1. KARIBU UTANGAZE BIASHARA AU SUALA LAKO NA SISI ... TUNAFIKIA WENGI NDANI NA NJE YA NCHI

  • MWANZA 93.7MH/z |
Jembe Burudani

Niffer Athibitisha Kuachana na OG, Aomba Kuheshimiwa

Mfanyabiashara maarufu anayefahamika kwa jina la Niffer amethibitisha rasmi kuvunjika kwa mahusiano yake na aliyekuwa mpenzi wake . . .

Christian Bella amepewa uraia wa Tanzania

Msanii maarufu wa muziki wa Bongofleva wenye ladha ya R&B na Afro-pop Christian Bella amepewa uraia wa Tanzania.Hayo yamesemwa . . .

Jembe Michezo

Aliyekuwa Kipa wa Taifa Stars na Yanga, Peter Manyika Amefariki

Aliyekuwa kipa wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na Klabu ya Yanga SC, Peter Manyika amefariki dunia alfajiri ya leo kati . . .

Simba Yatua Tunisia, Yajinasibu Kuzaliwa Upya

Klabu za Simba na Yanga zinaendelea na maandalizi ya michezo ya raundi ya tatu ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku Simba ikitangaza k . . .

Jembe Habari

Jeshi Uganda Laamri Bobi Wine Akamatwe Hai au Amefariki

Mkuu wa Majeshi ya Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba ametangaza kutolewa kwa amri mpya kwa wanajeshi wa nchi hiyo kumkamata mwan . . .

Ajira Haramu: Jinsi Kaunti 41 Zilivyopuuza Sheria na Kujaza Mfumo kwa Wafanyakazi

Uchunguzi wa kina wa ripoti za Mkaguzi wa Hesabu za Serikali umebaini mtandao mpana wa ukiukaji wa sheria za ajira katika serikali . . .

Habari Zote
matukio

Jeshi Uganda Laamri Bobi Wine Akamatwe Hai au Amefariki

Mkuu wa Majeshi ya Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba ametangaza kutolewa kwa amri mpya kwa wanajeshi wa nchi hiyo kumkamata mwanasiasa wa . . .

Kitaifa

Wanahabari Wazuiwa Kwenye Kikao cha Tume ya Uchunguzi

Tume Huru ya Uchunguzi wa vurugu za Oktoba 29 nchini Tanzania imezuia wanahabari kushiriki katika mahojiano yanayoendelea kati ya tume hiyo . . .

Kitaifa

Bodi ya Nyama Yafunga Machinjio ya Muheza kwa Kuhatarisha Afya

Bodi ya Nyama Kanda ya Kaskazini imeyafunga machinjio ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza, mkoani Tanga, kwa muda usiojulikana kufuatia ukiuk . . .

matukio

Maseneta Wachunguza Ufisadi Kaunti za Pwani

Magavana wanne wa eneo la Pwani wamejikuta katika shinikizo kali baada ya Seneti kuanzisha uchunguzi kuhusu madai ya uozo wa kifedha, ufisad . . .

Elimu

Ajira Haramu: Jinsi Kaunti 41 Zilivyopuuza Sheria na Kujaza Mfumo kwa Wafanyakazi

Uchunguzi wa kina wa ripoti za Mkaguzi wa Hesabu za Serikali umebaini mtandao mpana wa ukiukaji wa sheria za ajira katika serikali za kaunti . . .

Kimataifa

UN Yaonya Hatari ya Ukatili Mkubwa Dhidi ya Raia Sudan Kusini

Wataalamu huru wa Umoja wa Mataifa wameonya kuwa kuongezeka kwa vurugu nchini Sudan Kusini kunaongeza hatari ya ukatili mkubwa dhidi ya raia . . .