Mashirika ya kijasusi ya Ukraine yaliripoti wiki hii kwamba yalifichua mpango wa kusafirisha injini za ndege ya kijeshi ya An-74 kutoka Ukraine hadi Iran.wachunguzi wa Ukraine wanadai kwamba Iran imek . . .
Mzee Katembo Mnubi maarufu kama Wajanga mwenye umri wa miaka 81, amefikishwa katika mahakama ya wilaya ya Musoma kwa kosa la kumbaka mtoto wa miaka 11 anayesoma katika moja ya shule ya msingi iliyopo . . .
Mwanajeshi wa Uganda aliyempiga risasi na kumuua Waziri wa Leba, Ajira na Mahusiano ya Viwanda nchini Uganda, Kanali mstaafu Charles Okello Engola ametambuliwa kwa jina la Private Wilson Sabiiti.Taari . . .
Watu zaidi ya 60 wamethibitishwa kufariki Nchi Uganda kutokana na mvua kubwa inayoendelea kushuhudiwa katika eneo la magharibi mwa taifa hilo la Afrika mashariki. . . .
Mwanamke mmoja raia wa Nigeria amejawa na machozi baada ya mchumba wake kufuta harusi yao. Mrembo huyo alianika suala hilo kwenye kundi la Facebook na kuomba ushauri wa wanamtandao Alisema alimte . . .
Mtu mmoja, Jackie Rahm Little (36), anashikiliwa na Polisi wa Minneapolis nchini Marekani, akishukiwa kuwasha moto ulioharibu msikiti jijini humo katika jaribio la kuanzisha vitisho kwa ja . . .
Russia imeanzisha hatua kali sana ili kuboresha nidhamu kwa vikosi vyake nchini Ukraine, kwa mujibu wa wizara ya ulinzi ya Uingereza.Hatua hiyo imefanyika ikiwa kumefanyika mashambulizi kote Ukraine n . . .
Wakazi wa Kijiji cha Salong’we kilichopo wilayani Magu mkoani Mwanza wamekumbwa na taharuki baada ya mtoto aitwaye Mabilika Wilson aliyefariki na kuzikwa tarehe 17 mwezi huu kupatikana akiwa hai kat . . .
Iran hii leo imeikamata meli ya mafuta yenye bendera ya visiwa vya Marshall katika eneo la maji ya kimataifa kwenye Ghuba ya Oman.Iran imeikamata meli ya mafuta yenye bendera ya visiwa vya Marshall ka . . .
Zaidi ya nyumba 50 zimeingia maji katika eneo la Bondeni lililopo Magomeni Makanya kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha katika Jiji la Dar es salaam na kusababisha hofu ya kupata magonjwa ya milipuko . . .
Jumla ya watuhumiwa 132 wamekamatwa na kufikishwa Mahakamani na Jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga ndani ya mwezi mmoja (Machi 22 – Aprili 26, 2023), ikiwa ni kati ya kesi 129 zilizoripotiwa na . . .
Mchungaji wa Kanisa la New Life International Church, Ezekiel Odero lililopo kwenye eneo la Mavueni katika Kaunti ya Kilifi nchini Kenya amekamatwa. Kukamatwa kwake kumekuja siku moja baada ya ku . . .
Jeshi la Polisi nchini Kenya limemkamata Mchungaji mashuhuri nchini humo, Ezekiel Ombok Odero wa kanisa la New Life Prayer Centre lililopo mtaa wa Mavueni mjini Kilifi kwa tuhuma za mauaji. Ofisi ya D . . .
Kisa cha Betty Ajenta Charles (pichani), kinasikitisha na kutafakarisha sana. Mwili wake umefukuliwa baada ya kufunga mpaka kufa katika sakata linaloendelea nchini Kenya la Mchungaji Paul McKenzie amb . . .
Mwanamke mmoja aliyefunga safari kutoka Bungoma kuelekea Mombasa kutafuta maombi, alifariki dunia akiwa ndani ya basi. Kwa mujibu wa ripoti ya polisi ya kituo cha Polisi cha Central, dereva wa ba . . .
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Mlowo Wilayani Mbozi Mkoani Songwe, Meshack Mwambogolo amekutwa amejinyonga katika msitu uliopo kitongoji cha Iyenga Kijiji cha Shaji Kata ya Mlangali b . . .
Jeshi la Polisi nchini Kenya wamefukua miili ya watu 21 ambao ni waumini wa kanisa la News International Church, ambao inadaiwa wamefariki dunia kwa njaa baada ya kufuata maelekezo ya mchungaji wao ya . . .
Kikosi maalumu cha Polisi nchini Uganda Flying Squad kinachunguza wizi uliofanyika kwenye mashine za kutoa na kuweka pesa (ATMs) katika vitongoji vinne vya Jiji la Kampala na matokeo yake sh bilioni m . . .
Mchungaji Nurdin Abdallah ambae ni muinjilisti wa vitabu amehukumiwa kifungo cha miaka 30 gerezani baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka kwa nyakati tofauti binti yake mwenye umri wa miaka 6.Akitoa huk . . .
Mke wa Askari Polisi wilayani Kiteto aitwaye Nurya Mkondya, pamoja na mtoto wake Joas Oscar (2) wamefariki dunia usiku wa kuamkia leo Aprili 21, 2023, baada ya kutokea kwa shoti ya umeme chumbani iliy . . .
Takriban Watu 78 wameuawa kufuatia mkanyagano katika shule moja iliyopo mji mkuu wa Yemen Sanaa, wakati wa hafla ya kusambaza misaada kwa ajili ya ramadhani.Tukio hilo limetokea katika Jiji la K . . .
Mitaa ya mji mkuu wa Sudan Khartoum imejaa miili ya watu waliouawa katika mapigano yanayoendelea kati ya jeshi la Sudan na vikosi vya Rapid Support Forces (RSF) huku maiti hizo zikitoa harufu mbaya.Wa . . .
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kuzua taharuki kubwa, mtoto Amri Hamis mwenye umri wa mwezi mmoja amefariki dunia na maiti yake kugeuka kuwa jiwe katika mtaa wa Mgaranjabo kata ya Buhare Man . . .
Msiba ulitokea kwenye hafla ya mazishi katika eneo la Mukumu, kaunti ya Kakamega, baada ya mwanafunzi mwenye umri wa miaka 11 kwa jina Benta kufariki kwenye mazishi ya baba yake. Jamaa wa familia . . .