Pato kwa Mtu kwa Mwaka 1961 lilikuwa Tsh .776

"Wastani wa Pato kwa Mtu kwa Mwaka 1961 lilikuwa Tsh .776 na kwa mwaka jana 2020 ni Tsh milioni 2.6 jambo hili linaongeza hadhi yetu machoni mwa Jumuiya za Kimataifa na kutuondolea unyonge na unyanyapaaa"

"Wakati tunapata Uhuru Wakoloni walituachia kilometa za lami zisizozidi 1360 na sasa mtandao wa barabara za lami zimefikia kilometa 11,186 na kazi inaendelea"

"Kabla ya Uhuru Nchi yetu ilikuwa ina uwezo wa kuzalisha Megawati 17.5 tu za umeme leo tunazalisha Megawati 1909 na tunatarajia kuongeza Megawati 2115 tutakapokamilisha Bwawa la Mwalimu Nyerere" —Rais Samia akilihutubia Taifa Desemba 8 2021.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii