HomeSiasaUTEUZI Mpya: Hamad Abdallah Ateuliwa na Rais Kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) UTEUZI Mpya: Hamad Abdallah Ateuliwa na Rais Kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa

Rais Samia Suluhu amemteua Hamad Abdallah kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) akichukua nafasi ya Nehemiah Mchechu ambaye ameteuliwa kuwa Msajili wa Hazina.


Kabla ya uteuzi huo, Abdallah alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Gimcoafrica Limited.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii