Rais wa Indonesia na Mwenyekiti wa kundi la nchi G20 zilizoendelea zaidi na zinazoendelea kiuchumi, Joko Widodo, hivi karibuni atafanya ziara nchini Ukraine na Urusi kujadili . . .
Mwanamfalme wa Saudia Mohammed bin Salman anatarajiwa kufanya kuzuru Uturuki Jumatano hii, Juni 22 kwa ziara ya kiserikali ambapo atapokelewa na Rais Recep Tayyip Erdogan. . . .
Rais wa Malawi Lazarius Chakwera Jumanne amempokanya mamlaka yote makamu wake Saulos Chilima baada ya kiongozi huyo kutajwa katika kashfa ya ufisadi iliyoisisimua nchi hiyo. Uchunguzi u . . .
Makampuni ya Saudi Arabia na Misri yalisaini mikataba yenye thamani ya dola bilioni 7.7 wakati wa ziara ya mwanamfalme wa Saudia mjini Cairo, vyombo vya habari vya serikali katika nchi hizo mbil . . .
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameendelea kuing'ang'ania Wizara ya Nishati kuhusu mradi wa bwawa la umeme la Mwalimu Julius Nyerere safari hii alitaka iundwe tume ya kuchunguza.Mpina ametoa . . .
Kwa mara ya pili katika historia ya Marekani, Juni 19 maarufu kama “Juneteenth,” ni siku rasmi ya sikukuu ya serikali kuu. Lakini Wamarekani Weusi wamekuwa wakiadhimisha siku hii tangu . . .
Serikali imetaja sababu za kufutika kwa maandishi kwenye risiti za mashine ya kodi ya kielektroniki (EFD) kwamba inatokana na kuchapwa kwenye karatasi zisizokuwa na ubora.Kauli hiyo imetolew . . .
Binti mkubwa wa Rais wa Ufilipino anayeondoka madarakani Rodrigo Duterte ameapishwa kuwa makamu wa rais wa nchi hiyo.Sara Duterte ameapa kuwaunganisha Wafilipino katika hafla ya kuapishwa kwake mji . . .
Raia wa Colombia watampigia kura rais mpya leo Jumapili katika uchaguzi uliojaa sintofahamu. Mwanaharakati wa zamani Gustavo Petro na mfanyabiashara milionea Rodolfo Hernandez wanawania mamlaka ka . . .
Serikali ya Ujerumani imefahamisha leo jumapili kuwa itachukua hatua za dharura ili kuhakikisha inakidhi mahitaji yake ya nishati baada ya kupungua kwa usambazaji wa gesi kutoka Urusi. Miongoni mw . . .
Watetezi wa haki za kiraia na mawakili wa jamii ya wamaasai, wanaendelea kuishinkiza serikali ya Tanzania kuachana na mpango wa kuwafurusha maelfu ya wamaasai ambao ni wafugaji wa kuhama hama, k . . .
Serikali ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo imefunga mipaka yake yote na Rwanda huku hali ya miwavutano kati ya nchi hizo mbili ikiendelea kuongezeka kufuatia madai ya Rwanda kuunga mkono waasi . . .
Wanaharakati wa kupambana na mihadarati eneo la Pwani wamepinga vikali sera za baadhi ya wagombea urais, zinazolenga kuhalalisha matumizi ya bangi iwapo wataingia madarakani. Wakiongozwa na Moham . . .
Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa leo limetoa wito wa kufanyika mageuzi kwenye mifumo ya afya ya akili duniani likisema kuna ongezeko la matatizo ya akili tangu kuzuka kwa janga la virusi vya co . . .
Marekani Alhamisi imeitaka Russia kuwachukilia Wamarekani wote wa kujitolea walioshikwa mateka wakati wakipigana upande wa wanajeshi wa Ukraine kama wafungwa wa vita, na kuheshimu haki zao za ub . . .
June 18 ni miezi saba tangu Dessu Dulla alipowekwa jela. Mwandishi wa habari raia wa Ethiopia kutoka Oromia News Network (ONN) anashutumiwa kwa harakati za kuipinga serikali. Kama atapatikana . . .
Benki kuu ya Marekani ilitangaza Jumatano kuwa itapandisha viwango vya riba kwa kiwango kikubwa zaidi kuwahi kutokea katika kipindi cha takriban miaka 30 ikiwa ni juhudi za kukabiliana na mfumuk . . .
Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amewataka mawaziri waliopo bungeni kuwaita manaibu na mawaziri ambao hawapo ndani ya ukumbi wa Bunge na kwamba wanatakiwa wawepo wakati wote ambao wabunge wanaja . . .
Rais mpya wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud, amemteua mbunge kutoka baraza kuu la bunge Hamza Abdi Barre kuwa Waziri Mkuu mpya. Mohamud alitoa tangazo hilo kwenye makazi ya Rais siku ya Jumatano. . . .
RAIS Uhuru Kenyatta alijipata pabaya baada ya kualika maafisa wa jimbo la Somaliland katika dhifa iliyohudhuriwa na balozi wa Somalia, Jumanne jioni. Katika dhifa hiyo kulikuwa na bendera ya Soma . . .
Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Innocent Bashungwa amewaagiza wakuu wa shule nchini kuwashirikisha wazazi na walezi katika kupanga michango kab . . .
. . .
. . .
Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amewasili Qatar katika ziara ya ghafla katika taifa hilo lenye utajiri wa nishati ambalo siku za nyuma lilisaidia uchumi wa nchi yake uliodorora.Maduro alionyeshwa . . .
Rais Joe Biden wa Marekani amethibitisha kufanya ziara nchini Saudi Arabia mwezi ujao kwa ajili ya mazungumzo na viongozi wa taifa hilo ikiwa ni hatua ya mabadiliko makubwa yanayoonesha kugeuka kw . . .
Somalia iliishutumu kenya kwa kukiuka mamlaka yake ya kujitawala baada ya mwakilishi wa eneo lililojitenga la Somaliland kualikwa Jumanne kwenye mkutano wa kidiplomasia mjini Nairobi. Balozi w . . .
Uingereza imefuta safari ya ndege iliyokuwa imepangwa kuwapeleka waomba hifadhi nchini Rwanda siku ya Jumanne jioni baada ya mahakama ya ulaya ya haki za binadamu kuingilia kati ikisema mpango h . . .
Hadi kufikia mwezi Aprili mwaka huu deni la serikali lilikuwa shilingi trilioni 69.44. Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema katika kipindi kama hicho mwaka 2021 deni la S . . .
Katika mkakati wa kubana matumizi, Serikali inatarajia kudhibiti mambo kadhaa ikiwemo ununuzi na matumizi ya magari.Hayo amebainisha jana Jumanne Juni 14, 2022 bungeni mjini Dodoma waka . . .