Ankara — Mkuu wa Majeshi ya Libya Luteni Jenerali Mohammed al-Haddad pamoja na maafisa wengine wanne wa kijeshi wamefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kuanguka m . . .
Baba Mtakatifu Leo ametoa wito kwa watu wote wenye nia njema duniani kuifanya sikukuu ya Krismasi kuwa siku ya amani, akisisitiza umuhimu wa kuheshimu siku hii takatifu ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Y . . .
Asia Mustapha, mwanamke aliyepambana na maradhi ya figo kwa zaidi ya miaka 20 na kutegemea huduma ya kusafisha damu kwa mashine (dialysis), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Desemba 24 mwaka . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limekanusha vikali taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii ya Facebook na Instagram zikidai kuwa gari la Polisi lilimgonga na kumuua mwananchi katika eneo la Kong . . .
Serikali imepiga hatua kubwa katika kulinda afya na ustawi wa wazee baada ya kufanikiwa kutoa vitambulisho vya matibabu ya bure pamoja na bima za afya kwa wazee zaidi ya 1,256,544 kote nchini. Hatua h . . .
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imezitaka familia zenye uhitaji wa kutoa huduma ya malezi ya kambo na kuasili kuwasilisha maombi yao kwa kamishna wa ustawi wa jamii ku . . .
KIONGOZI wa Wiper, Bw Kalonzo Musyoka amejitetea dhidi ya shutumu kuwa hajatekeleza miradi ya maendeleo kwa miaka 40 aliyodumu uongozini akifichua kuwa alikataa shinikizo za kuweka lami katika barabar . . .
Rais Volodymyr Zelenskyy amesema anategemea Urusi itafanya mashambulizi makali ndani ya Ukraine wakati wa sherehe za sikukuu ya Krismasi, akiituhumu Moscow kwa kuonesha tabia hiyo ndani ya miaka minne . . .
Mzozo wa kidiplomasia kati ya Marekani na Nigeria "umetatuliwa kwa kiasi kikubwa," kulingana na Waziri wa Habari wa Nigeria Mohamed Idris, ambaye amezungumzia "ahadi thabiti na ya heshima" kutoka pand . . .
Mbunge wa Jimbo la Ilemela, Kafiti Wilium Kafiti, ametoa msaada wa pikipiki 100 kwa vijana wa Mkoa wa Mwanza katika tukio lililovuta hisia na kuacha alama chanya kwa jamii. Hafla hiyo imefanyika . . .
Familia za waathiriwa wa maandamano ya kupinga serikali zimetangaza nia yao ya kuandamana hadi ikulu ya rais leo Jumatatu, Desemba 22, kuomba mkutano na Rais William Ruto ili kukemea ucheleweshaji kat . . .
Serikali ya Rwanda imefunga zaidi ya makanisa 10,000 ya kiinjili nchini humo baada ya kubainika kushindwa kutimiza masharti ya kisheria yaliyowekwa mwaka 2018 kwa lengo la kudhibiti na kusimamia maene . . .
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe Dk. Benson Bagonza, amewataka Watanzania kujiepusha na tabia alizozitaja kuwa ni “sumu” tano zinazodhoofisha maridhian . . .
Jeshi la Polisi wilayani Babati mkoani Manyara linafanya uchunguzi kubaini chanzo cha kifo cha Patrick Francis (35), mkazi wa kijiji cha Mapea, aliyefariki dunia nyumbani kwao katika mazingira ambayo . . .
Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi ameagiza wilaya za Tarime na Rorya kulipisha jengo linalomilikiwa na Chama Kikuu cha Wakulima wa Mara (WAMACU) ndani ya muda wa mwezi mmoja, . . .
Marekani imetangaza kuwa inaifuatilia Venezuela kwa lengo la kuikamata meli nyingine ya mafuta inayodai kutumiwa na serikali yake kukwepa vikwazo vya biashara ya mafuta vilivyowekwa na Washington.Kati . . .
Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Israel Gideon Saar amewatoa mwito kwa Wayahudi waishio kwenye mataifa ya magharibi kuhamia nchini Israel ili kuepuka chuki inayoongezeka dhidi ya jamii hiyo.Akizungumza kw . . .
Serikali ya Nigeria imethibitisha kuachiwa huru kwa wanafunzi wote waliotekwa nyara katika shule ya St. Mary’s iliyopo katika jimbo la kaskazini la Niger. Taarifa hiyo imetolewa na msemaji wa Ikulu . . .
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene ameviomba vyombo vilivyopo chini ya wizara hiyo kufanya utafiti na kuja na suluhisho la kuondoa na kupunguza malalamiko kutoka kwa wananchi ikiwemo . . .
Umoja wa Mataifa umeomba ufadhili wa dharura kusaidia zaidi ya raia 80,000 waliokimbilia Burundi kufuatia mmapigano ya hivi karibuni yaliyotokea Kivu Kusini, hususani katika mji wa Uvira ambako kumesh . . .
Umoja wa Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) kwa kushirikiana na taasisi zinazoongoza mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia, ikiwa ni pamoja na C-Sema na Elimika, wameandaa mwongozo wa uandishi wa ha . . .
Hii ni habari ya kusikitisha kuhusu kifo cha mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 47 kutoka Vietnam, ambaye alikufa baada ya kuacha kutumia dawa zake za shinikizo la damu na kufuata ushauri kutok . . .
Ng’ombe 22 wa mfugaji Alex Idege, mkazi wa Kijiji cha Kasingili, Kata ya Ilola, Wilaya ya Shinyanga, wamekutwa wamekufa zizini muda mfupi baada ya kurejea kutoka malishoni, katika tukio linaloibua m . . .
Mtandao wa kijamii wa TikTok umechukua hatua muhimu ya kibiashara kwa kufikia makubaliano ya kuanzisha ubia na kampuni za Marekani, hatua inayolenga kutatua changamoto za kisheria na kiusalama zilizok . . .
WABUNGE nchini Brazil mnamo Jumatano walipiga kura kufupisha kifungo ambacho Rais Jair Bolsonaro aliangushiwa kutoka miaka 27 hadi miaka miwili.Mswada walioupitisha kufupisha adhabu hiyo, hata hivyo h . . .
Papa Leo, kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, siku ya Alhamisi Desemba 18, 2025 amewakemea vikali viongozi wa kisiasa na viongozi wa dini wanaotumia imani za kidini kuhalalisha migogoro, vita au sera . . .
Katika tathmini ya utekelezaji wa ahadi za siku 100 za Rais Samia Suluhu Hassan, Mkoa wa Pwani umejipanga kufanya uhakiki wa wananchi wasio na uwezo ili waweze kufikiwa na mpango wa Bima ya Afya kwa W . . .
Papa Leo ambaye ni kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani leo Vatican City, Desemba 18 mwaka huu amekemea vikali matumizi ya dini kama chombo cha kuhalalisha migogoro ya kisiasa, vurugu, . . .
Maandamano yaliyoambatana na vurugu yamezuka kote mjini Dhaka na sehemu nyingine za Bangladesh kufuatia kifo cha mwanaharakati maarufu Sharif Osman Hadi kutangazwa Alhamisi jioni.Waandamanaji hao wana . . .
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jana Alhamisi lilimuidhinisha Rais wa zamani wa Iraq Barham Salih kuwa mkuu ajaye wa shirika la wakimbizi, UNHCR, akiwa ni kwanza kutoka Mashariki ya Kati tangu mwishoni . . .