Maafisa wawili wa Uturuki wamesema kuna uwezekano mkubwa Bunge la nchi hiyo likaidhinisha mwezi ujao ombi la Finland la kujiunga na Jumuiya ya kujihami ya NATO.Taarifa hiyo imetolewa wakati Rais wa Fi . . .
Mtoto wa kiume wa rais wa Uganda Yoweri Museveni, Jeneral Muhoozi Kainerugaba, amweka wazi nia yake ya kugombea urais wa taifa hilo katika uchaguzi mkuu wa Taifa hilo mwaka 2026.Jenerali Muhoozi . . .
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), imesema watoto ambao awali walikuwa wakisajiliwa kupitia utaratibu wa bima ya afya ya ‘Toto Afya Kadi,' sasa watasajiliwa kupitia vifurushi vya bima ya afya au . . .
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, amemteua Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda kuwa Mwenyekiti wa Baraza la kumshauri Rais kuhusu utekelezaji wa masuala ya kilimo na chakula.Taarifa ya uteuzi huo imtolewa l . . .
Kamati ya Amani na Jumuiya ya Maridhiano Tanzania imempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza miaka miwili madarakani na kusema ameifungua Tanzania katika uhusiano wa kimataifa, Demokrasia na uk . . .
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalaama Barabarani yatakayofanyika Mkoani Mwanza Kitaifa.Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Adam Malima amew . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, limewataka waendesha baiskeli mkoani humo kutii sheria za usalama barabarani bila kushurutishwa.Hayo yamesemwa na Mkuu wa Polisi Jamii Mkoa wa Arusha Mrakibu Mwandamizi . . .
Wataalamu kutoka Mamlaka ya Rufaa ya Zabuni za Umma nchini Botswana, wameipongeza Tanzania kwa kuwa na mifumo imara ya ununuzi na utatuaji wa migogoro ya ununuzi na upataji wa wazabuni na wakanda . . .
Serikali nchini kupitia Wizara ya Afya, imesema tafiti zimebaini kuwa takribani Watanzania 5,800 mpaka 8,500 wanahitaji huduma za kusafisha damu au kupandikizwa figo.Hayo yamebainishwa na Waziri wa Af . . .
Russia imesema Alhamisi kwamba mkataba wa kihistoria wa kuhakikisha usafirishaji salama wa nafaka kutoka bahari ya Black Sea nchini Ukraine hautekelezwi kikamilifu, na hivyo kutilia mashaka iwapo itar . . .
Jeshi la Kujenga Taifa JKT limewataka vijana wanaohitimu mafunzo ya kijeshi, kuacha tabia ya kuilalamikia aerikali kwa kuacha kutoa ajira, badala yake Watumie stadi za maisha ujuzi waliopatiwa vikosin . . .
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo amemaliza ziara yake wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara ambapo pamoja na kukagua uhai wa Chama sanjali na kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchag . . .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo tarehe 08 Machi 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni Tanzu ya Al Faisal (Al Faisal Holding )Sheikh Fai . . .
Spika wa bunge la Marekani Kevin McCarthy anasema hana mpango wowote wa kuizuru Ukraine baada ya Rais Volodymyr Zelenskiy kumpa mwaliko.Haya ni kwa mujibu wa shirika la habari la Marekani CNN. Katika . . .
Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo amesema Ado Shaibu amesema kuwa anauona mkono wa Rais Samia Suluhu Hassan kuelekea uhuru wa habari nchini.Amesema, kila tawala inacho cha kujivunia na kwamba, ka . . .
Baraza la Kitaifa la Kupambana na Magonjwa Sugu (NSDCC), limefichua kuwa asilimia 18.2 ya maambukizi mapya ya Virusi Vya Ukimbi yanatokana na wanaume wanaofanya mapenzi na wanaume wenzao.Kulingana na . . .
Jaji mkuu wa Iran Gholamhossein Mohseni Ejei, amesema Jumatatu kwamba wanawake wanaokiuka madili ya kiislamu kwenye mavazi yao wataadhibiwa.Taarifa hiyo imetolewa na chombo rasmi cha habari cha serika . . .
Kiongozi wa upinzani wa Belarus Sviatlana Tsikhanouskaya, aliyeko uhamishoni, Jumatatu amepewa kifungo cha miaka 15 jela, licha ya kutokuwepo nchini, baada ya kupatikana na hatia ya jaribio la mapindu . . .
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila amewataka Wakuu wa Wilaya kushirikiana na Viongozi wa Kata kuunda kamati za ulinzi, ili kulinda mali za wanufaika wa TASAF kupitia mpango wa kunusuru kaya masi . . .
Kwa mara ya kwanza mataifa wanachama wa Umoja wa Mataifa yamekubaliana kuhusu mkataba wa pamoja wa kulinda mazingira kwenye maji ya bahari ya kimataifa. Hatua hiyo ni muhimu kwa kuwa hapo awali . . .
Matukio mawili ya kushindana yameonyesha mgawanyiko wa waconservative wa Marekani kabla ya uchaguzi mkuu wa rais mwaka ujao.Wakati Donald Trump na mpinzani pekee aliyetangaza atawania urais balozi wak . . .
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, akiwa nchini DRC, kituo cha mwisho cha ziara yake barani Afrika, amesema kuwa pande zote zinazozozana katika mgogoro wa kiusalama unaokumba mashariki mwa nchi hiyo, z . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifunga Mkutano wa Faragha (Retreat) wa Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kima . . .
Yev-geny Prig-ozhin mkuu wa jeshi la mamluki la Russia Wagner linalopigana nchini Ukraine kuwa ni mhalifu wa kivita.Mwanasheria Mkuu Merrick Garland alikiambia kikao cha Seneti kwamba wizara ya . . .
Muungano wa upinzani wa National Salvation Front nchini Tunisia ulisema siku ya Alhamisi kwamba utafanya maandamano siku ya Jumapili licha ya kunyimwa kibali na mamlaka nchini humo, huku kukiwa na msa . . .
Makamu wa Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua ameshtushwa na uamuzi wa Mahakama Kuu nchini humo kuruhusu Shirika lisilo la kiserikali (NGO) linaoundwa na watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja lisa . . .
Mhe.Rais Samia afungua mkutano wa faragha wa Mawaziri ,Naibu mawaziri,Makatibu Wakiu na Naibu Makatibu Wakuu kwenye ukumbi wa AICC. . . .
. . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaagiza Mawaziri na Manaibu Waziri kutotumia maafisa habari binafsi, bali wazingatie utaratibu wa kuwatumia maafisa wa vitengo vya . . .
Marekani imeongeza msaada wake wa kijeshi kwa Somalia wakati taifa hilo likipiga hatua katika kukabiliana na mtandao wa kigaidi wa al Qaida ilioutaja kuwa mbaya zaidi ulimwenguni. Marekani ime . . .