• Jumanne , Agosti 12 , 2025

Da Cruz atambulishwa Brazil

LIYEKUWA mshambuliaji wa Singida Big Stars, Peterson Da Cruz ‘Peu’ ametambulishwa kuwa mchezaji mpya wa Clube Nautico Marcilio Dias inayoshiriki Ligi Daraja la Tatu nchini Brazil ‘Serie D’ mara baada ya kurudi nyumbani kwao akitokea Tanzania.

Familia yake ambayo ilihitaji kuwa naye karibu hivyo viongozi wa Singida BS hawakuwa na budi zaidi ya kutoa ruhusa kwa mchezaji huyo ili akatatue changamoto hiyo.

Lakini baadaye ikabidi waachane na mchezaji huyo ambaye alifunga bao moja Ligi Kuu Bara


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii