Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kuzua taharuki kubwa, mtoto Amri Hamis mwenye umri wa mwezi mmoja amefariki dunia na maiti yake kugeuka kuwa jiwe katika mtaa wa Mgaranjabo kata ya Buhare Manispaa ya Musoma mkoani Mara.
Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii
Follow Us
Subscribe