logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
afrika mashariki
  • Na Jembe Digital
  • June 23, 2025

Wanajeshi 7 Uganda kikosi cha UN wauawa Somalia

Takriban wanajeshi saba wa Uganda wameuawa nchini Somalia. Hayo yameelezwa na msemaji wa jeshi la nchi hiyo ya Afrika Mashariki Felix Kulayi . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 23, 2025

Iran imelaani vikali hatua ya Marekani imevuka "mstari mwekundu"

Iran imelaani vikali hatua ya Marekani na kusema imevuka "mstari mwekundu" kwa kushambulia siku ya Jumapili vinu vyake vitatu vya nyuklia vy . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 23, 2025

Waliozaa na waume za watu kata ya Pugu wazua gumzo

TIMU ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia wilayani Ilala imebaini katika Kata ya Pugu baadhi ya wanawake wanazaa na waume za watu . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 23, 2025

Mtikisiko majimboni

IKIWA imebaki miezi minne kabla ya kufanyika Uchaguzi Mkuu, Oktoba mwaka huu hekaheka na sarakasi za watia nia zimeshika kasi ndani ya Chama . . .

Makala
  • Na Asha Business
  • June 22, 2025

Namna ya kumsaidia mtoto kujenga urafiki na kudumu

MWANAO anapopata rafiki mpya shuleni, rafiki huyu mdogo anaweza kuwa zaidi ya mshirika wa kucheza naye tu.Urafiki huu wa mapema unaweza kubo . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 22, 2025

CHADEMA bado wanayo nafasi kutia saini kanuni za maadili

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeelezwa kuwa bado kina nafasi ya kutia saini kanuni za maadili ya uchaguzi ili kipate fursa y . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 22, 2025

Iran Yatoa Onyo Kufuatia Mashambulizi ya Marekani Kwenye Vituo vya Nyuklia

Serikali ya Iran imelaani vikali mashambulizi ya anga yaliyofanywa na Marekani dhidi ya vituo vyake vya nyuklia, ikiyataja kuwa ya kikatili . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • June 21, 2025

Mgombea urais TFF aomba uchaguzi kusimamishwa

MGOMBEA urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Shija Richard anatarajia kuwasilisha barua rasmi Baraza la Michezo la Taifa (B . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 21, 2025

Tanzania kufanya jitihada za kuwarejesha nyumbani watanzania walioko Iran, Israel

SERIKALI imesema inafanya jitihada za kuwarejesha nyumbani Watanzania wote waliopo Israel na Iran ili kuwaepusha na mashambulio yanayoendele . . .

Elimu
  • Na Jembe Digital
  • June 21, 2025

Majaliwa azitaka taasisi za elimu kuimarishe ubora wa elimu kwa ajira bora

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • June 21, 2025

Bodi ya Ithibati yasajili Wanahabari 1,200

WAANDISHI 1,200 wamejisajili kwenye mfumo wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) mpaka jana.Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa JAB, Wakili P . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 21, 2025

Maelfu ya Wairan waandamana kuipinga Israel

Maelfu ya watu katika mji mkuu wa Iran, Tehran wameandamana kuipinga Israel baada ya sala ya ijumaa huku waandamaji hao wameto Kuli za kuwau . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • June 21, 2025

Wanaodaiwa na MSD watakiwa kulipa madeni

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Dkt. Benedicto Ngaiza, amewataka wataalamu wa sekta ya afya ea mikoani ya Mtwara, Lindi na Wilaya ya Tunduru k . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 21, 2025

Israel yafanya vizuri kwenye Vita kuliko Iran

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa kwasasa Israel inafanya vizuri katika masuala ya vita ukilinganisha na Iran ambayo inafanya vizur . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • June 20, 2025

Mradi wa maji Butimba jijini Mwanza wazinduliwa rasmi leo juni 20

Rais Samia Suluhu Hassan amezindua Mradi wa Maji na kituo cha kutibu maji Butimba jijini Mwanza. Samia amezindua mradi huo  Juni 20, 2 . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 20, 2025

Rais Samia asisitiza umuhimu na jitihada za kuhifadhi mazingira Ziwa Victoria

Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza jitihada za kuhifadhi mazingira ziendelee kufanyika kikamilifu kwa kushirikiana na sekta zote nchini na kw . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • June 20, 2025

MSD yataja hatua za uwekezaji na uzalishaji wa bidhaa za ndani

Bohari ya Dawa (MSD) imesema uwekezaji katika uzalishaji wa bidhaa za afya ndani ya nchi unahitaji kuimarishwa ili viwanda vizalishe zaidi, . . .

afrika mashariki
  • Na Jembe Digital
  • June 20, 2025

Rwanda na DRC wameafikiana makubaliano ya awali ya amani

Hatua mpya ya amani yaanza kuchomoza Mashariki mwa Kongo, huku Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo zikitia saini makubaliano ya awali . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 20, 2025

Wanauchumi wafafanua kuhusiana na athari za mgogoro wa Israel na Iran

WACHAMBUZI wa masuala ya uchumi wamesema mgogoro kati ya Israel na Iran unaoendelea unaweza kuleta athari za kuongezeka kwa mfumiko wa bei z . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 20, 2025

Niger yataifisha hisa za kampuni ya Uranium ya Ufaransa

Serikali kijeshi ya Niger, imetangaza mipango ya kuitaifisha kampuni ya Orano, inayomilikiwa na serikali ya UfaransaKampuni hiyo inamiliki a . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • June 20, 2025

Mkazi wa Kimara aeleza jinsi Vicoba ‘ilivyouza’ nyumba yake kimakosa

MKAZI wa Kimara Sara Mtoka ameeleza namna kikundi cha kukopeshana fedha cha wanawake (VICOBA) kilivyosababisha nyumba yake kuuzwa kimakosa.M . . .

Kilimo
  • Na Jembe Digital
  • June 20, 2025

Serikali kugeuza mafuriko ya maji kuwa fursa kwa wananchi wakati wa kiangazi

SERIKALI imeanzisha programu ya kugeuza maji ya mafuriko kuwa fursa kwa wananchi ya kuimarisha ustawi wa wananchi kupitia kilimo cha umwagil . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 20, 2025

Mchina jera miaka 30 kwa kubaka wanawake 10

Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamivu (PhD) kutoka China aliyeelezwa na polisi kuwa mmoja wa wanyanyasaji wa kijinsia wa kutisha zaidi nchini Uin . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • June 20, 2025

Washitakiwa kesi ya Ugaidi hoteli ya DusitD2 waenda jera miaka 30

Mahakama ya Kahawa Nairobi nchini Kenya imewahukumu Hussein Abdille na Mohamed Abdi Ali, waandaaji wa shambulio la hoteli ya DusitD2, kifung . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 20, 2025

Umoja wa Ulaya kukutana mezani leo na Iran

Mawaziri wa Ulaya wanatarajia kukutana leo kuishawishi Iran irudi kwenye meza ya mazungumzo Mawaziri hao wa Mambo ya nje watakutana na mwenz . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • June 19, 2025

Marekani yaidhinisha dawa ya kuzuia VVU

Taasisi ya kudhibiti dawa ya Marekani imeidhinisha dawa mpya ya kuzuia virusi vya Ukimwi.Dawa hiyo inayofanya kazi kwa muda mrefu, Lenacapav . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • June 19, 2025

Askari waliomfyatulia risasa muuza barakoa Kenya

Maafisa wawili wa polisi waliomshambulia na mmoja wao kumfyatulia risasi kijana aliyekuwa anauza barakoa siku ya maandamano ya kupinga mauaj . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 19, 2025

Africa yaanza kuondoa raia wake Iran

Nchi kadhaa za Kiafrika zinafanya mipango ya kuwarudisha raia wao nyumbani kwa hofu kwamba wanaweza kukwama katika mzozo wa vita baina ya Is . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 19, 2025

Xi Jinping amwambia Vladimir Putin kusitisha mapigano ni 'kipaumbele kisichozuilika

Kiongozi wa China Xi Jinping amemwambia mwenzake wa Urusi Vladimir Putin kwamba usitishaji mapigano katika vita vya Iran na Israeli ni "kipa . . .

