Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guteress yuko nchini Irak leo kwa mazungumzo na maafisa waandamizi nchini humo baada ya mzozo wa kisiasa kuikumba nchi hiyo.Ziara hiyo ya Guterres ambayo ni yak . . .
Serikali ya Urusi ipo katika hatua ya kuwapiga marufuku maafisa wake kutumia maneno ya kigeni wakati wa kutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria iliyorekebishwa juu ya matumizi rasmi ya lugha ya K . . .
Majeruhi pekee wa ajali ya mwendokasi aliyekua amesalia Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI), ametambuliwa na ndugu zake akiwemo mkewe Isha Mohamed ambaye amekiri kumtafuta mumewe kwa siku 6.Video za CCT . . .
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Said Ally Mohamed kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania, kabla ya uteuzi huu Dkt. Mohamed alikuwa ni Mkurugenzi wa Huduma za U . . .
Maelfu ya walowezi wa Israel wamevamia eneo la kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi Jumapili jioni na kuchoma moto magari na nyumba baada ya walowezi wawili kuuawa na mshambuliaji wa Kipalestina.Maafisa . . .
Rais Samia Suluhu amemteua Hamad Abdallah kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) akichukua nafasi ya Nehemiah Mchechu ambaye ameteuliwa kuwa Msajili wa Hazina.Kabla ya uteuzi huo, Ab . . .
KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Ukusanyaji Ushuru ya Kenya (KRA) Bw Githii Mburu, alijiuzulu jana, mwaka mmoja kabla ya muhula wake kukamilika. Bodi ya KRA ilisema kwamba Bw Mburu alijiuzulu kushughulika . . .
Kampuni ya Boeing imesitisha uwasilishaji wa ndege aina ya 787 Dreamliner kwa wateja wake huku ikiendelea kufanya ukaguzi zaidi kwa bodi ya ndege hiyo, Mamlaka ya Anga ya Marekani(FAA) imesema Alhamis . . .
Mwili wa Rais wa zamani wa Burkina Faso, Thomas Sankara na wasaidizi wake 12 waliouawa Oktoba 15, 1987 wakati wa jaribio la mapinduzi ya kijeshi, wamezikwa mahali walipouawa mjini Ouagadougou.Katika M . . .
Mahakama ya Rwanda Jumatano ilimuachilia huru muhadhiri maarufu wa Chuo kikuu ambaye ni mpinzani wa serikali aliyezuiliwa jela kwa miezi 17 kwa madai ya ubakaji.Christopher Kayumba alikamatwa mwezi Se . . .
Wanafunzi watakaofuzu kujiunga na kidato cha tano (A-Level), sasa watatakiwa kusoma kwa hadi miaka mitano, iwapo serikali itaidhinisha huo mpya wa kidato cha nne na cha sita kuanzia sasa nchini Uganda . . .
Mgogoro wa ardhi uliodumu kwa miaka 40 ambao unawahusisha wakulima na wafugaji katika vitalu vinne vilivyoko katika kijiji cha Kashanda kata Nyakahanga wilayani Karagwe, hatimaye umetatuliwa na Mkuu w . . .
Polisi Mkoani Iringa, inawashikilia Wafanyakazi wawili wa Mamlaka ya Mapato Tanzania – TRA, Upendo Msigwa (32) na Chali Chaliga (28) kwa tuhuma za kutoa leseni bila kufuata taratibu.Akithibitisha ku . . .
Takribani Wajawazito 356,000 walionusurika katika matetemeko ya ardhi lililopoteza maisha ya watu zaidi ya 5,900 nchini Uturuki na Syria wanahitaji kupata huduma za afya ya uzazi kwa dharura huku weng . . .
Kasisi George Olusanya Omoolorun, wa Kanisa la Christ Apostolic Church (CAC) Oke Idahun, Oba-Ile, Akure, amefariki katika mazingira ya utata akiwa mawindoni, baada ya kumpiga risasi mnyama aina ya Kul . . .
Waokoaji nchini Uturuki wamefanikiwa kumtoa kijana mdogo akiwa hai kutoka kwenye vifusi vya jengo lililoporomoka ikiwa ni siku 11 baada ya tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.8 kwa kipimo cha rikta li . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika katika Jengo la Usalama na Amani la Julius Nyerere lil . . .
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-Un ametoa katazo kwa familia na watu wengine wa Taifa lake kwamba hakuna ambaye anaruhusiwa kuwa na Jina kama la binti yake Ju Ae (Kim Ju-Ae) mwenye umri wa miaka . . .
Mwenyekiti wa Chama Cha CUF Tanzania, Ibrahim Lipumba amepata ajali mbaya ya gari akiwa mkoani Lindi Katika harakati za kisiasa.Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo leo Februari 16 Mkurugenzi wa Habar . . .
RAIS William Ruto ametangaza rasmi kuwa wazi nafasi za mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) na makamisha watano. Alitoa tangazo hilo kupitia taarifa iliyochapishwa katika toleo maalum . . .
Balozi wa Tanzania Nchini Malawi Humfrey Polepole amewahimiza watanzania kuchangamkia fursa mbalimbali za kibiashara zilizopo nchini Malawi, huku akiahidi Ubalozi huo utaendelea kuwasaidia kupata maso . . .
Wazee Mkoani Lindi wameitaka Serikali kupitisha sheria ya mzazi kumshtaki mtoto wake endapo atamtelekeza bila kumpatia msaada wowote huku wakisema katika nyakati hizi za uzee wanahitaji usimamizi na m . . .
Wakati wa Ethiopia wakiachana na kipindi cha miaka miwili ya mgogoro, utafiti mpya wa Gallup unatoa picha kamili ya namna watu wanavyo taabika kiuchumi na msongo wa mawazo. Utafiti umefanyika m . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kushuhudia utiaji saini wa Mikataba 26 ya Gridi Imara yenye thamani ya Shilingi T . . .
Wabunge wawili wanaomuunga mkono mwanamuziki maarufu wa Uganda ambaye baadaye aliingia katika siasa Bobi Wine, ambaye pia ni mpinzani mkuu wa rais Yoweri Museveni, wameachiwa kwa dhamana Jumatat . . .
Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis ametaja leo kuwa na huzuni na wasiwasi kufuatia taarifa za Askofu Roland Alvarez kuhukumiwa kifungo cha miaka 26 jela huko Nicaragua.Askofu Alvare . . .
Wakati laini za simu ambazo hazijahakikiwa zikizimwa leo Jumatatu Februari 13, 2023 na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), asilimia 96.8 ya laini zote za simu zilizosajiliwa kwa alama ya vidole zi . . .
Katika kusaidia juhudi za maafa baada ya tetemeko kubwa la ardhi ambalo limesababisha vifo vya watu zaidi ya 3,000, na maelfu kadhaa kujeruhiwa, nchi ya Sudan imetuma timu ya watu 40 ya utafutaji na u . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaapisha Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Skauti Mkuu, Rashid Kassim Mchatta katika hafla iliyofanyika Ikulu Ch . . .
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali itamchukulia hatua mzazi au mtu yeyote atakayemzuia mwanafunzi kupata haki yake ya elimu, na kuwataka wazazi wote wenye wanafunzi waliofaulu kujiunga na k . . .