Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imesema Ijumaa Februari 18, 2022 itatoa uamuzi iwapo Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu wana kesi ya kujibu . . .
Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amesema wabunge 19 wa Viti Maalum wa Chadema waliopo bungeni wapo kihalali.Hata hivyo amesema anasubiri michakato halali ndani ya chama chao na ngazi zingine ikith . . .
Kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu imeshindikana kuendelea leo baada ya upande wa Jamhuri kusema shahidi wao wa 13 bado amepumzishwa hospitalini.Kes . . .
Naibu rais William Ruto amemjibu Rais Uhuru Kenyatta baada ya kumtupia mishale ya kisiasa Jumatatu Feburuary 7Akiongea eneo la Magharibi, Ruto amemwambia Rais kuwa hakuna kazi ambayo hufanywa afisini . . .
Xiomara Castro Alhamisi ameapishwa kama rais wa kwanza mwanamke wa Honduras, kwenye hafla iliyohudhuriwa na maelfu ya watu waliokuwa wakipeperusha vibendera vya taifa hilo kwenye uwanja wa kitai . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata keki kama ishara ya kusherehekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa leo tarehe 27 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma . . .
Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa wiki hii kutia saini muswaada wa Marekebisho ya Vyama vya Kisiasa kuwa sheria baada ya bunge la Seneti kuupitisha bila marekebisho kwa kura ya Maseneta 28 dhidi y . . .
MBUNGE wa Viti Maalumu kupitia Kundi la Asasi za Kiraia NGOs Tanzania Bara, Mhe Neema Lugangira kulia akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum D . . .
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM imepitisha jina pekee la Dk Tulia Ackson kuwa mgombea wa kiti cha Spika kilichoachwa wazi na Job Ndugai aliyejiuluzu nafasi hiyo Januari 6, 2022.Akizungumza na waa . . .
Joe Biden: "Itakuwa janga kwa Urusi ikiwa itaivamia zaidi Ukraine"Rais wa Marekani Joe Biden amesema kuwa anafikiria mwenzake wa Urusu Vladimir Putin "ataivamia" Ukraine, lakini hataki "vita kamili".A . . .
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, Patrick Boisafi amedai kuwa kauli aliyoitoa Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, juu ya deni la taifa ni fedheha kwa Rais Samia Suluhu H . . .
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha leo Jumatano Desemba 29, 2021 imeshindwa kutoa uamuzi mdogo katika kesi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita baada ya mawakil . . .
Mbunge wa Kuteuliwa na Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi Humphrey Polepole amekanusha taarifa za kutaka kuhama chama hicho na kuunda chama kipya. Polepole ametoa kauli hiyo alipoulizwa swali enda . . .
Wakati Spika wa Bunge, Job Ndugai akihoji wanaofurahia nchi kukopa na kwamba deni limefika Sh 70 trilioni, Rais Samia Suluhu Hassan amesema ni lazima serikali ikope ili kumaliza miradi ya maendeleo.Ak . . .
Rais wa Tanzania, Samia amesema ni lazima serikali ikope ili kumaliza mradi wa Reli ya Kisasa (SGR).Rais Samia ameyasema hayo leo Desemba 28, 2021 katika hafla ya utiaji saini mkataba wa ujenzi wa SGR . . .
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa 5,704 katika kuadhimisha miaka 60 ya UhuruAkizungumza na wandishi wa habari leo Jumatatu Desemba 27, 2021 Waziri wa Mambo ya Ndani, Ge . . .
"Leo tunashiriki kama wabia kwenye uchimbaji wa rasilimali zetu muhimu na adhimu (mkadini) kwa ajili ya kuliletea maendeleo Taifa letu. Tunapaswa kujipongeza kwa hatua hii."Hatua ya safari hii sikuian . . .
Anaandika Peter Msigwa baada ya Humphrey Polepole kuvamiwa na wasiojulikana nyumbani kwake Dodoma, "Kilichotokea nyumbani kwa polepole hakikubaliki hata kidogo, hawa wote waliohusika wakamatwe na . . .
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Ali Idd Siwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF).Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Mkurugenzi wa Mawasilia . . .
Wakati Tanzania ikiipatia Kenya ndege aina ya Korongo 20 kama zawadi ya Kristimas, Kenya imekubali Faru wa Tanzania waoe Kenya.Ndege 20 waliotolewa kwa Kenya kutaifanya nchi hiyo kuwa na ndege hao 32 . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, na mgeni wake Mhe. Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya wakiwa katika picha yenye waasisi wa Mataifa mawili Tanzania na Kenya Hayati Mwalim Ju . . .
"Wastani wa Pato kwa Mtu kwa Mwaka 1961 lilikuwa Tsh .776 na kwa mwaka jana 2020 ni Tsh milioni 2.6 jambo hili linaongeza hadhi yetu machoni mwa Jumuiya za Kimataifa na kutuondolea unyonge na unyanyap . . .
Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na Mahakama, wamefuta kesi zote za uchochezi zilizokuwa zikimkabili Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu, Dar e . . .
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya (RC), Juma Homera amefuta likizo kwa watumishi wote wa Serikali mkoa huo ambao idara zao zinahusika na ujenzi wa miradi ya miundombinu ya ujenzi wa vyumba vya madarasa  . . .
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imetupilia mbali ombi la kutoa hati ya kukamatwa shahidi wa 10 wa Jamhuri, Francis Mroso baada ya ombi hilo kutokidhi matakwa ya kisheria.Desemba Mosi, 2921 Wakili wa u . . .