Charles Hillary, Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Afariki Dunia

Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hillary amefariki dunia alfajiri ya leo, Mei 11, 2025.

Taarifa za kifo chake zimetolewa na Shirika la Habari Zanzibar, ZBC.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii