Mamlaka nchini Iran imetangaza kipindi cha siku tano kwa watu wanaotaka kuwania katika uchaguzi wa urais wa tarehe 28 ya mwezi Juni mwaka huu kuwasilisha maombi yao.Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika . . .
Mamia ya watu waliandamana mjini Tunis siku ya Jumapili kumuunga mkono Rais Kais Saied huku kukiwa na ukosoaji mkubwa ndani na nje ya nchi baada ya wimbi la kukamatwa kwa waandishi wa habari, wanahara . . .
Baraza la Katiba lililotangaza ushindi huo pia lilikataa ombi lililotolewa na Waziri Mkuu Succes Masra la kutaka kufutwa matokeo hayo.Kiongozi wa kijeshi wa Chad, Jenerali Mahamat Idriss Deby Itno ame . . .
Idadi kubwa ya wapiga kura vijana katika uchaguzi wa rais Marekani wanasema wanatamani wangekuwa na mtu mwingine na siyo Joe Biden au Donald Trump kumchagua.Lakini wapiga kura vijana wanamuunga mkono . . .
Siku tatu baada ya kutangazwa kwa matokeo rasmi ya muda ya uchaguzi wa urais wa Chad na ushindi katika duru ya kwanza ya rais wa mpito, Mahamat Idriss Déby, Waziri Mkuu Succès Masra, ambaye pia anad . . .
Tume ya uchaguzi huko Chad lilisema Alhamisi kuwa Rais wa mpito Mahamat Idriss Deby alishinda uchaguzi wa urais wa Mei 6 kwa zaidi ya asilimia 61 ya kura, likitaja matokeo ya muda, wakati pia mp . . .
Chama tawala cha Rais wa Togo Faure Gnassingbe kimepata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa bunge, maafisa wamesema, na kumruhusu kiongozi huyo wa muda mrefu kuimarisha mamlaka yake chini ya mabada . . .
Wakati mwelekeo na matokeo ya uchaguzi wa Aprili 29 nchini Togo yakitangazwa, upinzani na hasa Chama cha Dynamics for the Majority of the People (DMP) kinaendelea kushtumu ubadhirifu uliojitokeza kati . . .
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ni siku kumi baada ya kuteuliwa kwa Judith Suminwa kuwa Waziri Mkuu, mwanamke wa kwanza katika historia ya nchi hiyo kushika nafasi hiyo, bado hajakabidh . . .
Vyama vya upinzani vya kiliberali vya Korea Kusini vimepata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa bunge uliofanyika siku ya Jumatano. Waziri Mkuu wa nchi hiyo Han Duck-Soo tayari ameelezea dhamira ya . . .
Vyama viwili vikongwe nchini Rwanda, Liberal na Social Democratic, mwishoni mwa juma vimetangaza kuwa vitamuunga mkono mgombea wa chama tawala cha Rwanda Patriotic Front, Paul Kagame, katika uchaguzi . . .
Wagombea 10, wakiwemo wapinzani wawili wakali wa utawala wa kijeshi wa Chad, Jumatano waliandamana baada ya kuzuiliwa kushiriki kwenye uchaguzi wa rais wa tarehe 6 Mei.Mahakama ya Katiba mjini N’Dja . . .
Mgombea wa upinzani nchini Senegal, Bassirou Diomaye Faye anaongoza katika matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais, ambao ulifanyika baada ya miaka kadhaa ya ghasia na mzozo wa kisiasa.Mshindi wa uchaguz . . .
Lukashenko alitoa matamshi hayo baada ya kupiga kura katika uchaguzi wa bunge na madiwani, uliokosolewa na Marekani kuwa upuuzi.Afisa mkuu anayesimamia uchaguzi katika taifa hilo la zamani la Kisoviet . . .
Siri yafichuka CHADEMA Kukodisha Waandamanaji Mwanza / Mwenezi CCM Mwanza Atoboa . . .
Baraza la Katiba la Senegal limechapisha orodha iliyorekebishwa ya wagombea wa uchaguzi wa rais uliocheleweshwa kutoka Februari 25 hadi tarehe ambayo haijatangazwa.Baraza hilo wiki iliyopita lilibatil . . .
Wanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA mkoani Mbeya tayari wanejikusanya maoneo ya Mbalizi mkoani humo wapo tayari kuanza maandamano. Maandamano hayo ambayo yataongozwa na Mwenyekiti F . . .
Baraza la Katiba la Senegal, limebatilisha tangazo la kuchelewesha uchaguzi wa rais, uliokuwa ufanyike mwezi huu likisema kura ya Bunge ilikuwa kinyume na katiba likidai muswada uliopitishwa ulikuwa k . . .
Wabunge watatu wa upinzani wamekamatwa nchini Senegal, huku kukiwa na mzozo mkali wa kisiasa.Mvutano huo ni kufuatia hatua ya Bunge kupiga kura hapo jana na kuahirisha uchaguzi wa urais hadi Disemba 1 . . .
Karim Wade, mtoto wa kiume wa aliyekuwa rais wa Senegal na pia kiongozi wa kisiasa mwenye nguvu nchini humo, amekana uraia wa Ufaransa ili kuweza kugombea urais kwenye uchaguzi mkuu mwezi ujao.Wade am . . .
Kufuatia Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump kuibuka mshindi Jumatatu usiku kwenye uchaguzi wa mapema wa kuidhinisha mgombea urais wa Repablikan, kwa kujipatia asilimia 51 ya kura zilizopigw . . .
Uchaguzi wa Comoros imefanyika Jumapili, ukitarajiwa kutoa ushindi kwa wa muhula wa nne wa miaka 5 kwa Rais Azari Assoumani.Uchaguzi huo imefanyika wakati wapinzani wake watano wakidai ulijawa na udan . . .
Tume ya uchaguzi ya Congo imesema kwamba imefuta kura zilizopigiwa wagombea 82 kati ya 101,000 waliowania viti vya bunge na udiwani, kwenye uchaguzi mkuu uliyofanyika Desemba.Hatua hiyo ni kutokana na . . .
Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, Jumatano aliiomba Mahakama ya Juu ya Marekani kubatilisha uamuzi wa kuzuia ugombea wake katika jimbo la Colorado, na kuanzisha mzozo wa hali ya juu kuhusu iwa . . .
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amewasili wilayani Ruangwa kwa ziara ya kikazi ambapo pamoja na mambo mengine, atakuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa Chama wa wi . . .