Serikali nchini Kenya, imewasimamisha kazi maofisa 27 kutoka taasisi kumi na mbili wanaotuhumiwa kuachia sukari ambayo muda wake wa matumizi ulikuwa umekwisha na ilikuwa imepangwa . . .
Nchini Kenya, miili mingine 15 imepatikana katika msitu wa Shakahola, Pwani ya nchi hiyo na kufikisha idadi ya watu waliopatikana kufikia 226 wanaohusishwa na mchungaji mwenye utata Paul Mackzie aliye . . .
Jeshi la Polisi Mkoani Manyara, linawashikilia Mohamed Said na Diana Lozi wakazi wa Jiji la Dar es Salaam kwa tuhuma za kukutwa na fedha halali za kitanzania zinazohisiwa kuwa ni za wizi na simu za mk . . .
Wakati mapigano yakizidi kushika kasi nchini Sudan, umoja wa mataifa unasema jumla ya dolla bilioni 3.03 zinahitajika ilikutoa msaada wa dharura kwa raia walioathirika na makabiliano hayo.Ripoti hiyo . . .
Maafisa wa polisi mjini Kabale nchini Uganda wamewakamata washukiwa wanne wanaodaiwa kula njama, kumuua fundi umeme na kuuza damu yake kwa mtu asiyejulikana.duru zilidai kuwa damu ya marehemu iliuzwa . . .
Mtoto mchanga amefariki na watu wengine 23 hawajulikani walipo baada ya kiboko kugonga mtumbwi waliokuwa wakisafiria katika Mto Shire nchini Malawi, mamlaka ilisema siku ya Jumanne.Polisi wa wilaya ya . . .
Mashambulizi ya anga na mizinga yameongezeka kwa kasi katika mji mkuu wa Sudan siku ya Jumanne asubuhi, wakaazi wa mji huo walisema, wakati jeshi likijaribu kulinda kambi muhimu kutoka kwa wapinzani w . . .
Wakazi wa kisiwa cha Bezi kilichopo wilayani Ilemela mkoani Mwanza wamekumbwa na hofu kutokana na kusambaa kwa mbwa ambao wamekuwa tishio kwao na kwa mifugo wanayofuga kama mbuzi na bata.Akizungumza k . . .
Nabii Benjamin, ambaye ni mke wake mhubiri Eliud Wekesa maarufu kama Yesu Wa Tongaren kutoka Bungoma, ameomba msaada kutoka kwa Wakenya. Katika kipande cha video kilichorekodiwa nyumbani kwake, m . . .
Mahakama moja nchini Tunisia Jumatatu ilimhukumu Rachel Ghannouchi, mmoja wa wapinzani wakuu wa Rais Kais Saied, kifungo cha mwaka mmoja gerezani kwa mashtaka yanayohusiana na ugaidi, vyombo vya habar . . .
Mwanaume mmoja raia wa Nigeria amemwandalia mbwa wake sherehe kubwa ya kufana kusherehekea siku yake ya kuzaliwa na kumnunulia gari lenye thamani ya mamilioni ya pesa. Mwanamume huyo aliyetambuli . . .
Maelfu ya watu Jumapili walijificha katika nyumba za ibada na shule wakitafuta makazi kutokana na dhoruba kali iliyopiga pwani ya Myanmar, na kuvunja paa za majengo na kuua watu wasiopungua watatu.Kim . . .
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbroard Mutafungwa amesema kijana Kennedy Nyangige (20) mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Afya Bugando (Cuhas) aliyetoa taarifa za uongo kwa familia yake kwamba ametekwa . . .
Eliud Wekesa, maarufu kama “Yesu wa Tongaren” amefikishwa mahakamani mjini Bungoma baada ya kujisalimisha kwa maofisa wa polisi kwa mahojiano alipotakiwa kufanya hivyo hatua inayokuja wakati serik . . .
Jeshi na wanamgambo wa RSF nchini Sudan, wametia saini mkataba wa kuheshimu hali ya kibinadamu wakati huu mapigano yakiendelea lakini wameshindwa kukubaliana kuhusu kusitisha vita.Pande hizo mbili zim . . .
Nchini Kenya, idadi ya miili ya watu iliyofukuliwa katika eneo la Shakahola Pwani ya nchi hiyo, inayohusishwa na Mchungaji mwenye utata Paul Mackenzie, anayedaiwa kuwapotosha waumini wake kufunga chak . . .
Msemaji wa serikali ya Kongo, Patrick Muyaya amesema idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi huko Kalehe imeongezeka na kufikia watu 438 huku muujiza wa watoto wawili wac . . .
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Geita, limewaonya baadhi ya wananchi mkoani humo wanaoipiga namba ya dharura ya 114 kwa ajili ya kuwasalimia askari kama mchezo na kuwataka kuitumia namba hiyo pale . . .
Watu kumi wamefariki katika maporomoko ya ardhi baada ya mvua kubwa kunyesha huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, maafisa walisema siku ya Jumatano, katika eneo hilo lenye mzozo, mamia . . .
Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Kibaptista, Mchungaji Joseph Hayab amesema watu wasiofahamika wakiwa na silaha wameshambulia Kanisa hilo lililopo Bege kaskazini magharibi mwa Nigeria, na kuwateka nyara wau . . .
Idadi ya vifo nchini DRC imefikia zadi ya watu mia tano kutokana na mafuriko na kufunikwa na maporomoko ya matope yaliyosababishwa na mvua kubwa za siku nne mfululizo, huko Nyamukubi Wilayani Kalehe j . . .
Wanajeshi saba waliuawa Jumapili baada ya gari lao kukanyaga bomu lililotegwa ardhini katika eneo la Tillaberi magharibi mwa Niger, jeshi la Niger limesema.Wanamgambo wa kiislamu hufanya mara kwa mara . . .
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inaomboleza takribani vifo vya watu 400 waliokufa katika mafuriko kwenye wilaya ya Kalehe jimboni Kivu Kusini taarifa zinasema kuwa hadi sasa watu 300 wamezikwa.Mkuu w . . .
Imeelezwa Mzee Amani Madumba aliyekuwa akiishi Kata ya Ruaha Mbuyuni wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro aliyefariki dunia yeye pamoja na watoto wake watatu usiku wa kuamkia leo Mei 5, 2023 kwa kuteketea . . .