logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
Afrika
  • Na Asha Business
  • March 2, 2023

Marekani yaongeza msaada wa kijeshi kwa Somalia kwenye vita dhidi ya ugaidi

Marekani imeongeza msaada wake wa kijeshi kwa Somalia wakati taifa hilo likipiga hatua katika kukabiliana na mtandao wa kigaidi wa al Qaida ilioutaja kuwa mbaya zaidi ulimwenguni. Marekani ime . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 1, 2023

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guteress yuko Irak

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guteress yuko nchini Irak leo kwa mazungumzo na maafisa waandamizi nchini humo baada ya mzozo wa kisiasa kuikumba nchi hiyo.Ziara hiyo ya Guterres ambayo ni yak . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 1, 2023

Ni marufuku kwa maafisa wa Urusi kutumia maneno ya kigeni

Serikali ya Urusi ipo katika hatua ya kuwapiga marufuku maafisa wake kutumia maneno ya kigeni wakati wa kutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria iliyorekebishwa juu ya matumizi rasmi ya lugha ya K . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • February 28, 2023

Hatimaye Ndugu wa Aliyegongwa ajali ya Mwendokasi Wajitokeza

Majeruhi pekee wa ajali ya mwendokasi aliyekua amesalia Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI), ametambuliwa na ndugu zake akiwemo mkewe Isha Mohamed ambaye amekiri kumtafuta mumewe kwa siku 6.Video za CCT . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • February 28, 2023

Rais Samia Amteua Dkt. Said Ally Mohamed Kuwa Katibu Mtendaji Wa Baraza La Mitihani (NECTA)

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Said Ally Mohamed kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania, kabla ya uteuzi huu Dkt. Mohamed alikuwa ni Mkurugenzi wa Huduma za U . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 27, 2023

Maelfu ya walowezi wa Israel wavamia eneo la kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi

Maelfu ya walowezi wa Israel wamevamia eneo la kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi Jumapili jioni na kuchoma moto magari na nyumba baada ya walowezi wawili kuuawa na mshambuliaji wa Kipalestina.Maafisa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • February 24, 2023

HomeSiasaUTEUZI Mpya: Hamad Abdallah Ateuliwa na Rais Kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) UTEUZI Mpya: Hamad Abdallah Ateuliwa na Rais Kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa

Rais Samia Suluhu amemteua Hamad Abdallah kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) akichukua nafasi ya Nehemiah Mchechu ambaye ameteuliwa kuwa Msajili wa Hazina.Kabla ya uteuzi huo, Ab . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • February 24, 2023

Kamishna Mkuu Wa KRA, Mburu Ajiuzulu

KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Ukusanyaji Ushuru ya Kenya (KRA) Bw Githii Mburu, alijiuzulu jana, mwaka mmoja kabla ya muhula wake kukamilika. Bodi ya KRA ilisema kwamba Bw Mburu alijiuzulu kushughulika . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 24, 2023

Kampuni ya Boeing yasitisha kupeleka kwa wateja wake ndege aina 787 Dreamliner

Kampuni ya Boeing imesitisha uwasilishaji wa ndege aina ya 787 Dreamliner kwa wateja wake huku ikiendelea kufanya ukaguzi zaidi kwa bodi ya ndege hiyo, Mamlaka ya Anga ya Marekani(FAA) imesema Alhamis . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 24, 2023

Thomas Sankara azikwa upya eneo alilouawa

Mwili wa Rais wa zamani wa Burkina Faso, Thomas Sankara na wasaidizi wake 12 waliouawa Oktoba 15, 1987 wakati wa jaribio la mapinduzi ya kijeshi, wamezikwa mahali walipouawa mjini Ouagadougou.Katika M . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 23, 2023

Mahakama ya Rwanda yamuachilia huru mpinzani aliyezuiliwa jela kwa ubakaji

Mahakama ya Rwanda Jumatano ilimuachilia huru muhadhiri maarufu wa Chuo kikuu ambaye ni mpinzani wa serikali aliyezuiliwa jela kwa miezi 17 kwa madai ya ubakaji.Christopher Kayumba alikamatwa mwezi Se . . .

Elimu
  • Na Asha Business
  • February 23, 2023

Wanafunzi A-Level kusoma kwa miaka mitano

Wanafunzi watakaofuzu kujiunga na kidato cha tano (A-Level), sasa watatakiwa kusoma kwa hadi miaka mitano, iwapo serikali itaidhinisha huo mpya wa kidato cha nne na cha sita kuanzia sasa nchini Uganda . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • February 22, 2023

Mgogoro uliodumu miaka 40 watatuliwa Karagwe

Mgogoro wa ardhi uliodumu kwa miaka 40 ambao unawahusisha wakulima na wafugaji katika vitalu vinne vilivyoko katika kijiji cha Kashanda kata Nyakahanga wilayani Karagwe, hatimaye umetatuliwa na Mkuu w . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • February 21, 2023

Utoaji leseni bila utaratibu, wafanyakazi TRA mbaroni

Polisi Mkoani Iringa, inawashikilia Wafanyakazi wawili wa Mamlaka ya Mapato Tanzania – TRA, Upendo Msigwa (32) na Chali Chaliga (28) kwa tuhuma za kutoa leseni bila kufuata taratibu.Akithibitisha ku . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • February 20, 2023

Tetemeko laathiri ndoa Uturuki

Takribani Wajawazito 356,000 walionusurika katika matetemeko ya ardhi lililopoteza maisha ya watu zaidi ya 5,900 nchini Uturuki na Syria wanahitaji kupata huduma za afya ya uzazi kwa dharura huku weng . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • February 20, 2023

