MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA JPM MKOANI MWANZA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akikagua ujenzi wa daraja la JPM,  Kigongo – Busisi mkoani Mwanza, Oktoba 16, 2022.  Kulia ni Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey  Kasekenya na kulia kwa Waziri Mkuu ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii