Rais Samia Aongoza Taifa Kuaga Mwili wa Mzee Cleopa Msuya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumapili Mei 11, 2025 amewaongoza Watanzania, kuaga kitaifa mwili wa Makamu wa Rais wa Kwanza na Waziri Mkuu Mstaafu, Mzee Cleopa Msuya katika Viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam.


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii