Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia Abdilah Yassin mkazi wa Kihonda Manispaa ya Morogoro mpigadebe katika kituo kikuu cha mabasi cha Msamvu mkoani Morogoro kwa kusababisha mauaji kwa . . .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo Machi 29, 2022 ameshiriki ufunguzi wa Jukwaa la 8 la Wakuu wa Nchi na Serikali Duniani linalofanyika Dubai, Umoja wa Falm . . .
Jeshi la Polisi Tanzania, limemrudisha makao makuu ya jeshi hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Wankyo Nyigesa kupisha uchunguzi kutokana na matamshi aliyoyatoa Machi 26, 2022 katika sherehe za . . .
Familia moja jijini Nairobi inasherehekea baada ya watoto wao mapacha ambao hawajawahi kufungamana darasani kuvunja rekodi katika Mtihani wa Kitaifa wa Darasa la Nane(KCPE).Pacha hao wasiofanana, Bett . . .
Rais wa Tunisia, Kais Saied ameonya kuhusu majaribio ya kufanya vikao vya bunge ambalo limesimamishwa. Akizungumza jana usiku Saied amesema vikosi na tasisi vitaendelea kupambana na wale wanaojari . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky Jumatatu ameyataka mataifa ya magharibi kuiwekea haraka vikwazo vikali Russia, ikiwemo marufuku ya kuuza mafuta, ili kuizuia Moscow kuongeza bila pingamizi har . . .
Mahakama nchini Kenya Jumatatu imewaachilia huru waendesha boda boda 16 waliokamatwa kutokana na shambulio baya dhidi ya mwanadiplomasia wa kike, baada ya serikali kushindwa kutoa ushahidi wowot . . .
Serikali ya Taliban imeamuru mashirika ya ndege nchini Afghanistan kuwazuia wanawake kupanda ndege bila kuongozana na jamaa yeyote wa kiume. Maafisa wa anga wa Taliban wamealiambia shirika . . .
MWIGIZAJI maarufu wa Holywood, Will Smith (53), usiku wa jana alifanya tukio lisilo la kawaida, baada ya kumzaba MC wa Tuzo za Oscar, Chris Rock katika tuzo hizo zilizokuwa zinafanyika katika Ukum . . .
Mazungumzo ya amani nchini Jamuhuri ya Afrika ya kati ambapo vita vya wenyewe kwa wenyewe vilipamba moto tangu mwaka wa 2013, yamemalizika Jumapili bila kupiga hatua madhubuti. Mazungumzo . . .
Iraq imejenga ukuta kwenye mpaka wake na Syria ili kuzuia wanajihadi wa kundi la Islamic state kujipenyeza, chanzo cha jeshi la Iraq kimesema Jumapili.Katika hatua ya kwanza ya ujenzi, ukuta wa . . .
Watu saba wamefariki dunia na wengine nane wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha Lori ya saa moja na nusu jioni kugonga pikipiki ya matairi matatu (Bajaji) jana Jumapili March 27, 2022 kati . . .
Profesa wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Honest Ngowi amefariki dunia leo Jumatatu Machi 28, 2022 kwa ajali ya gari iliyohusisha lori na gari ndogo alilokuwa anasafiria kwenda mkoani Morogoro.Kamanda wa . . .
Chama cha Social Democratic, SPD kimetangazwa mshindi katika uchaguzi wa jimbo la magharibi mwa Ujerumani, Saarland. Kwa mujibu wa takwimu zilizochapishwa na vituo vya utangazaji vya ARD na ZDF, c . . .
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ameonya dhidi ya kuongezeka kwa mvutano wa maneno na Urusi, baada ya Rais wa Marekani, Joe Biden kumuelezea Rais wa Urusi, Vladmir Putin kama "mchinjaji". Macron . . .
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amezishutumu nchi za Magharibi kwa woga, wakati ambapo nchi yake inapambana kuzuia uvamizi wa Urusi. Akilihutubia taifa jana usiku baada ya Rais wa Marekani, Jo . . .
Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameshiriki Mkutano wa Kimataifa Doha Forum kuhusu masuala ya Maendeleo. Mkutano huo unaofanyika kila Mwaka umes . . .
Mtandao wa kijamii wa twitter Jumapili Machi 27 asubuhi uliwaka moto baada ya ripoti za mazungumzo ya Rais Uhuru Kenyatta na wazee kutoka Mt Kenya.Rais alifanya kikao hicho Jumamosi Machi 26 na jarida . . .
Raia wa Zimbabwe wamepiga kura jana Jumamosi katika uchaguzi muhimu wa bunge na manispaa, unaoonekana kuwa ni kipimo kwa chama tawala cha Rais Emmerson Mnangangwa kuelekea uchaguzi mkuu hapo mwaka . . .
Kauli ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba ya kutaka Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) kuelekeza dola 1.3 bilioni za Asasi za Kiraia kwenda kwenye miradi ya kipaum . . .
Serikali imelitaka kundi la wanawake kuwa mstari wa mbele kuongoza jamii kujitokeza kwenye zoezi la Sensa ya Watu na Makazi ya 2022, ambapo kufanya hivyo kutaiwezesha Serikali kuwa na takwimu sahi . . .
Rais wa Marekani Joe Biden amesema rais wa Urusi Vladimir Putin hawezi kusalia mamlakani baada ya kuivamia Ukraine huku akiyaonya majeshi Urusi kutojaribu kusogeleea eneo la jumuiya ya kujihami ya . . .
Afisa wa polisi aliyetwikwa jukumu la kulinda kituo cha mitihani katika kaunti ya Machakos alikamatwa Jumatano, Machi 23, baada ya kutoka katika eneo lake na kuanza ulevi.Afisa wa polisi wa Utawala Ra . . .
Majaji watano wa Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ) leo Ijumaa Machi 25, 2022 wanatarajia kutoa uamuzi wa kesi namba 3 ya mwaka 2019 iliyofunguliwa na vyama vitano vya siasa na kesi namba 4 ya mw . . .
Kansela Olaf Scholz wa Ujerumani amesema taifa lake litaunga mkono utoaji wa misaada ya kiutu kwa Ukraine na mataifa jirani kwa kutoa nyongeza ya Euro milioni 370, kadhalika nyongeza ya Euro 430 k . . .
Katika taarifa yake ya sasa Ikulu ya Marekani imesema Rais Joe Biden leo hii atatembelea mji wa Poland ambao uko karibu na mpaka na Ukraine, kwa lengo la kuonesha mshikamano na Ukraine dhidi ya uv . . .
Wabunge wa Kenya waliohama vyama vyao vya kisiasa vilivyowapeleka bungeni wamepata afueni baada ya spika wa bunge la kitaifa Justin Muturi kuamuru kuwa hatatangaza wazi viti hivyo, licha ya sher . . .
erikali ya Ethiopia siku ya Alhamis ilitangaza haraka sitisho la mapigano la upande mmoja katika mzozo wake na waasi wa Tigray ili kuruhusu misaada ya kibinadamu kuingia katika jimbo la kaskazini . . .
Vyombo vya habari vya serikali vilimuonyesha Kim, akiwa amevalia koti la ngozi, akichungulia nje ya dirisha la jengo la uchunguzi wakati kombora hilo likinyanyuliwa na kutoka kwenye bomba la mot . . .
"Jina langu ni Elizabeth Amoaa - ni mwanamke mwenye viungo viwili vya uzazi, nina sehemu mbili za uke yaani via vya uzazi viwili," Mghana mwenye umri wa miaka 38.Sauti yake ikiwa na huzuni wakat . . .