Mkazi wa Kigamboni Vicent Masawe(36)maarufu kwa jina la ‘Bwana harusi’ amepandishwa Mahakamani kisutu akikabiliwa na mashtaka mawili.Msh . . .
Jeshi la Israel limesema mapema leo Jumanne kwamba limezuia kombora lililofyetuliwa kutoka Yemen.Kombora hilo limesababisha ving’ora kulia . . .
Meru - Aliyekuwa Waziri wa Kilimo Mithika Linturi ameikosoa serikali ya Rais William Ruto kwa madai ya kuwatenga jamii ya Ameru.Linturi alid . . .
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Desemba 21, 2024 amewasili mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi na kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa tenki la . . .
Mwanzilishi wa Kanisa la Salvation Proclaimers Anointed Church, maarufu kwa jina la SPAC Nation, Mchungaji Tobi Adegboyega, amemtaja mwanamu . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limesema linachunguza taarifa ya kifo cha mwanafunzi mmoja wa chuo Kikuu cha Dodoma – UDOM, ambaye alifar . . .
Zaidi ya wanajeshi 1,000 wa Korea Kaskazini waliuawa au kujeruhiwa katika mapigano dhidi ya vikosi vya Ukraine, kamati ya wakuu wa majeshi y . . .
Waziri mkuu wa Albania Edi Rama, amesema Jumapili kwamba hatua ya kupigwa marufuku kwa jukwaa la TikTok na serikali yake siku moja kabla “ . . .
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Camillus Wambura amefanya mabadiliko madogo kwa Wakuu wa Kikosi cha Usalama barabarani, lengo likiwa n . . .
Takriban Watu 38 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 100 hawajulikani walipo nchini Kongo, baada ya kivuko walichokuwa wakisafiria kilichoz . . .
Kampuni ya Tesla inayomilikiwa na bilionea Elon Musk, imetoa taarifa kwamba simu yake ya Tesla Pi inatarajiwa kuanza kupatikana kote duniani . . .
Rais wa Russia, Vladimir Putin, Alhamisi amesema yuko tayari kuafikiana kuhusu Ukraine katika mazungumzo yanayowezekana chini ya Rais-mteule . . .
NCHI zimetenga bajeti kidogo kwa afya huku wagonjwa wengi kutoka familia maskini wakipitia changamoto ya kulipia ada za hospitali, Shirika l . . .
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imemfungia miaka mitano kujihusisha na mpira wa miguu Mwenyekiti wa Kamati . . .
Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, Jumatano amewataka wabunge wa Marekani kuukataa mswada wa ufadhili wa muda kwa bajeti baada ya . . .
Mahakama ya Juu ya Marekani, Jumatano imeamua kusikiliza maombi ya TikTok na kampuni yake mama ya China, ByteDance, kuzuia sheria iliyokusud . . .
Askari Polisi wawili wa wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma, wamefariki dunia usiku wa kuamkia leo Desemba 18, 2024, katika majibizano ya risasi . . .
Wizara ya Afya ya Urusi imetangaza kuwa imegundua chanjo dhidi ya saratani ambayo itatolewa bure kwa wagonjwa na inatarajiwa kuanza kutumika . . .
#HABARI Happyness Khalfan (30) mkazi wa Kata ya Mwendakulima wilayani Kahama mkoani Shinyanga, amekatwa na kitu cha ncha kali katika mkono w . . .
Uthibitisho wa ripoti ya Fitch Ratings umeipa Tanzania kiwango cha alama B+ kuwa na Uchumi unaokua kwa kasi na uwezo wa Kulipa Madeni ya Nje . . .
Umoja wa Ulaya Jumatatu kwa mara ya kwanza uliweka vikwazo vyenye mamlaka kamili, ikiwa ni pamoja na kuzuia mali na marufuku ya viza, . . .
Mtoto King John Mseke (9) ambaye ni Mtoto wa Msanii Staa wa Hiphop Tanzania Joh Makini ( @JohMakiniTZ ), amewasili katika Academy ya Club ya . . .
eshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema December 15,2024,lilimpata na kumshiklia Vicent Peter Massawe maarufu Baba Harusi Mkaz . . .
Nchini Kenya, Madaktari wanatarajiwa kuandamana jijini Nairobi hivi leo, kuishinikiza serikali kutekeleza makubaliano ya kuwaongezea mshahar . . .
WAKAZI wa kijiji cha Bulesa, eneo la Merti katika kaunti ya Isiolo wamemuua mamba aliyemshambulia na kummeza mvulana mmoja aliye . . .
Kiwanda kimoja cha kusafisha mafuta cha Libya kilichopo magharibi mwa Libya kimefungwa baada ya mapigano kati ya makundi yenye silaha kuzuka . . .
Watu 38 wameuawa Magharibi mwa jimbo la Darfur nchini Sudan, baada ya wanamgambo wa RSF kutumia ndege isiyokuwa na rubani, kutekeleza shambu . . .
Polisi wanaendelea na uchunguzi kufahamu kama Mtu aitwae Vincent Peter Massawe wa DSM amejipoteza mwenyewe kwa makusudi ama la, ikiwa ni sik . . .
Baada ya taarifa za kupotea kwa Mfanyabiashara Daisle Simon Ulomi ambaye hakurudi nyumbani kwake toka alipoingia kazini December 11, 2024 Ji . . .
Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Zuberi Habibu, Mkazi wa Kijiji cha Mandudumizi B, Kata ya Zombo, Kilosa mkoani Morogoro, anashikili . . .
Waandishi wa habari 54 waliuawawakiwa kazini au kwa sababu ya kazi zao duniani kote mwaka 2024, ikiwa ni pamoja na theluthi moja ya jeshi la . . .
Kuanzia mwezi wa 4 mwakani, wafanyakazi wa serikali kutokea mji mkuu wa Taifa la Japan, Tokyo watakuwa wanufaika wa kwanza wa mfumo wa kupun . . .
Umoja wa Mataifa Jumatano umeonya kuwa uamuzi wa Taliban wa kuwazuia wanawake kusomea utabibu kutaharibu hali zaidi Afghansitan ambayo . . .
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya uwepo wa kimbunga Chido katika Bahari ya Hindi kaskazini mwa Kisiwa cha Madagascar. . . .
LEO ni Sikukuu ya Jamhuri. Siku ya Jamhuri ni mojawapo ya siku za kitaifa katika Jamhuri ya Kenya. Jamhuri ni nchi huru inayojitawala.Kenya . . .
Shirikisho la soka Duniani (FIFA) limethibitisha kuipatia Saudi Arabia haki za kuwa nchi mwenyeji wa Kombe la Dunia la FIFA la 2034 huku Uhi . . .
Nchi za Somalia na Ethiopia, zimekubaliana kumaliza mvutano kati yao baada ya kumalizika kwa mazungumzo yaliyoongozwa na rais wa Uturuki Rec . . .
skari wa Usalama Barabarani wametakiwa kukamata mabasi yanayoendeshwa kwa mwendokasi mara tu wanapoona kosa hilo kupitia mfumo wa VTS na was . . .
Serikali ya Nchi ya Urusi imewataka raia wake kutosafiri kwenda Marekani, Canada au baadhi ya nchi za Umoja wa Ulaya, ikisema kuna hatari ya . . .
Takribani Watu wasiopungua 127, wengi wao wakiwa ni raia wameuawa nchini Sudan kufuatia mapigano kati ya jeshi na Wanamgambo wa RSF.Taarifa . . .