Kasisi apoteza maisha kimazingara

Kasisi George Olusanya Omoolorun, wa Kanisa la Christ Apostolic Church (CAC) Oke Idahun, Oba-Ile, Akure, amefariki katika mazingira ya utata akiwa mawindoni, baada ya kumpiga risasi mnyama aina ya Kul . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • February 19, 2023

Aliyefukiwa na Kifusi kwa Siku 11 Akutwa Hai

Waokoaji nchini Uturuki wamefanikiwa kumtoa kijana mdogo akiwa hai kutoka kwenye vifusi vya jengo lililoporomoka ikiwa ni siku 11 baada ya tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.8 kwa kipimo cha rikta li . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • February 17, 2023

Samia Suluhu Hassan ashiriki Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Addis Ababa, Ethiopia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika katika Jengo la Usalama na Amani la Julius Nyerere lil . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 17, 2023

Rais Apiga Marufuku Wanawake Kutumia Jina Linalofanana na la Binti yake

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-Un ametoa katazo kwa familia na watu wengine wa Taifa lake kwamba hakuna ambaye anaruhusiwa kuwa na Jina kama la binti yake Ju Ae (Kim Ju-Ae) mwenye umri wa miaka . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • February 16, 2023

Gari la Professa Lipumba Lapinduka

Mwenyekiti wa Chama Cha CUF Tanzania, Ibrahim Lipumba amepata ajali mbaya ya gari akiwa mkoani Lindi Katika harakati za kisiasa.Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo leo Februari 16 Mkurugenzi wa Habar . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • February 15, 2023

Ruto atangaza rasmi kiti cha Chebukati kuwa wazi

RAIS William Ruto ametangaza rasmi kuwa wazi nafasi za mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) na makamisha watano. Alitoa tangazo hilo kupitia taarifa iliyochapishwa katika toleo maalum . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • February 15, 2023

Polepole"Watanzania changamkieni fursa Malawi "

Balozi wa Tanzania Nchini Malawi Humfrey Polepole amewahimiza watanzania kuchangamkia fursa mbalimbali za kibiashara zilizopo nchini Malawi, huku akiahidi Ubalozi huo utaendelea kuwasaidia kupata maso . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • February 15, 2023

Wazee washauri wasiotunza wazazi washtakiwe

Wazee Mkoani Lindi wameitaka Serikali kupitisha sheria ya mzazi kumshtaki mtoto wake endapo atamtelekeza bila kumpatia msaada wowote huku wakisema katika nyakati hizi za uzee wanahitaji usimamizi na m . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 15, 2023

Baada ya mgogoro wa Tigray, raia wa Ethiopia wakabiliwa na tatizo la chakula

Wakati wa Ethiopia wakiachana na kipindi cha miaka miwili ya mgogoro, utafiti mpya wa Gallup unatoa picha kamili ya namna watu wanavyo taabika kiuchumi na msongo wa mawazo. Utafiti umefanyika m . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • February 14, 2023

Samia Suluhu Hassan ashuhudia utiaji Saini Mikataba 26 ya Gridi Imara yenye thamani ya Shilingi Trillion 1.9, Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kushuhudia utiaji saini wa Mikataba 26 ya Gridi Imara yenye thamani ya Shilingi T . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • February 14, 2023

Wabunge wanaomuunga mkono Bobi Wine waachiliwa kwa dhamana

Wabunge wawili wanaomuunga mkono mwanamuziki maarufu wa Uganda ambaye baadaye aliingia katika siasa Bobi Wine, ambaye pia ni mpinzani mkuu wa rais Yoweri Museveni, wameachiwa kwa dhamana  Jumatat . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • February 13, 2023

Papa Francis ana wasiwasi kuhusu hukumu ya Askofu,Nicaragua

Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis ametaja leo kuwa na huzuni na wasiwasi kufuatia taarifa za Askofu Roland Alvarez kuhukumiwa kifungo cha miaka 26 jela huko Nicaragua.Askofu Alvare . . .

Teknolojia
  • Na Asha Business
  • February 13, 2023

TCRA kuzima laini za simu zisizohakikiwa leo

Wakati laini za simu ambazo hazijahakikiwa zikizimwa leo Jumatatu Februari 13, 2023 na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), asilimia 96.8 ya laini zote za simu zilizosajiliwa kwa alama ya vidole zi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 13, 2023

Maafa Uturuki: Sudan yapeleka timu ya waokoaji, chakula

Katika kusaidia juhudi za maafa baada ya tetemeko kubwa la ardhi ambalo limesababisha vifo vya watu zaidi ya 3,000, na maelfu kadhaa kujeruhiwa, nchi ya Sudan imetuma timu ya watu 40 ya utafutaji na u . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • February 10, 2023

Uapisho wa Makamishna, Skauti Mkuu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaapisha Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Skauti Mkuu, Rashid Kassim Mchatta katika hafla iliyofanyika Ikulu Ch . . .

Kurasa 54 ya 100

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • TFF Yamfungia Ramadhan Missiru Miaka 6 Na Faini Ya Milioni Tano

    • 28 dakika zilizopita
  • Diddy Akabiliwa Na Mashtaka Mazito Ya Unyanyasaji Wa Kijinsia Na Usafirishaji Wa Watu

    • 33 dakika zilizopita
  • YANGA NA NAMUNGO HAPATOSHI LEO KMC COMPLEX

    • 55 dakika zilizopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode