Babu wa bondia Hassan Mgaya aliyefariki dunia hivi karibuni na chanzo kikiwa ni kupata majeraha kichwani na kupelekea kufariki Dunia.
Bondia huyo alifariki dunia baada ya kupigwa TKO katika raundi ya sita ya pambano lililofanyika Desemba 28, 2024 katika Ukumbi wa Dunia Ndogo, Tandale kwa Mtogole jijini Dar es Salaam