Jamaa Afuta Harusi Yake Baada ya Mchumba Wake Kumpelekea 'EX' Wake

Mwanamke mmoja raia wa Nigeria amejawa na machozi baada ya mchumba wake kufuta harusi yao. 


Mrembo huyo alianika suala hilo kwenye kundi la Facebook na kuomba ushauri wa wanamtandao Alisema alimtembelea tu mpenzi wake wa zamani ili kumpa kadi ya mwaliko kwenye harusi yake, lakini aliishia kurusha roho na jamaa huyo .

Kwa bahati mbaya, mume wake mtarajiwa aligundua kuhusu uzinzi wake baada ya kudukua simu yake. 


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii