logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Matukio

  • Pata Habari za Matukio Mbalimbali
AJALI
  • Na Asha Business
  • January 21, 2025

Maduka 14 yaungua kwa moto Dodoma

Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Dodoma, Mrakibu Rehema Jeremia Menda amesema hawakubaini mara moja chanzo cha moto uliozuka katikati mwa jiji la Dodoma hii leo Januari 21, 2025.M . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • January 19, 2025

Manyoya na Damu za Ndege Yakutwa Kwenye Injini ya Ndege Ajali iliyoua Abiria 179 Korea Kusini

Wachunguzi wa ajali ya Ndege ya Jeju Air aina ya Boeing 737-800, iliyotokea mwezi uliopita Korea Kusini na kusababisha vifo vya Watu 179, wamebaini uwepo wa manyoya na damu za ndege (wanyama) kwenye i . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • January 14, 2025

Lori Laua 11 Walioenda Kushuhudia Ajali Kata ya Segera Wilayani Handeni

Wanakijiji 11  wa kijiji cha Chang’ombe kilichopo kwenye kata ya Segera wilayani Handeni, leo Januari 14, 2025 wamefariki dunia na kujeruhi wengine 11 kwa kugongwa na lori lenye namba za usajil . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • January 13, 2025

Mapacha Wamuua Mama Yao Mtwara

Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara limefanikiwa kuwakamata na kuwafikisha Mahakamani Watuhumiwa wawili ambao ni Mapacha, Danford Steven Seif (24) na Daniel Steven Seif (24) wote Wakulima na Wakazi wa Mraus . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • January 8, 2025

Polisi wanane na Dereva Wauawa Katika Mlipuko wa Bomu

Watu tisa, wakiwemo maafisa wa polisi wanane na dereva mmoja, wameuawa katika mlipuko wa bomu uliotekelezwa na waasi wa Mao katika wilaya ya Bijapur, jimbo la Chhattisgarh, India. Tukio hilo lilitokea . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • January 7, 2025

Tetemeko la ardhi lenye nguvu ya 6.8 kwenye vipimo vya Richeter laua watu kadhaa

Tetemeko kubwa la ardhi lililotokea siku ya Jumanne katika eneo la Himalaya la Tibet, kusini-magharibi mwa China, limesababisha vifo vya watu wasiopungua 53 na kusababisha kuporomoka kwa "majengo meng . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • December 31, 2024

Bondia Afariki Akipigana Dar, Mama’ake Alia

Babu wa bondia Hassan Mgaya aliyefariki dunia hivi karibuni na chanzo kikiwa ni kupata majeraha  kichwani na kupelekea kufariki Dunia.Bondia huyo alifariki dunia baada ya kupigwa TKO katika raund . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • December 29, 2024

Anayedaiwa Kuwaibia Wagonjwa Adakwa Muhimbili Mloganzila

Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila imemkamata, Steven K. Julius kwa tuhuma za wizi wa mali za wa wagonjwa ikiwemo simu za wagonjwa waliolazwa hospitalini hapo kwa kujifanya ni mwajiriwa wa Muhimb . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • December 27, 2024

Chief Godlove Amlilia ‘Mwanaye’ Grayson Aliyeuawa Kikatili

Mtoto wa mfanyabiashara maarufu jijini Dodoma anayejulikana kwa jina la Jojo, Graison Kanyenye (6), anadaiwa kuuawa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani wakati mama yake akiwa matembezini usiku wa kuam . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • December 26, 2024

Shambulizi la Israel laua wanahabari watano huko Gaza

Madaktari wa Palestina wamesema shambulizi la Israel mapema Alhamisi limewaua wanahabari watano katika kambi ya Nuseirat katikati mwa Gaza.Kituo cha Televisheni cha Al-Quds, chenye uhusiano na kundi l . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • December 26, 2024

Ndege yaanguka na kuua Watu Zaidi ya 30 na 28 Kunusurika

Ndege ya Shirika la Ndege la Azerbaijan iliyokuwa imebeba watu 67 imeanguka karibu na mji wa Aktau nchini Kazakhstan na kusababisha vifo vya watu 38 waliokuwa ndani, kwa mujibu wa Mamlaka za Kazakhsta . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • December 26, 2024

Wafungwa Watoroka Jela Msumbiji Kisa Uchaguzi

Zaidi ya wafungwa 1, 500 wametoroka katika gereza moja nchini Msumbiji, wakitumia fursa ya machafuko ya kisiasa yanayoendelea yaliyochochewa na matokeo ya uchaguzi wenye utata, polisi wamesema.Watu 33 . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • December 24, 2024

Bwana harusi Apandishwa Kisutu Akituhumiwa Makosa Mawili

Mkazi wa Kigamboni Vicent Masawe(36)maarufu kwa jina la ‘Bwana harusi’ amepandishwa Mahakamani kisutu akikabiliwa na mashtaka mawili.Mshtakiwa huyo.amepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kis . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • December 23, 2024

Polisi waanza uchunguzi kifo cha Mwanafunzi wa UDOM

Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limesema linachunguza taarifa ya kifo cha mwanafunzi mmoja wa chuo Kikuu cha Dodoma – UDOM, ambaye alifariki kwa maji.Taarifa ya Kamanda w Polisi Mkoani humo, Alex M . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • December 23, 2024

Zaidi ya wanajeshi 1,100 wa Korea Kaskazini wauawa katika vita vya Ukraine

Zaidi ya wanajeshi 1,000 wa Korea Kaskazini waliuawa au kujeruhiwa katika mapigano dhidi ya vikosi vya Ukraine, kamati ya wakuu wa majeshi ya Korea Kusini (JCS) imesema leo Jumatatu (Desemba 23)."Tuna . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • December 22, 2024

38 wafariki kwa ajali ya Boti, 100 hawajulikani walipo

Takriban Watu 38 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 100 hawajulikani walipo nchini Kongo, baada ya kivuko walichokuwa wakisafiria kilichozidisha mzigo kupinduka katika mto Busira, wakati wakirudi ny . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • December 18, 2024

Polisi wawili wauawa kwa risasi Dodoma

Askari Polisi wawili wa wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma, wamefariki dunia usiku wa kuamkia leo Desemba 18, 2024, katika majibizano ya risasi kati yao na mtuhumiwa wa ujambazi baada ya kufika nyumbani k . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • December 17, 2024

AKATWA MKONO KISA KUCHELEWA KURUDI NYUMBANI

#HABARI Happyness Khalfan (30) mkazi wa Kata ya Mwendakulima wilayani Kahama mkoani Shinyanga, amekatwa na kitu cha ncha kali katika mkono wake wa kushoto na mumewe Charles Peter mkazi wa Mwendakulima . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • December 17, 2024

Mbwana Harusi Aliyejipoteza Akutwa Kwa Mganga wa Kienyeji Kigamboni

eshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema December 15,2024,lilimpata na kumshiklia Vicent Peter Massawe maarufu Baba Harusi Mkazi wa Kigamboni kwa tuhuma za kujipatia fedha kwa njia ya uda . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • December 16, 2024

Wakazi walivyomchinja mamba na kumtoa mtoto aliyemezwa Isiolo

WAKAZI wa kijiji cha Bulesa, eneo la Merti katika kaunti ya Isiolo wamemuua  mamba  aliyemshambulia na kummeza mvulana mmoja aliyekuwa akilisha mifugo wao karibu ni mto Ewaso Ng’iro.Walipa . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • December 16, 2024

Thelathini na nane wauawa magharibi mwa Darfur

Watu 38 wameuawa Magharibi mwa jimbo la Darfur nchini Sudan, baada ya wanamgambo wa RSF kutumia ndege isiyokuwa na rubani, kutekeleza shambulio hilo.Wanamgambo wa RSF wamerusha makombora manne kuwalen . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • December 13, 2024

Kijana Adaiwa Kumuua Baba Yake, Mjumbe na Kumjeruhi Mwenyekiti wa Kijiji

Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Zuberi Habibu, Mkazi wa Kijiji cha Mandudumizi B, Kata ya Zombo, Kilosa mkoani Morogoro, anashikiliwa na vyombo vya ulinzi na usalama kwa tuhuma za mauaji ya w . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • December 13, 2024

Waandishi hamsini na wanne waliuawa mwaka 2024, theluthi moja yao na Israel, kulingana na RSF

Waandishi wa habari 54 waliuawawakiwa kazini au kwa sababu ya kazi zao duniani kote mwaka 2024, ikiwa ni pamoja na theluthi moja ya jeshi la Israel, hasa huko Gaza, kulingana na ripoti ya kila mwaka y . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • December 11, 2024

Basi lashambuliwa, 22 wauawa

Takribani Watu wasiopungua 127, wengi wao wakiwa ni raia wameuawa nchini Sudan kufuatia mapigano kati ya jeshi na Wanamgambo wa RSF.Taarifa za vyombo vya Habari zinasema wengi wao wameuawa katika mji . . .

Kurasa 10 ya 56

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Habari
news
  • 9 masaa yaliopita

China imesaini makubaliano ya kufufua mradi wa TAZARA

Habari
news
  • 9 masaa yaliopita

Wanafunzi 52 watekwa na watu waliojihami kwa silaha Nigeria

Habari
news
  • 10 masaa yaliopita

Waziri Mkuu aagiza mkandarasi kukamatwa na kuzuia hati yake

Habari
news
  • 10 masaa yaliopita

Uhamiaji Simiyu yaendelea na jitihada za kudhibiti Wahamiaji haramu

Habari
news
  • 10 masaa yaliopita

Serikali kufuatilia Makala ya CNN kuhusu maandamano ya uchaguzi oktoba 29

Habari
news
  • 10 masaa yaliopita

Dkt, Samia anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi siku mbili mkoani Arusha

Habari
news
  • 11 masaa yaliopita

Kesi ya 3 yawasilishwa kupinga ujenzi wa Chuo Kikuu cha Nyamira

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • China imesaini makubaliano ya kufufua mradi wa TAZARA

    • 9 masaa yaliopita
  • Wanafunzi 52 watekwa na watu waliojihami kwa silaha Nigeria

    • 9 masaa yaliopita
  • Waziri Mkuu aagiza mkandarasi kukamatwa na kuzuia hati yake

    • 10 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode