Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya NBC 2024-25, klabu ya Yanga SC watashuka dimbani jioni ya leo saa 10:15 kucheza dhidi ya Namungo kutoka mkoani Lindi.
Yanga wanataka kutetea ubingwa wao kwa mara ya nne mfululizo wakikumbuna na ushindani mzito kutoka kwa watani zao wa Jadi Simba SC ambao wana alama 69, alama moja nyuma yao (70).
Hivi hapa vikosi vinavyoanza leo katika uwanja wa KMC Complex (Yanga SC vs Namungo).