Top Story
  • Na Jembe Digital
  • June 19, 2025

Rais wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania Dkt, Samia Suluhu Hassan, azindua rasmi daraja la JP Magufuli Jijini Mwanza

Rais Samia Suluhu Hassan leo, Alhamisi Juni 19, 2025 amezindua Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) jijini Mwanza lenye urefu wa kilometa . . .

Uwekezaji
  • Na Jembe Digital
  • June 19, 2025

Wafungwa 73 wamemaliza mafunzo ya ufundi stadi

WAFUNGWA 73 kutoka magereza mbalimbali nchini wamehitimu mafunzo ya ufundi stadi katika fani mbalimbali Chuo cha Magereza Ruanda jijini Mbey . . .

Kilimo
  • Na Jembe Digital
  • June 19, 2025

Marobota ya Pamba yanayonunuliwa ndani ya nchi kutotozwa VAT

SERIKALI imesema marobota yote ya pamba yatakayonunuliwa kutoka kwa wakulima na kuuzwa ndani ya nchi hayatatozwa kodi ya Ongezeko la Thamani . . .

Uwekezaji
  • Na Jembe Digital
  • June 19, 2025

Tanesco yawakumbusha wateja madeni na malipo ya bill kabla na baada

 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewataka wateja wao kulipa madeni ya malipo ya kabla na baada ili kuboresha huduma ya umeme iwez . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 19, 2025

Samia kuacha maagizo mazito wilayani Simiyu

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema ujio wa shule za amali pamoja na ufundi zenye michepuo ya ufundi, kilimo, muziki na fani mbalimbali unakwen . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 19, 2025

Uchaguzi mkuu kutowatumia watoto isipokuwa tunakuja wenyewe

Kada wa Chama cha ACT-Wazalendo, Sheikh Ponda Issa Ponda, amesema katika uchaguzi wa mwaka huu hawamtumi mtoto, badala yake wanaenda wenyewe . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 19, 2025

Vijana wajitokeza uzinduzi wa daraja la JP Kigongo Busisi

Vijana zaidi ya 1,000 kutoka wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza wamefanya matembezi ya zaidi ya kilomita 30 kutoka ofisi ya Chama cha Mapindu . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 19, 2025

Putin awaonya Ujerumani kuwapatia Ukraine makombora ya Taurus

Rais Vladimir Putin wa Urusi ameionya Ujerumani kuhusiana na mipango yake ya kuipatia Ukraine makombora ya masafa aina ya Taurus. Amesema M . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 19, 2025

Iran kutoonyesha huruma kwa utawala wa Israel

Kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ameapa kwamba nchi yake haitoonyesha huruma kwa watawala wa Israel. Matamshi hayo yanakuja&n . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 19, 2025

Iran yafanya mashambulizi Hospitali ya Israel na kusababisha majeruhi

Kombora lililorushwa kutoka Iran limelenga jengo la hospitali kuu ya Beersheba iliyopo kusini mwa Israel na kusababisha majeruhi kadhaa, huk . . .

Top Story
  • Na Jembe Digital
  • June 19, 2025

TAMISA yaanza kusajili wanachama na kuwapa njia za kupata tenda migodini.

Taasisi ya TAMISA (Tanzania Mining industry suppliers Association) leo imefanya uzinduzi wa kamati ya masoko na mawasiliano ambayo itaongozw . . .

Kurasa 4 ya 171

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category