Mawaziri wa ulinzi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya kujihami ya NATO wamekutana Jumatano mjini Brussels nchini Ubelgiji kujadili namna ya kujilinda na kukabiliana na vitisho na uchokozi wa Urusi.Umoja . . .
Nchini Madagascar, jeshi linaimarisha mamlaka yake mpya siku mbili baada ya tangazo lake mbele ya ikulu ya rais huko Ambohitsorohitra. Kanali Randrianirina ataapishwa siku ya Ijumaa Oktoba 17 kuwa rai . . .
Mkutano mkubwa wa kisiasa na kijamii juu ya mustakabali wa nchi, ulioitishwa Nairobi, nchini Kenya, na rais wa zamani Joseph Kabila, umezindua jukwaa jipya la kisiasa siku ya Jumatano, Oktoba 15, 2025 . . .
Kamati ya kitaifa ya mazishi ya kitaifa ya Raila Odinga, ikiongozwa na Makamu wa Rais Kithure Kindiki, imebainisha kwamba Waziri Mkuu huyo wa zamani atazikwa Jumapili, Oktoba 19, kulingana na matakwa . . .
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka watendaji wa wizara ya Afya na wadau wa afya nchini kusimamia utekelezaji wa afua na misingi iliyoapangwa kwenye andiko la mradi . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amemvua uraia Meya wa Odesa, Gennadiy Trukhanov, kwa madai ya kumiliki pasi ya kusafiria ya Urusi. Hatua hiyo imezua mtafaruku wa kisiasa katika jiji hilo . . .
Rais wa Marekani Donald Trump ameikosoa China siku ya Jumanne, Oktoba 14, kwa kutonunua tena soya kutoka Marekani na kudai kuwa nchi yake inaweza, kwa kulipiza kisasi, kuacha kuagiza mafuta ya kupikia . . .
Bunge la taifa la Madagascar limepiga kura ya kumuondoa Rais Andry Rajoelina kwa kura nyingi (130 kati ya wabunge 163) siku ya Jumanne, Oktoba 14. Katika taarifa iliyotolewa muda mchache baadaye, Maha . . .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Isdory Mpango, amewasili katika Viwanja vya Sokoine jijini Mbeya kushiriki kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025. Katika hatua hiyo Ha . . .
Halmashauri ya Manispaa ya Geita imeibuka mshindi wa kwanza kitaifa katika mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka huu ikiongoza miongoni mwa Halmashauri zote nchini. Ushindi huu ni ushahidi wa mshikamano, ushi . . .
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Oktoba 14 mwaka huu ameshiriki katika Ibada ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu. Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu . . .
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Oktoba 13 mwaka huu amekagua Maandalizi ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na Kumbukizi ya Baba wa Taifa katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Katika u . . .
Venezuela imetangaza kufunga balozi zake nchini Norway na Australia, na kufungua mpya katika mataifa ya Burkina Faso na Zimbabwe, ikisema ni sehemu ya “mabadiliko ya kimkakati” ya huduma za kidipl . . .
Rais Donald Trump amethibitisha kuwa atamkaribisha Volodymyr Zelenskiy White House Ijumaa hii kujadili msaada wa kijeshi na makombora ya Tomahawk, huku Urusi ikionya kuwa hatua hiyo ni uchokozi mkubwa . . .
China imesema iko tayari “kupambanaa hadi mwisho” katika vita vya kibiashara na Marekani, baada ya Rais Donald Trump kutangaza ushuru wa asilimia 100 kwa bidhaa zote za China, hatua iliyotikisa ma . . .
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ameshiriki leo, Oktoba 14, 2025, katika Ibada ya kumuombea Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, iliyofanyika ka . . .
Rais wa Misri ameuambia mkutano wa kilele wa viongozi wa dunia siku ya Jumatatu kwamba pendekezo la Rais wa Marekani Donald Trump la Mashariki ya Kati ni "nafasi ya mwisho" ya amani katika eneo hilo n . . .
DEREVA wa Mbunge wa Kibra Peter Orero ambaye alinaswa kwenye kamera akiendesha gari upande usiofaa wa barabara siku ya Jumatatu ametozwa faini ya Sh100,000 au kutumikia kifungo cha miezi 12 gere . . .
Kambi ya Madaktari Bingwa wa Mama Samia ni mpango wa serikali ya awamu ya tano ya kusogeza huduma za afya kwa wananchi hasa huduma za kibingwa, na kupunguza adha inayosababishwa na ufinyu wa hospitali . . .
MAHAKAMA Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imewatia washtakiwa wanne matatani baada ya kuwakuta na kesi ya kujibua mbapo wakidaiwa kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroine kilo 1. . . .
Mwenge wa Uhuru umeendelea na mbio zake mkoani Mbeya ambapo asubuhi ya leo umeingia katika Jiji la Mbeya Halmashauri ya mwisho kukimbizwa mwenge huo kwa mwaka huu tangu ulipowashwa mapema mwaka huu.Mw . . .
Mratibu wa Mradi wa BOOST kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI Ally Swalehe amesema Programu ya BOOST imeendelea kuleta matokeo makubwa katika kuboresha elimu ya awali na msingi tangu kuanza kutekelezwa mwak . . .
Serikali chini ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaendelea kutekeleza mikakati ya kuhakikisha vijana wanapata fursa sawa za kujiletea maendeleo binafsi na . . .
Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa Oktoba 14, 2025 amekutana na viongozi wapya wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) na Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) na kuwataka . . .
Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki jimbo kuu la Songea Damian Dallu aatangaza kuhusu tukio la kutoweka kwa Padri Camillus Nikata wa Jimbo Kuu la Songea ambaye ni Mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu A . . .
Serikali kupitia Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia imekabidhi Vyuo vinne vya Ufundi Stadi na Huduma kwa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) vilivyopo Njombe, Simiyu, Rukwa na Geita, . . .
WIZARA ya Maliasili na Utalii imeweka mikakati madhubuti katika utekelezaji wa Sera mpya ya Misitu na Ufugaji Nyuki ili kuimarisha usimamizi wa rasilimali za misitu kwa kushirikisha wadau mbalimbali w . . .
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Balozi Dkat. Batilda Burian amewataka Viongozi wa Vijiji na Kata kwa kushirikiana na Viongozi wa Wilaya kuhakikisha wanaweka misingi madhubuti ya kiusalama katika kusimamia . . .
HOSPITALI ya Kitaifa ya Kenyatta (KNH) imejipata katika hali ngumu kutokana na kuongezeka kwa idadi ya wagonjwa wanaofika kwa wingi, hasa kutoka kaunti za Nairobi na Kiambu, ambapo huduma nyingi za af . . .
Mfanyabiashara maarufu na bilionea Chief Jite Odeworitse Tesigimoje, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya GIM Brown Marine, ameibua mjadala mkubwa nchini Nigeria baada ya kufunga ndoa na mke wake w . . .