WASHUKIWA wawili wa wizi wanauguza majeraha ya risasi baada ya polisi kutibua njama zao eneo la Likoni, Kaunti ya Mombasa.Walikuwa kwenye kundi la wezi waliokuwa wakipora duka usiku wa kuamkia jana.Tu . . .
Waziri Mkuu wa India Narendra Modi anafanya ziara ya Kiserikali nchini Ethiopia leo Jumanne hii, Desemba 16 wakati India ikijaribu kuongeza ushawishi wake katika bara la Afrika.New Delhi imebaini kwam . . .
Katika kuhamasisha matumizi ya msamaha wa riba na adhabu unaoelekea kukoma Desemba 31 mwaka huu Mamlaka ya Mapato Mkoa wa Mwanza imeandaa kipindi cha radio ili kuwaelimisha na kuongeza hamasa kwa wanu . . .
Watumishi wawili wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, ambao ni Mkuu wa Idara ya Fedha na Afisa Utumishi na Rasilimali Watu, wamesimamishwa kazi kufuatia tuhuma za usimamizi dhaifu wa fedha za miradi ya . . .
Rais wa Kenya William Ruto amemteua Truphena Muthoni kuwa balozi wa kampeni ya taifa ya kupanda miti, kufuatia jitihada zake za kipekee katika kulinda na kuhamasisha uhifadhi wa mazingira.Akizungumza . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza kupitia Kikosi cha Usalama Barabarani limeendelea na zoezi la kutoa elimu kwa madereva na abiria sambamba na kufanya ukaguzi wa magari hususan mabasi ya masafa marefu ya . . .
Msemaji wa AFC/M23 Lawrence Kanyuka amewataka wakongomani kurejea nyumbani akitaja kuwa kwa sasa hali ya usalama ni shwari.Msemaji wa kundi hilo linaloungwa mkono na Rwanda amesema: "Kila kitu kinaend . . .
Mshirika wa karibu wa rais aliyepinduliwa nchini Guinea Bissau, Umar Sissoco Embalo ametiwa nguvuni nchini Ureno akiwa na kiasi cha fedha taslimu euro milioni tano.Hata hivyo Mtu huyo alishikiliwa kwe . . .
Rais Donald Trump wa Marekani amefunguwa kesi mahakamani akidai fidia ya dola bilioni 10 kutoka Shirika la Utangazaji la Uingereza, BBC, akilituhumu kumchafulia jina.Kesi hiyo inatokana na vipande vya . . .
Rais wa Marekani Donald Trump ni kiongozi wa taifa lenye nguvu kubwa zaidi kisiasa, kiuchumi na kijeshi duniani hivyo basi katika nafasi hiyo nyeti, usalama wake hupewa kipaumbele cha juu ka . . .
Watumishi wawili wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia ambao ni Mkuu wa Idara ya Fedha na Afisa Utumishi na Rasilimali Watu wamesimamishwa kazi kufuatia tuhuma za usimamizi dhaifu wa fedha za miradi . . .
Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini Eng. Chacha Wambura amesema mafunzo ya madiwani wa Mkoa wa Geita ni muhimu katika kuwawezesha viongozi kushirikiana vyema na serikali na halmashauri ili kuhakikisha maen . . .
Elon Musk mmiliki wa jukwaa la X (zamani Twitter) ametambulisha rasmi XChat mfumo mpya wa mawasiliano ulioundwa kuboresha faragha na kuongeza kasi ya uhuru wa mazungumzo ya kidijitali.Hivyo basi . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili katika Shule ya Kijeshi ya Ulinzi wa Anga (SKUA) mkoani Tanga leo Desemba 15 mwaka huu kwa aj . . .
Nabli wa Ghana Nuhu Ebo anadaiwa kukamatwa kwa kosa la kuzua taharuki kwa kusambaza habari kuwa Mungu amemfunulia maono kwamba ataiagamiza Dunia kwa maji tena ifikapo Desemba 25 mwaka huu.Aidha Nuhu . . .
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Leo Desemba 15 mwaka huu amewasili Mjini Songea ambako atashiriki katika Ibada ya kutoa heshima za mwisho kwa marehemu Jenista Mhagama aliyekuwa Mbunge wa Peramisho n . . .
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe. Wanu Hafidh Ameir amekagua karakana ya kufundishia na kujifunzia iliyojengwa katika Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) Kampasi ya Mwanza ambayo . . .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba mkoani Kagera leo tarehe 14 Desemba 2025. Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa . . .
Waziri Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba ametoa taarifa kuhusu hali ya ukame nchini, huku akiwataka Watanzania kutunza na kutumia kwa uangalifu akiba ya chakula waliyonayo kutokana na kuchelewa kwa msimu wa mv . . .
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ametuma ujumbe kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Desemba 14, 2025, wakati alipokutana na Waziri wa Mambo ya N . . .
RAIS William Ruto ameongoza sherehe za Jamhuri Dei nchi ikiadhimisha miaka 62 tangu ilipopata uhuru.Sherehe hizo zinazoendelea katika uwanja wa Nyayo Stadium, Nairobi pia zilitumika kumkumbuka Hayati . . .
Wananchi wa Dar es Salaam wameendelea kuonesha malalamiko yao kutokana na ukosefu wa maji safi katika maeneo mbalimbali ya jiji, hali ambayo imekuwa kikwazo kikubwa kwa maisha ya kila siku. Tatizo hil . . .
Nchini Ufaransa, muungano wa vyama vya kiraia kwa ajili ya Rwanda (CPCR) umewasilisha mahakamni malalamiko dhidi ya Benki ya Ufaransa, ukiishutumu kwa kushiriki katika mauaji ya kimbari na uhalifu dhi . . .
Itakumbukwa Mnamo Disemba 5, mwaka huu 2025 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt, Mwigulu Nchemba alifanya ziara jijiji Mwanza kuzitembelea familia zilizopata madhara ya vurugu za uc . . .
Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga amefanya ziara ya kushtukiza kwenye bar iitwayo Barazani inayotiririsha maji machafu aina ya kinyesi cha binadamu na kumwamuru Mkuu wa wilaya ya Babati na OCD kui . . .
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameliambia shirika la Habari la Al Arabiya la Saudi Arabia kuhusu mkutano huo, ingawa hakufichua tarehe ya mazungumzo hayo.Katika hatua hiyo maafisa wa . . .
Msemaji wa Ikulu ya Marekani Karoline Leavitt amesema Donald Trump "amechoshwa na mikutano ya mara kwa mara" ambayo hadi sasa haijatoa mwanga wa kufikiwa kwa makubaliano ya kuvimaliza vita kati ya Uru . . .
Ukraine inasisitiza kuwa na nguvu ya askari 800,000 katika jeshi lake chini ya pendekezo lililoboreshwa la mpango wa amani lililowasilishwa kwa Marekani Volodymyr Zelensky amesema kuwa rasimu ya sasa . . .
Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imemhukumu kiongozi wa wanamgambo wa Janjaweed nchini Sudan Ali Kushayb kifungo cha miaka 20 jela kwa uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu. Uhalifu huu . . .
Aliyewahi kuwa Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Peramiho, Jenista Joakim Mhagama, aliyefariki dunia Desemba 11 mwaka huu jijini Dodoma, anatarajiwa kuzikw . . .