Watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa kiislamu wameua wanajeshi 15 katika eneo la kaskazini mwa Burkina Faso lenye ukosefu wa usalama, siku tatu baada ya shambulio la kushtukiza kuua wanajeshi 51, vyan . . .
Tetemeko la ardhi lenye kipimo cha 6.4 limeua watu watatu Jumatatu na kujeruhi wengine zaidi ya 200 katika baadhi ya maeneo ya Uturuki yaliyoharibiwa wiki mbili zilizopita na tetemeko kubwa lililoua m . . .
Watoto wawili wa familia moja wakazi wa Kitela, mji mdogo wa Makongorosi, Chunya mkoani Mbeya, wamefariki dunia huku watatu wakinusurika baada ya kunywa dawa waliyopewa na mganga wa kienyeji kwa madai . . .
Jeshi la polisi mkoani Kagera limefanikiwa kumkamata kijana Paschal Kaigwa (22) mzaliwa wa Kishogo Bukoba Vijijini, ambaye anatuhumiwa kumbaka na kumuua mke wa mwenyekiti wa mtaa wa National Housing k . . .
Msichana mwenye umri wa miaka 17 ambaye aliripotiwa kufariki baada ya kushambuliwa na wananchi wenye hasira kali kwa madai ya kuiba ndizi katika mji wa Apac, Uganda, amepatikana akiwa hai katika . . .
Monica Patrick (31) Mkazi wa Wilaya ya Itilima Mkoa wa Simiyu amekutwa amefariki dunia kwa kuuwawa na kisha mwili wake kudumbukizwa kandokando ya kichaka kilichopo pembezoni mwa ziwa Victoria katika M . . .
Hapo Januari, Burkina Faso iliipa Ufaransa mwezi mmoja kuondoa vikosi vyake wakati ikimaliza makubaliano ya kijeshi, yaliyoruhusu vikosi vya Ufaransa kupambana na waasi katika himaya yake, ikielezea k . . .
Jeshi la polisi mkoani Iringa linawashikilia wafanyabiashara watatu wa maduka yaliyopo mkabala na ofisi za mamlaka ya mapato TRA ambayo yanajihusisha na vifaa vya maofisini kwa kushirikiana na b . . .
Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki imesema kuwa mataifa 95 yamejitolea kutoa msaada katika kazi ya kusafisha, kuondoa mabaki na kuvunja majengo yanayoonekana kuhatarisha usalama wa watu kurejesha eneo . . .
Serekali ya Somalia Alhamisi imesema wanajeshi wake wanaoungwa mkono na washirika wake wa kimataifa, na wanamgambo wa kikoo wamewaua takriban wanamgambo 350 wa Al Shabab na kujeruhi dazeni zaidi katik . . .
Mhubiri amependekeza kuanzishwa kwa matoleo maalum makanisani ili kutakasa Hazina ya Kitaifa. Pasta Wilfred Lai alikuwa miongoni mwa watumishi wa Mungu walioongoza ibada ya maombi ya taifa katika . . .
Mamlaka za Usalama nchini Chad, zitaanza kuwasikiliza waasi 150 wanaotuhumiwa kusababisha kifo cha Rais Idriss Déby, katika Gereza la Kléssoum, lenye ulinzi mkali, ambao wanashtakiwa kwa ugaidi, kua . . .
Nigeria. Mchungaji wa Kanisa la House on the Rock, Uche Aigbe ametiwa mbaroni na jeshi la polisi nchini humo kwa kosa la kubeba bunduki aina ya AK-47 wakati wa mahubiri ya Jumapili wakati akitoa mahub . . .
Katibu mkuu wa NATO, Jens Stoltenberg anasema matumizi ya mizinga na silaha ya Ukraine katika vita dhidi ya Russia ni makubwa kuliko idadi inayopokea na hivyo umoja huo unahitaji kuongeza uzalishaji i . . .
Mwanaume mmoja kutoka nchini Nigeria, amelitaka kanisa lake kumrudishia pesa zote alizotoa kama fungu la kumi kwa miaka mingi akidai hana hamu tena ya kuingia mbinguni.Kufuatia video yake mitandaoni m . . .
Waokoaji wamefanikiwa kuwapata manusura wengine kutoka kwenye vifusi vya majengo yaliyoporomoka baada ya kutokea tetemeko kubwa la ardhi nchini Uturuki na Syria.Binti mwenye umri wa miaka 10 aliokolew . . .
Idadi ya vifo vilivyotokea baada ya tetemeko la ardhi lililotukia nchini Uturuki na Syria, imeripotiwa kufikia zaidi ya watu 16,000 huku watu 62,937 wakijeruhiwa.Vifo hivyo, vilitokea baada ya maelfu . . .
Mwanasiasa tajiri kutoka nchini Nigeria na mkewe wanakabiliwa na mashtaka nchini Uingereza kwa kupanga njama ya kuvuna figo ya mchuuzi ili kumpandikiza binti yao.Ike Ekweremadu, 60, ambaye ni seneta w . . .
Timu za waokoaji nchini Uturuki na Syria Jumanne ziliendelea kuwatafuta manusura waliofukiwa kwenye vifusi vya majengo yaliyoangushwa na matetemeko makubwa ya ardhi yaliyokumba eneo hilo Jumatatu, na . . .
Dereva mmoja raia wa Rwanda Jumanne alipewa adhabu ya kulipa faini ya faranga milioni moja za Rwanda, sawa na dola 920 kwa kuua bila kukusudia, kufuatia kifo cha mwanahabari mashuhuri ambaye alikuwa m . . .
Kauli ya machifu kudai kuwa hautambui mamlaka imesababisha kuzuka kwa mapigano ya kugombania ardhi na watu 13 kuuawa na wengine 40 kujeruhiwa huko Las Anod, mji ambao unagombaniwa na vikosi vya Somali . . .
Mshika nyoka na muuzaji wa dawa za asili za kujikinga na nyoka mkoani Lindi, Bw Japokuwa Masawila amefariki dunia baada ya kugongwa na nyoka ambaye alidhamiria kumdhibiti.Mshika nyoka huyo ambay . . .
Zaidi ya watu 500 wamefariki baada ya kutokea kwa tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa kipimo cha Richter 7.9, lililoyakumba maeneo kadhaa ya katikati mwa nchi ya Uturuki na kaskazini magharibi mwa nchi . . .
Watu wawili wameuawa huku mmoja akijeruhiwa kwa kuchomwa na kisu maeneo ya Magomeni Kagera, Mtaa wa LudewaInadaiwa kijana Erick aliyekuwa akiishi nyumbani kwa mzazi wake amemuua dada wa kazi (Anna) ba . . .