Wakati joto la pambano la Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya vinara Yanga dhidi ya Simba likizidi kupanda mwamuzi, Herry Sasii amepewa jukumu la kusimama kati kuamua mchezo h . . .
Miss Tanzania namba mbili, Juliana Rugumisa ambaye aliteuliwa kushiriki Miss World baada ya aliyeshika nafasi ya kwanza, Rose Manfere kuenguliwa kutokana na utovu wa nidh . . .
KLABU ya Simba imefanikiwa kuingia hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika licha ya kufungwa mabao 2-1 na Red Arrows katika Uwanja wa Taifa wa Mashujaa, Zambia. Wenye . . .
Newcastle United imeanza kuonesha nia ya kumtaka kiungo wa Uingereza Jesse Lingard katika dirisha dogo la Januari, mchezaji huyo mwenye miaka 28 kandarasi yake inataraji . . .
Timu ya Taifa ya Tanzania ya Soka kwa Wenye Ulemavu (Tembo Warriors), imeipa hadhi nchi kwa kuwa Taifa la kwanza Afrika, kufuzu kwenda Robo Fainali za Mashindano ya Soka . . .
LIONEL MESSI ANASHINDA TUZO YA BALLON D’OR MARA YA 7.Miaka aliyoshinda Leo Messi Ballon d’Or!2009: Lionel Messi 2010: Lionel Messi 2011: Lionel Messi 2012: Lionel Mes . . .
TIMU ya Simba ya Tanzania imeibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Red Arrows ya Zambia katikap Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam. Mchezo huo, umepigwa leo J . . .
Manchester United wamethibitisha kusitisha mkataba wa kocha Ole Gunnar Solskjaer baada ya matokeo mabovu ya hivi karibuni.Taarifa ya United inasema Michael Carrick atasim . . .
Kiungo wa PSG Idris Gana Gueye ametoa msaada wa vifaa vya hospitali, dawa pamoja na kiasi cha pesa kwa wizara ya Afya ya taifa lake la Senegal ili kuwasaidia Wananchi wa . . .