Ruto aongoza sherehe za Jamhuri Dei

RAIS William Ruto ameongoza sherehe za Jamhuri Dei nchi ikiadhimisha miaka 62 tangu ilipopata uhuru.

Sherehe hizo zinazoendelea katika uwanja wa Nyayo Stadium, Nairobi pia zilitumika kumkumbuka Hayati Raila Odinga ambaye aliaga dunia Oktoba 15, 2025.
Kando na hayo, sherehe hizo pia ziliandaliwa katika kaunti mbalimbali kama vile Siaya, Nyeri, Garissa, Homa Bay miongoni mwa mengine.

#10YrsJembefm  #Familiamoja #AhsantekwaTime

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii