Askari watatu wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa waliuawa na wengine watatu kujeruhiwa vibaya wakati gari lao lilipogonga kilipuzi kaskazini mwa Mali siku ya Jumatatu, msemaji wa Umoja wa Mataifa al . . .
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan leo Jumanne ya tarehe 18 Oktoba, 2022 amefanya ziara fupi kwenye ofisi ya CCM mkoa wa Kigoma na k . . .
Vyakula vya wanga nyingiKula chakula chenye wanga kinaweza kudhoofisha afya kwa muda mrefu kwani husababisha kuongezeka kwa uvimbe na kubadilisha utumbo. Kwa mfano, viazi vinaweza kuchukuliwa kuwa cha . . .
Naibu Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde, amesema serikali ipo njiani kutunga sheria maalum kwa ajili ya kilimo ili kulinda maeneo yote yanayofaa kwa kilimo katika azma yake ya kukuza sekta ya kilimo nc . . .
Yoweri Museveni "Jenerali Muhoozi Kainerugaba - atakaa mbali na mitandao ya kijamii kufuatia jumbe zake za kivita kuhusu Kenya."Jenerali Muhoozi alitishia uhusiano wa Kenya na Uganda baada . . .
miaka 30 ijayo mwanamke wa Tanzania atakuwa na uwezo wa kujifungua wastani wa watoto wachache ripoti ya ‘Tanzania in figures 2021’ kuonyesha uwezo wa kuzaa wa wanawake nchini umeshuka k . . .
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa daraja la JPM, Kigongo – Busisi mkoani Mwanza, Oktoba 16, 2022. Kulia ni Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi . . .
Kaimu Mratibu wa Mradi wa Kudhibiti Sumukuvu Tanzania (TANIPAC), Khassim Musya akitoa elimu wa wananchi waliofika katika maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani yenye Kaulimbiu isemayo 'Uzalishaj . . .
Jeshi la Polisi mkoa wa Mjini Magharibi linamshikilia Elizabeth Ngiba (32), kwa kosa la kujirekodi video na kutoa lugha ya maudhi dhidi ya Wazanzibar akiwaambia kwamba licha ya kujua kujistiri lakini . . .
Wakazi wa Beni, Kivu kaskazini, na Ituri wanaiomba serikali ya DRC na Umoja wa Matifa kutangaza mauaji ya mara kwa mara katika eneo lao kuwa ya kimbari.Akizungumuza na wanahabari akiwa katika ene . . .
SERIKALI imezindua Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya Ukimwi Tanzania (THIS 2022-2023) na kueleza kuwa kiwango cha maambukizi mapya ya VVU na UKIMWI kimeshuka na kufikia asilimia 4.7. Pia imedhamir . . .
Wilaya ya Bukombe mkoani Geita wakati akielekea Mkoa wa Kigoma leo Jumapili, Oktoba 6, 2022, Rais Samia amesema yeye na wasaidizi wake wapo kwa ajili ya kuitumikia Tanzania na Mtanzania ili kule . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais Mhe. Philip Isdor Mpango, viongozi wengine wa Chama, Serikali, pamoja na Waumini wa Kanisa hilo wakiwa kwenye Misa Taka . . .
Mtoto wa rais Yower Museveni wa Uganda, Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba ametangaza kutembelea Tanzania, ikiwa ni siku chache tangu azue utata wa kuiteka Nairobi kwa wiki mbili.Licha ya baba yake k . . .
Wabunge nchini Iraq jana walimchagua Abdul Latif Rashid, mwanasiasa mkurdi mwenye umri wa miaka 78 kuwa rais mpya wa nchi hiyo. Afisa mmoja wa bunge amesema kuwa Rashid alipata zaidi ya kura 160 dhidi . . .
Leo Oktoba 13,2022 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetaja kesi ya madai, iliyofunguliwa na Patrick Christopher Kamwelwe, dhidi ya Willium Malecela na aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Mak . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, mwishoni mwa mwezi huu anatarajiwa kutangaza matokeo ya zoezi la sensa ya watu na makazi lililoanza kufanyika usiku wa kuamkia Agosti 23, 2 . . .
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amewaagiza waganga wa jadi kuacha kuwatibu watu wakati wa mlipuko wa ebola unaoendelea ambao hadi sasa umesababisha vifo vya watu 19 nchini humo.Rais pia amewaagiza maaf . . .
Mbunge wa Aman (CCM), Mussa Hassan Mussa amefariki dunia leo Alhamisi Oktoba 13, 2022 nyumbani kwake visiwani Zanzibar.Akitoa taarifa ya kifo hicho leo Alhamisi Oktoba 13, 2022 Spika wa Bunge, D . . .
Wanasheria na baadhi ya wadau wametaka utafiti ufanyike kubaini chanzo cha anguko kwenye mtihani wa uwakili katika Shule Kuu ya Sheria Tanzania (LST).Pendekezo hilo na mengine yamekuja kufuatia matoke . . .
Shehena ya kazi za sanaa zipatazo 70 zilizoporwa kutoka ufalme wa zamani wa Benin zitarejeshwa nchini Nigeria kutoka jumba la makumbusho la nchini Ujerumani. Uamuzi huo umefikiwa jana Jumanne baada ya . . .
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya akiendelea kusota mahabusu kwa siku 132 sasa tangu afikishwe mahakamani, mwendesha mashtaka wa Serikali, Kassim Nassir amesema upelelezi wa kesi hiyo . . .
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi ya siku nne mkoani Kigoma, kuanzia tarehe 16 hadi 19 mwezi huu.Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu ziara hiyo, mkuu wa mkoa wa Kigo . . .
Mkutano huu unafanyika katika wakati hali ya ndani ya China na hali ya kimataifa, ina changamoto mbalimbali kiuchumi na kiusalama, kwa hiyo kitakachojadiliwa na kuamuliwa kwenye mkutano huo, sio kama . . .
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima amesema serikali imeanzisha vikundi vya malezi 1184 katika mikoa 17 Tanzania Bara hadi kufikia Juni 20 . . .
Kiongozi wa Belarus Alexander Lukashenko hapo jana alitangaza kuundwa kwa kikosi cha pamoja cha nchi yake ndani ya jeshi la Urusi. Lukashenko alisema hatua hiyo inatokana na shinikizo linaloongezeka k . . .
Lucy Letby ameshtakiwa kwa mauaji ya watoto watano wa kiume na wakike wawili."Mtoaji sumu alikuwa kazini" katika hospitali ambapo kulikuwa na "kuongezeka kwa kiasi kikubwa" kwa idadi ya watoto wenye a . . .
Wakaazi wa Mji wa Komanda wilayani Irumu mkoani Ituri Kaskazini mashariki mwa Congo wanaomba jeshi la serikali kuweka ulinzi wa kutosha katika miji na vijiji vya wilaya yao vinavyoshambuliwa kil . . .
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis siku ya Jumapili alitoa utetezi mkali dhidi ya wahamiaji, akitaja kutengwa kwao kuwa “kashfa, karaha na dhambi”, na kumuweka katika mgongano na ser . . .