RAIS SAMIA ASHIRIKI MISA TAKATIFU YA KUMUOMBEA BABA WA TAIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais Mhe. Philip Isdor Mpango, viongozi wengine wa Chama, Serikali, pamoja na Waumini wa Kanisa hilo wakiwa kwenye Misa Takatifu ya Kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Kuu Katoliki, Jimbo la Bukoba Mkoani Kagera tarehe 14 Oktoba, 2022.




Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii