WAZIRI RIDHIWANI AKABIDHI ZAWADI MASHINDANO YA QURAAN

Ridhiwan Kikwete(MB) Na Naibu waziri wa Utumishi .Ameshiriki kugawa Zawadi katika mashindano ya Kimataifa ya uhifadhi wa  Quraan yaliayofanyika Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam. Akizungumza Katika hafla hiyo Amemshukuru Mwenyezi Mungu kwa fursa aliyoipata kukabidhi zawadi hizo.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii