Maporomoko ya udongo na mafuriko yasababisha maafa

Watu zaidi ya 60 wamethibitishwa kufariki Nchi Uganda  kutokana na mvua kubwa inayoendelea kushuhudiwa katika eneo la magharibi mwa taifa hilo la Afrika mashariki.



Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii