Katibu wa Kikosi kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia, Sisty Nyahoza ameainisha vituo vitakavyotumika kutoa maoni kuhusu maeneo tisa yaliyopendekezwa na kikosi kazi hicho.Katika taarifa . . .
Dar es Salaam. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka wanachama wake kuhakikisha wanalinda dola kwa kufanya kazi na kutekeleza Ilani na ahadi zote wakati wa uchaguzi.Kimesema kuwa wananchi ambao ndi . . .
Wapiga kura nchini Ufaransa jana wamempa ushindi Emmanuel Macron wa muhula wa pili madarakani katika uchaguzi wa rais baada ya mpinzani wake wa siasa kali za mrengo wa kushoto Marine Le Pen kushin . . .
Mamilioni ya wapiga kura nchini Ufaransa, wanapiga kura Jumapili hii Aprili 24, kumchagua rais katika duru ya pili ya uchaguzi, unaowakutanisha rais Emmanuel Macron na mwanasiasa wa siasa za mreng . . .
Mbunge wa Mvumi (CCM), Livingstone Lusinde amemshukia Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na watu wanaomsema vibaya Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Magufuli na kumsema vizuri Rais Samia Sul . . .
Mbunge wa Kilindi (CCM), Omary Kigua ameitaka Serikali kutoa vibali vya ajira kwa wateule wa Rais wanaowaondoa watumishi waliowakuta katika taasisi wanazopangiwa kuongoza.Kigua ameyasema hayo leo . . .
Nchini Ufaransa, wagombea wawili kwenye kiti cha urais, rais anayemaliza muda wake Emmanuel Macron na Marine Le Pen wameingia katika wiki ya mwisho ya kampeni kuelekea d . . .
Rais wa zamani wa Ufaransa wa siasa za Kisocialist Francois Hollande Alhamisi ametoa wito kwa wapiga kura kumuunga mkono Emmanuel Macron katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais tarehe 24 Aprili. . . .
Wabunge wa Somalia wamekula kiapo chao kuanza kazi ikiwa ni hatua muhimu kulekea katika uchaguzi wa kiongozi mpya wa taifa hilo, hatua ambayo imekuwa ikicheleweshwa kwa miezi kadhaa iliyogubikwa m . . .
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Zainabu Katimba amehoji juu ya waajiri wasiotoa fursa kwa watumishi wao kufanya kazi wakiwa karibu na wenza wao.Katimba amehoji suala hilo leo Alhamisi Aprili 14, 2022 . . .
Mamlaka nchini Uturuki zimewakamata na kuwashikilia watu 46 wakiwemo maafisa wa zamani wa chama cha kisiasa kinachounga mkono harakati za wakurdi-PKK,ambao wanashukiwa kuwa na mafungamano ya kuwas . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amewasiliana na Umoja wa Afrika (AU) ili kuunga mkono uvamizi wa Urusi na kuomba kulihutubia shirika la bara hilo. Bw Zelensky alimpigia simu Rais wa Senegal . . .
Pakistan leo Jumatatu inapiga kura kumchagua kiongozi wa upinzani Shehbaz Sharif kama waziri mkuu mpya wa nchi hiyo, siku moja baada ya bunge la taifa kupiga kura ya kutokuwa na imani na waziri . . .
Vyama vinane vya kisiasa vimetishia kuondoka katika muungano mpya uliobuniwa karibuni wa Azimio la Umoja One Kenya ambao unaunga mkono urais wa kiongozi wa ODM Raila Odinga.Katika taarifa ya Jumatano, . . .
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Dk Tulia Akson amemwapisha Mbunge wa kuteuliwa, Shamsi Vuai Nahodha kushika wadhifa huo leo Aprili 5 jijini Dodoma.Nahodha ameapishwa kuwa mbunge kufuatia ut . . .
Serikali imewaomba wabunge, wananchi na wadau kushirikiana katika ujenzi wa vituo vya polisi kwa kuwa ina uhitaji wa vituo vya polisi daraja B, 470Wito huo umetolewa leo, Aprili 5, 2022 na Wazi . . .
Wapiga kura nchini Hungary leo wanapiga kura huku wakikabiliwa na kibarua kizito cha kuchagua muungano wa vyama vya upinzani wenye sura ya kimagharibi, au kuendeleza utawala wa waziri mkuu mwenye . . .
Rais wa Tunisia Kais Saied Jumatano amelivunja bunge la nchi hiyo na kusema kwamba wabunge watafunguliwa mashtaka, akijiongezea mamlaka zaidi kwa kipindi cha miezi 8 na kuongeza zaidi mzozo wa k . . .
Nchini Ufaransa, kampeni za kisiasa zimeshika kasi, kuelekea Uchaguzi wa urais uliopangwa kufanyika Aprili 10, wakati huu kura za maoni zikionesha kuwa, rais Emmanuel Macron ana nafasi kubwa . . .
Wakongwe wa vuguvugu la MauMau lililopigania uhuru nchini Kenya, wamemshtaki Naibu Rais wa Kenya William Ruto katika mahakama kuu jijini Nairobi kwa kile wanachokitaja kuwa ni kuasi majukumu ya . . .
Chama kikuu cha upinzani nchini Sudan Kusini Jumanne kimesema kinajiondoa kwenye tume inayofualitia mchakato wa amani nchini humo, ikiwa pigo kwa taifa hilo linalotafuta uthabiti. Chama c . . .
Mtoto mwenye nguvu kiutawala wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni, Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ameelezea kuunga mkono uvamizi wa Urusi nchini Ukraine.Jenerali Kainerugaba - ambaye ni kamanda . . .
Wabunge wa mkoa wa Rukwa wameshauri viongozi kujiepusha na mgongano wa maslahi kwa kutofanya kazi za ukandarasi wa miradi ya barabara ndani ya mkoa huo ili watendaji wapate nafasi ya kusimamia mrad . . .
Mtu mmoja ameuawa na wengine 10 kujeruhiwa katika mapigano kwenye mkutano wa chama cha upinzani huko Kwekwe, katikati mwa Zimbabwe, Jumapili. Wafuasi wa Chama cha Wananchi (CCC) walivamiwa na kund . . .
Mtu mmoja ameuawa na wengine 10 kujeruhiwa katika mapigano kwenye mkutano wa chama cha upinzani huko Kwekwe, katikati mwa Zimbabwe, Jumapili. Wafuasi wa Chama cha Wananchi (CCC) walivamiwa na kund . . .