Polisi Uganda Wakamata Washukiwa 4 Wanaodaiwa Kumuua Fundi wa Umeme, Kuuza Damu Yake

Maafisa wa polisi mjini Kabale nchini Uganda wamewakamata washukiwa wanne wanaodaiwa kula njama, kumuua fundi umeme na kuuza damu yake kwa mtu asiyejulikana.

duru zilidai kuwa damu ya marehemu iliuzwa kama sehemu ya njama ya 'kuua kesi'.


Msemaji wa polisi Mkoa wa Kigezi, Elly Maate aliviambia vyombo vya habari kuwa Ben Kakuru, Sam Nuwahereza, Medard Atwebembeire, Turinawe Amos, na Ponsiano Besigye kwa ssa wanzuiliwa korokoroni.



Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii