili kuhojiwa kuhusiana na sakata ya kutoweka kwa mabati ya Karamoja. RWaziri Nandutu, alifikishwa mbele ya Mahakama ya Kupamba . . .
Mahakama ya wilaya ya Kilwa imemhukumu Muharami Hassan Nayonga, kifungo cha miaka 30 jela baada ya kumkuta na hatia ya kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile na watu mbalimbali.Muharami ambaye ni mli . . .
Mahakama ya hakimu mkazi mfawidhi wilaya ya Lindi imemhukumu Said Mohamed (49) mkazi wa chikonji Lindi, kifungo cha miaka 30 jela sambamba na adhabu ya viboko 6 na kulipa fidia ya shilingi laki tano k . . .
Polisi wa Italy wamepata tani mbili ya dawa za kulevya aina ya cocaine zikielea kwenye bahari karibu na ufukwe wa mashariki mwa kisiwa cha Italy cha Cicily.Polisi wanaoshughulika na masuala ya fedha w . . .
Malori yapatayo 20 yamefukiwa kwenye mporomoko ya ardhi kaskazini magharibi mwa Pakistan. Hali hiyo ilitokea baada ya barabara kuu inayopitia katika eneo la Khyber kukumbwa na mvua kubwa zilizosababis . . .
Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres alitoa wito kwa pande zinazopigana nchini Sudan kusitisha mara moja uhasama huku mjumbe wake mjini Khartoum akisema takriban watu 200 wameuawa na mapigano hay . . .
Ridhiwan Kikwete(MB) Na Naibu waziri wa Utumishi .Ameshiriki kugawa Zawadi katika mashindano ya Kimataifa ya uhifadhi wa Quraan yaliayofanyika Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam. Ak . . .
Shabiki wa Yanga aliyejulikana kwa jina la Jane, mkazi wa Kata ya Bwilingu wilayani Chalinze mkoa wa Pwani, amepoteza maisha wakati akiangalia mchezo wa jana wa watani wa jadi kati ya Simba na Yanga. . . .
Takriban watu 56 wameuawa nchini Sudan na wengine zaidi ya 400 wamejeruhiwa katika siku mbili za mapigano makali yaliyozuka kati ya jeshi la nchi hiyo na kundi la wanamgambo la RSF linalop . . .
Aliyekuwa mwanasiasa wa India ameuawa kwa kupigwa risasi akizungumza moja kwa moja kwenye runinga pamoja na kaka yake.Atiq Ahmed, ambaye alikuwa chini ya usalama wa maafisa wa polisi, alikuwa akizungu . . .
Maafisa wa usalama wa Libya Alhamisi walisema walimkamata raia wa pili wa Marekani kwa madai ya kusambaza imani ya kikristo katika taifa hilo la kiislamu la Afrika Kaskazini.Kukamatwa huko kunajiri ba . . .
Mapigano mapya kati ya makundi mawili ya waarabu na waiso waarabu, katika eneo la Darfur nchini Sudan yamesababisha vifo vya watu 24, nyumba kadhaa kuchomwa moto na maelfu ya watu kukimbia makazi yao. . . .
Uchungzi wa kifo cha June Jerop mwanafunzi wa chuo kikuu cha Kenyatta kinapoendelea siri fiche kuhusiana na mauaji ya mwanadada huyo zimeanza kuchipuka.Jesse Wafula mshukiwa mkuu katika maua . . .
Takriban watu 50 waliuawa Jumanne katikati mwa Myanmar katika shambulizi la anga lililofanywa na jeshi kwenye hafla iliyohudhuriwa na wapinzani wa utawala wa nchi hiyo, kulingana na vyombo vya habari . . .
Uchunguzi wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa, umefanikisha kumnasa mmoja wa wamiliki halali wa silaha anayetuhumiwa kujipatia fedha kutoka kwa magenge ya uhalifu kwa njia ya kuzikodisha.Taarifa iliyoto . . .
WAKATI waumini wa dini ya kikristo duniani kote wakiendelea kusherehekea Sikukuu ya Pasaka, wilayani Chato mkoa wa Geita kumetokea mauaji ya Mwenyekiti wa kitongoji cha Mwabazengi, kata ya Muung . . .
Kanisa la International Pentecost Holiness limebariki ndoa za wanaume wenye wake wengi zaidi ya 800, ambazo ni za kawaida katika baadhi ya jamii za Kiafrika, ambapo Kiongozi wa Dhehebu hilo anadai zim . . .
Kufuatia kusambaa kwa taarifa ya kufukuliwa kaburi la mzee mmoja huko Wilayani Manyoni na kudaiwa kuchukuliwa baadhi ya viungo, huku watuhumiwa saba waliofanya mauaji na kufukuwa makaburi wakishikiliw . . .
Rubani mmoja nchini Afrika Kusini Rudolf Erasmus ametua kwa dharura baada ya kugundua nyoka mwenye sumu kali aina ya kobra akiwa amejificha chini ya kiti chake.Rubani Erasmus na abiria wanne kwenye nd . . .
Mwanaume mmoja aliyefunga ndoa hivi karibuni amefariki pamoja na kakake baada ya mfumo wa ukumbi wa michezo nyumbani waliopokea kama zawadi ya harusi kulipuka.Polisi wanasema zawadi hiyo iliwekwa bomu . . .
Mahakama nchini Nigeria imempa mwanamume mmoja makataa ya hadi Ijumaa, Aprili 7, kumuua jogoo wake kufuatia malalamishi ya jirani yake kuwa kuwika kwa ndege huyo kulikuwa kukimharibia usingizi. H . . .
Serikali ya Chad imesema iliwaachilia huru waasi 380 Jana Jumatano baada ya kuwaondolea kifungo cha maisha jela walichohukumiwa kufuatia kifo cha rais wa zamani Idriss Deby Itno.Katika hafla iliyopepe . . .
Moja ya habari iliyokamata headlines wiki hii ni ripoti iliyoandikwa kupitia jarida la The New York Post, kuripoti kuwepo kwa muuguzi mmoja kutokea Nchini Mexico kufariki baada a kukutwa akiwa amepote . . .
Anselum Sebuka mwenye umri wa miaka 42 mkazi wa Kijiji na kata ya Namagondo wilayani Ukerewe mkoani Mwanza amekutwa ndani ya chumba chake akiwa amejaribu kukata sehemu zake za siri kwa kutumia kisu.Ka . . .