Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki - IAEA, Rafael Grossi, atakwenda Iran siku ya Jumamosi kufanya mikutano na maafisa waandamizi wa Iran. Msemaji wa shirika hilo la Umoja wa Mataif . . .
Nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa zimekubaliana kuunda mkataba wa kisheria utakaoshughulikia uchafuzi wa mazingira kutokana na taka za plastiki baharini, mitoni na ardhini. Baraza la mazingira la . . .
Wanajeshi wa Urusi wameingia leo katikati ya mji wa bandari wa Kherson nchini Ukraine, siku moja baada ya madai yanayokinzana kuhusu kama Moscow imeukamata mji wowote mkubwa nchini humo kwa mara y . . .
Rais wa Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa(UNHRC), Balozi Federico Villegas alitangaza uteuzi wa watu watatu kuchunguza na kutoa taarifa kuhusu mzozo wa Tigray, Ethiopia.Katika taarifa J . . .
Mahakama kuu ya Migori imewahukumu raia wawili wa Tanzania kifungo cha miaka 35 kila mmoja kwa kosa la mauaji ya mwajiri wao.Marwa Magige Kieusi na Makonge Wangwi Maseti wote walipatikana na hatia ya . . .
Wakati majeshi ya Russia yakiendelea kushambulia miji nchini Ukraine, baadhi ya Watanzania wanaoishi nchini humo wameeleza machungu ya vita hivyo wasijue hatima yao.Tayari Serikali ya Tanzania ime . . .
Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi amewafuta kazi mawaziri sita akiwemo waziri wa fedha.Tangazo hilo lilitolewa katika taarifa ambayo haikutoa sababu zozote za kufukuzwa kazi kwa mawaziri hao wala kuto . . .
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ridhiwani Kikwete ametaka kuheshimiwa kwa mipaka ya ardhi baina ya kijiji na kijiji ili kuepuka migogoro.Alisema, mipaka ya vijiji imewekwa . . .
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepiga kura kwa wingi ya kuunga mkono azimio la kuitaka Urusi kusimamisha mara moja mashambulizi nchini Ukraine na kuyaondoa majeshi yake yote, Mataifa 141 yameung . . .
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amefungua Onesho la Mchango wa Wanawake katika Sekta ya Utalii nchini lililofanyika leo kwenye kijiji cha Makumbusho jijini Dar es Salaa . . .
Mhadhiri wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Adam Semlambo ameingia matatani, akihusishwa na rushwa ya ngono ambapo uongozi wa chuo hicho, umemsimamisha kazi kuanzia jana, machi 2, 2022 kupisha uchu . . .
Mwanaume wa DR Congo aliyetambulika kwa jina Luwizo ndiye ameingia kwenye rekodi ya mfalme Solomoni hivi punde.Luwizo, mwanamume mwenye wake wengi kutoka Kalehe, Kivu Kusini, DR Congo, hivi majuzi ali . . .
Fatma Abou ni mwanafunzi anayesomea udakitari nchini Ukraine. Huu ulikuwa mwaka wake wa sita na wa mwisho kabla kumaliza masomo na kuhitimu kama dakitari. Lakini mashambulizi nchini humo yali . . .
Halmashauri ya mji wa Geita imeiomba Jumuiya ya Serikali za Mitaa nchini (ALAT) kupeleka kilio chao kwa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) ili warudishiwe gari lao la ki . . .
Wizara ya Nishati na kampuni ya DP World ya Dubai zimesaini hati ya makubaliano ya ushirikiano katika kuendeleza miundombinu ya kupokea na kuhifadhia mafuta na gesi itakayojengwa nchini Tanzania . . .
Wazazi na walezi wa Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara wametakiwa kuzingatia lishe bora kwa watoto wao ili kuboresha ustawi wao pamoja na kuongeza ufaulu shuleni kupitia upatikanaji wa chakula kat . . .
Wanafunzi Waafrika wanaosoma nchini Ukraine wamedai kuwa wanabaguliwa na vikosi vya usalama wanapokuwa katika harakati za kuikimbia nchi hiyo kuelekea nchini Poland.Mmoja wa wanafunzi hao wa Afrik . . .
Aliyekuwa kiranja mkuu wa Orient Academy Group of School, Boji-Boji, Stephanie Ebere Odili amefunga pingu za maisha na mwalimu wake wa zamani wa shule ya upili, Sammy Anslem Chuks.Mapenzi Kipofu: Mwal . . .
Familia ya Joseph Ochieng almaarufu Obude ambaye alitekwa nyara na kisha mwili wake ukapatikana katika makafani moja mjini Nyeri, inalalamikia kujivuta kwa upelelezi wa mauaji ya mtoto wao.Ochieng, mw . . .
Siku ya tano baada ya majeshi ya Urusi kuingia Ukraine, wajumbe kutoka nchi hizo mbili wameanza mazungumzo yenye lengo la kumaliza vita. Ofisi ya rais wa Ukraine inasema inataka kusitishwa ma . . .
Makadirio ya ukomo wa umri wa kuishi kwa Watanzania yameongezeka kutoka miaka 67 na miezi mitatu mwaka huu hadi kufikia ukomo wa miaka 74 ifikapo 2035, ikiwa ni ongezeko la miaka saba na miezi miw . . .
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe limemuagiza Mkurugenzi na menejimenti ya Halmashauri hiyo kupeleka taarifa ya mapato na matumizi ya Julai hadi Desemba 2021 baada ya kutor . . .
Balozi wa Tanzania nchini Italia Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amekutana na kufanya mkutano na wadau wa NGO’s takribani sitini na nne zinazofanya shughuli zake nchini Tanzania mwishoni mwa wiki Ji . . .
WAZIRI Mkuu wa India Narendra Modi amejitolea kuisaidia Ukraine katika juhudi za kuleta amani, Modi ameyasema haya wakati wa mazungumzo kwa njia ya simu na Rais wa Ukraije Volodymyr Zelens . . .
Watu saba wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi katika maoneo tofauti katika wilaya zaNkasi na Sumbawanga mkoani Rukwa.Akizungumza na Jembe FM leo 27, Ofisa Mtendaji wa Kata ya Nkandasi, Given . . .
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo ametoa siku 14 kwa Uongozi kwa Wilaya ya Kinondoni kuhakikisha wanatatua tatizo la mfumo wa majitaka katika Mtaa wa . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia Diana Edward Bundala maarufu Mfalme Zumaridi kwa kosa la usafirishaji haramu wa Binadamu na Unyonyaji. Akizungumza na waandishi wa habari Mkoani . . .
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia wakimbizi, UNHCR, limesema takriban watu laki moja na nusu wamekimbia kutoka Ukraine kuingia katika mataifa jirani kutafuta usalama wakati Urusi ikish . . .
Mamlaka ya Nigeria inasema kuwa imekamata tani 120 za ngozi za wanyama zilizoagizwa kutoka nje katika jiji la Lagos.Zilinaswa kwa tuhuma kwamba tayari zilikuwa zimechakatwa na kemikali kwa ajili ya . . .
Mtengeneza filamu wa Kikorea Yonghi Yang alikulia Japani miaka ya 1960, kama sehemu ya jamii kubwa ya wahamiaji kutoka nchi yake ya kuzaliwa ambayo ilikuwa na makazi katika jiji la Osaka.Wakiwa . . .